Malaysia Airlines passenger jet reportedly shot down in Ukraine

Malaysia Airlines passenger jet reportedly shot down in Ukraine

Hili eneo hata mbu anaogopa pita, kila siku unasikia Ukraine ndege za wanajeshi chali
 
Mkuu haya mambo yanaukweli kiasi gani ?
Dunia tayari imehangaika vya kutosha sana !

Hii ni ndege nyingine aina sawa sawa kabisa na ile iliyopotea mwezi march,hii ya leo imetunguliwa wakati ikipita kwenye anga la ukraine ikielekea malaysia ikitokea amsterdam.. Malaysian air wana balaa hasa mwaka huu..
 
viroja vya dunia. Ukikosa vya ccm unapata from the rest of the wedi
 
Good question...tutaanza kupanda meli sasa te te te...

Njia nyingine salama ni ku avoid ndege za nchi zenye international conflicts...

Kwa sababu sidhani kama walitungua kwa makosa...kuna kitu Malaysia....
Hata ile iliyopotea,aisee hii hatari.Tatizo huwezi jua,Mungu atusaidie kwa kweli.Halafu piga picha ilikuwa inatokea Amsterdm watu wanapounganishia ndege,na hiki kipindi cha likizo.Tusubiri watoe majina tujue uraia wa Marehemu.
 
kwa nn unasema ni hujuma dhidi ya Malaysia then Qatar na emirates wakt unajua kuwa kuna mgogoro wa kimpaka kati ya ukrain na russia?
 
Oh boy! Malaysia Airlines again? My prayers to those who were onboard that plane.
 
Hatupiti kuko Bwana,ila usalama hakuna,kama vile vita ya tatu ya dunia inanukia

Haswaa huko ndiko dunia inakoelekea sasa, mapigano kila kona ya dunia, eeh Mwenyezi Mungu tunusuru waja wako
 
Dah too painful yaani mtu unasafiri ukijua unafika uendapo kumbe ndo mwisho wa safari yako.
Eeeh Mungu inusuru dunia

Yaani ni huzuni, hebu fikiriq fastjet inavyobeba watu leo itunguliwe tu from nowhere, inahuzunisha sana, Mungu tusamehe pale tulipokwenda kinyume na mapenzi yako ili dunia iwe sehemu salama ya kuishi kama ulivyotupa tangu mwanzo
 
Back
Top Bottom