Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
Ingeburudika sana nafsi yangu.wamewaonea bure raia wasiokuwa na hatia. ningetamani kama wangeiangusha ATC ikiwa na mafisadi 101 kuliko kuua raia 295 bila sababu yoyote.
Ingeburudika sana nafsi yangu.wamewaonea bure raia wasiokuwa na hatia. ningetamani kama wangeiangusha ATC ikiwa na mafisadi 101 kuliko kuua raia 295 bila sababu yoyote.
nashukuru leo umeleta habari isiyokuwa ya magambaNdugu zanguni
Habari ziko sky news sasa kuwa ndege ya Malaysian airways imeanguka ikiwa na abiria 295
Hii ni ndege ya pili sasa
STAY TUNED...
Update;
Russian news agency wanasema hiyo ndege imetunguliwa na BUK missile ambayo ni ground to air missiles special kwa kutungulia ndege.
Chanzo:mirror
Mkuu,
Malaysia Airlines walionywa tangia mwezi April mwaka huu na European Aviation and Safety Agency kwamba wanaporusha ndege kutoka barani Ulaya kwenda Malaysia waepuke Ukranian Air Space.
Sasa Malaysian Airlines wanatumia Ukranian Space ili kuokoa kiasi kikubwa cha mafuta ambacho ndege zake zinatumia. Hivyo marubani wanakuwa wanakiuka sharia za Aviation kwa kuona kwamba wanasave pesa kwa shirika na kampuni.
Eneo lote linalohusisha nchi ya Ukraine linajulikana kwa sasa kama ni Warzone kutokana na kuwepo vita baina ya waasi wa Kirusi na nchi ya Ukraine.
Hivyo ndege zote zinazoruka kutoka barani Ulaya iwe kwenda nchi za mashariki ya mbali kama China na Malaysia au hata Marekani, zimeonywa kutopita katika eneo hilo.
ingetakiwa ndege kama hii iwe na wajumbe wa ccm na mwenyekiti wao wanao mpinga warioba na kuendelea na vikao vya katiba mpya wakati ukawa wametoka
No, tunapita Kalenga kwanza...
Naangalia CNN hapa washaanza kuipa lawama Urusi.Pure propaganda!
Dah! wewe kiboko... kwa nini usiweke link tu? Hii kukopi na kupaste sio kitu lazima sana iwapo kuna links!
- Reports suggest a passenger plane has crashed in eastern Ukraine. The early reports come from an "aviation source" who was quoted by the privately-owned Russian Interfax news agency
Wameenda mbali zaidi na kufuta tweet za kuwa wanamiliki BUK MissilesRussian separists ndo wameitungua,maana walitweet kuwa wametungua ndege,sasa ilipojulikana kuwa ni ndege ya civil,ile tweet wakaifuta.Wametungua bila kujua kuwa ni ndege ya abiria.Wajanja walishaikopy tweets!
Dah too painful yaani mtu unasafiri ukijua unafika uendapo kumbe ndo mwisho wa safari yako.
Eeeh Mungu inusuru dunia
Russian separists ndo wameitungua,maana walitweet kuwa wametungua ndege,sasa ilipojulikana kuwa ni ndege ya civil,ile tweet wakaifuta.Wametungua bila kujua kuwa ni ndege ya abiri
a.Wajanja walishaikopy tweets!
Habari mbaya ni kwamba bdege MH 17 Boeing 777 ikiwa na abiria zaidi ya 300 "imeanguka" mpakani mwa ukraine na urusi
Sourcs BBC NEWS
Ndo hapo sasa,haya mashirika yote ya ndege za abiria bora yazuie ndege zao kupita anga la eastern Ukrain,siyo salama hukoWashawaua watu wao wenyewe mana hao raua wa malayshia ni 12 wao wanafika 20 na kitu