Eti Nchimbi anaweza kuwa Katibu wa CCM? Tumkumbuke Ipyana Malecela

MchunguZI

JF-Expert Member
Jun 14, 2008
4,009
2,173
Kwa wale wahenga watanielewa. Kwamba kuna watu walistahili wapotee kabisa ktk siasa za TZ kutokana na tabia zao na hata tuhuma walizonazo. Mmojawapo ni huyu Nchimbi.

Akiwa Umoja wa Vijana, alikuwa mtu hovyo.
Akawa Mkuu wa wilaya akapoa kidogo maana wilaya yenyewe, Bunda, siyo ya mzaha
Akawa waziri wa mambo ya Ndani akawa mtu hovyo! Akina Mwangosi wakauwawa!

Huko umoja wa vijana kuna mengi sana ambayo hata haistahili kuyazungumzia, lakini alikuwa na watu wema sana ambao walistahili kuisaidia nchi hii kuliko yeye. Kama kweli Nchimbi anastahili kuwa Katibu wa chama kama CCM, leo nimemkumbuka Ipyana Malecela ambaye hapa JF aliwahi kuandikiwa kumbukumbu yake. TUMKUMBUKE IPyana aliyekuwa naye UVCCM.
 
Mimi Nilikuwa najiuliza Waziri wa Mambo ya Ndani aliyewahi kuibiwa AK-47 ya Polisi akiwa na Malaya Morogoro ni yupi? Sasa kumbukumbu zimeanza kurejea. Kama mnamtoa Chongolo Kwa Umalaya wa Kisasa(ajali ya gari na michepuko), mmeona Bora kuweka KM mwenye Umalaya wa kizamani (kukabidhi AK-47 Kwa mchepuko)?
 
Wa AK sio huyu, AK ana jina la kule babalevo, diamond, zito

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Kwa wale wahenga watanielewa. Kwamba kuna watu walistahili wapotee kabisa ktk siasa za TZ kutokana na tabia zao na hata tuhuma walizonazo. Mmojawapo ni huyu Nchimbi.

Akiwa Umoja wa Vijana, alikuwa mtu hovyo.
Akawa Mkuu wa wilaya akapoa kidogo maana wilaya yenyewe, Bunda, siyo ya mzaha
Akawa waziri wa mambo ya Ndani akawa mtu hovyo! Akina Mwangosi wakauwawa!

Huko umoja wa vijana kuna mengi sana ambayo hata haistahili kuyazungumzia, lakini alikuwa na watu wema sana ambao walistahili kuisaidia nchi hii kuliko yeye. Kama kweli Nchimbi anastahili kuwa Katibu wa chama kama CCM, leo nimemkumbuka Ipyana Malecela ambaye hapa JF aliwahi kuandikiwa kumbukumbu yake. TUMKUMBUKE IPyana aliyekuwa naye UVCCM.
Machawa kwa Majungu mnaongoza
 
Mimi Nilikuwa najiuliza Waziri wa Mambo ya Ndani aliyewahi kuibiwa AK-47 ya Polisi akiwa na Malaya Morogoro ni yupi? Sasa kumbukumbu zimeanza kurejea. Kama mnamtoa Chongolo Kwa Umalaya wa Kisasa(ajali ya gari na michepuko), mmeona Bora kuweka KM mwenye Umalaya wa kizamani (kukabidhi AK-47 Kwa mchepuko)?
Ni malima, Si huyo.
 
Kikosi kazi kiko kazini.. Ccm kwa fitna ni balaa
 
Mimi Nilikuwa najiuliza Waziri wa Mambo ya Ndani aliyewahi kuibiwa AK-47 ya Polisi akiwa na Malaya Morogoro ni yupi? Sasa kumbukumbu zimeanza kurejea. Kama mnamtoa Chongolo Kwa Umalaya wa Kisasa(ajali ya gari na michepuko), mmeona Bora kuweka KM mwenye Umalaya wa kizamani (kukabidhi AK-47 Kwa mchepuko)?
Aliyeibiwa Sub Machine Gun na changudoa alikuwa naibu Waziri wa Madini na Nishati Adam Malima.
Lilitokea mjinii Morogoro.
 
Kwa wale wahenga watanielewa. Kwamba kuna watu walistahili wapotee kabisa ktk siasa za TZ kutokana na tabia zao na hata tuhuma walizonazo. Mmojawapo ni huyu Nchimbi.

Akiwa Umoja wa Vijana, alikuwa mtu hovyo.
Akawa Mkuu wa wilaya akapoa kidogo maana wilaya yenyewe, Bunda, siyo ya mzaha
Akawa waziri wa mambo ya Ndani akawa mtu hovyo! Akina Mwangosi wakauwawa!

Huko umoja wa vijana kuna mengi sana ambayo hata haistahili kuyazungumzia, lakini alikuwa na watu wema sana ambao walistahili kuisaidia nchi hii kuliko yeye. Kama kweli Nchimbi anastahili kuwa Katibu wa chama kama CCM, leo nimemkumbuka Ipyana Malecela ambaye hapa JF aliwahi kuandikiwa kumbukumbu yake. TUMKUMBUKE IPyana aliyekuwa naye UVCCM.
Chawa mmeanza kuchafua watu
 
mbona umeunganisha na kifo cha ipyana malecela mkuu??kuna nn?embu tujuze
 
Back
Top Bottom