Kauli ambazo huwapa Ushindi CCM siku zote ni kama hizi hapa chini:-
Kauli kama hizi uweza kutolewa na Vichaa tu!
Bado kuna wengine watakuja baadaye nadhani bado wanambrief MUZEE response ya JF kuhusu kauli zakeNawaoneeni huruma jamaa zangu subirini watu waamke waje wakute "MZEE" mmemsema vibaya. Hivi hamjui kuwa mzee huyu ni ifallible?
Ni kweli inawezekana na namuomba sana Mungu iwe hivyo na naamini asilimia kubwa ya wabunge wa sasa hawatarudi kwenye nafasi hizo kwa kusindwa ila tuu kutakuwa na sura mpya ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI ambazo ndizo zitarejea
Hatishwi mtu hapa captainNawaoneeni huruma jamaa zangu subirini watu waamke waje wakute "MZEE" mmemsema vibaya. Hivi hamjui kuwa mzee huyu ni ifallible?
Kamanda hapo juu sijakufahamu!Call a spade, spade. Spade is not a spoon
Mhuni tu huyu, hana jipya. Zee zima linasema kuwa wana mbinu mpya.
Hivi wizi ni kitu cha kujivunia mbele za watu na mbele ya wachungaji?
Nasema ni mhuni hana nyimbo mpya huyu.
Kambarage alikuwa sahihi kuhusu mhuni huyu!
Respect FMES- Finally, CCM inaanza kuwa na demokrasia yaani kila kiongozi kusema maoni yake bila kutishiwa, sasa wahamishie kwenye taifa hii demokrasia yapo mpya!
Respect.
FMEs!
Respect FMES
Naomba kutofautiana na wewe. Unajua ili chama kiwe na uwezo wa kuongoza na kiwe na uwezo wa kujiendesha kinatakiwa kiwe na discipline ya hali ya juu. Sasa hivi tunachoona ndani ya chama ni uozo, hakun a kauli inayoweza kutoka na ikaitwa kauli ya chama, kila mtu ni msemaji na kila mtu ana opinion tofauti.
Inaweza kuwa demokrasia kama ingekuwa inatafutwa kauli ambayo ingeitwa kauli ya chama ambapo kwenye hatua ya mwanzo kila mtu angeweza kutoa maoni yake, sasa hivi hakuna kitu kama hicho. Hata hawa tunaowaita viongozi wa chama inaonekana hata kauli zao hazina nguvu na hazionekani kama ni kauli tooka kwa kiongozi, zinaonekana kama ni leymen opinion, sio kauli zilizotokana na msemaji kuchambua, naona ni uozo tu mkuu.
- Huu ni mtizamo wako, wa kwangu ni demokrasia at work, sina tatizo kukubali kutokubaliana, kwa sababu safiki mtizamo wako!
Respect.
FMEs!
Ningependa sana nijue what is going on between Serukamba na Lowassa. Kila akiongea hana hata aibbu ya kumtetea Lowassa sijui anataka nini! Poor him!
Kwa hakika ni mwelekeo mzuri, lakini inafaa wengi wapate ujasiri na kuanza kuzungumza na wazungumze kwenye vile vikao rasmi, ni wakati wa kuachana na zidumu fikra...- Finally, CCM inaanza kuwa na demokrasia yaani kila kiongozi kusema maoni yake bila kutishiwa, sasa wahamishie kwenye taifa hii demokrasia yapo mpya!
Respect.
FMEs!
Samahani mkuu, nilijua nitakukwaza maana kuna watu walijaribu kunitahadhalisha kabla, lakini hayo yalikuwa ni mawazo yangu na nimemnukuu Nyerere maana aliyasema pia kwenye kile kitabu chake cha Hatima ya uongozi.- Mkulu wangu yaani a great thinker, hebu nijaribu kukuelewa na this post:-
1. Hivi kiongozi mhuni kama Malecela, anakuwa amechaguliwa na wananchi wa aina gani? Sio anaofanana nao? Sasa unafikiri in this case ya Mhuni Malecela, wananchi na viongozi waliomchagua Malecela kwenye uongozi wa taifa wanakuwa ni wa aina gani?
2. Kambarage hakuwa mhuni, sasa aliwezaje kufanya kazi kwa kumchagua mhuni Malecela, kuwa mpaka waziri wake wa nje? Na mpaka kuwa Makamu wa CCM, chama chake yeye mwenyewe Mwalimu? Eti si tumekubaliana kwamba Kikwete ni fisadi kwa sababu anaweza kufanya kazi na mafisadi bila tatizo? Au?
Anyways, samahani sana kama nitakuwa nimekukwaza na infact siku hizi Malecela mwenyewe alinikataza kufanya ninachofanya sasa, kwa hiyo I am out!
Respect.
Sauti ya umeme FMES!
Malecela kwanza akiri hadharani kuwa ameacha uovu wote wa kuua demokrasia nchini na aombe radhi kwa kushirki udhalimu ndipo aaminike. Aache kushiriki katika wizi wa kura katika chaguzi ndogo za Ubunge na nyingine. Je katika hali ya sasa John Malecela ni wa kuaminika kuwa anapambana na ufisadi?