SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,953
- 2,044
hii hal inatisha
Imetunguliwa,Duniani hakuna usalama tena,Warusia au waasi ya Ukraine wameitungua.Mungu atusaidie kwa kwelisafari hii imeanguka sio kupotea??. duh
Hivi kwa sisi tunosafiri let say kutokea Amsterdam kwenda Tanzania,tunapita anga la ukrain na Russia?Kuna uwezekano pilot alizima radar detection system kwenye ndege na akawa anairusha chini chini sana , maybe aipoteze kama ile ya kwanza na jamaa walipoona hawaisomi na hai respond kwao basi wakaamua kuishusha tu.
Pia tukumbuke hawa jamaa wanapigana na hii ndege imeangukia mpakani mwa Russia na Ukrain.
Unajua siku hizi ma terorist hutumia ndege ama silaha.Imetunguliwa,Duniani hakuna usalama tena,Warusia au waasi ya Ukraine wameitungua.Mungu atusaidie kwa kweli
No, tunapita Kalenga kwanza...Hivi kwa sisi tunosafiri let say kutokea Amsterdam kwenda Tanzania,tunapita anga la ukrain na Russia?
Hatupiti kuko Bwana,ila usalama hakuna,kama vile vita ya tatu ya dunia inanukiaNo, tunapita Kalenga kwanza...
Kwa mara ya kwanza kwa zaidi ya miaka miwili Lukosi umeleta habari ya maana.
Mkuu hata ukinikatia tkt first class na kuniahidi gunia la dhahabu, kamwe sitakujapanda ndege za hilo shirika maishani mwangu...Hili Shirika sasa litakosa abiria