Yaani ni huzuni, hebu fikiriq fastjet inavyobeba watu leo itunguliwe tu from nowhere, inahuzunisha sana, Mungu tusamehe pale tulipokwenda kinyume na mapenzi yako ili dunia iwe sehemu salama ya kuishi kama ulivyotupa tangu mwanzo
safari hii imeanguka sio kupotea??. Duh
Habari ya uongo na unafiki, hamna kazi za kufanyae?
Hao malaysia wana bifu gani na hao walioitungua hiyo ndege?
ingetakiwa ndege kama hii iwe na wajumbe wa ccm na mwenyekiti wao wanao mpinga warioba na kuendelea na vikao vya katiba mpya wakati ukawa wametoka
Mbona hatari jamani. Ni huyo anahujumu sjirika hili?
Hao malaysia wana bifu gani na hao walioitungua hiyo ndege?