Yaani ni huzuni, hebu fikiriq fastjet inavyobeba watu leo itunguliwe tu from nowhere, inahuzunisha sana, Mungu tusamehe pale tulipokwenda kinyume na mapenzi yako ili dunia iwe sehemu salama ya kuishi kama ulivyotupa tangu mwanzo
Vita(mapambano) haina machoKwanini itunguliwe ndege ya abiria?
ilikua na abiria 295 wengi ni raia wa ulaya
Mbona tbc1 hawafanyi live coverage ya hii kitu?
cheki hizi ndege zilivofanana kuna uwezekano ukrane walijua ni ndege ya rais wa urusi, na inasemekana ndege hiyo ya putini ilipita kabla ya hii ya malaysia
![]()
acha uwongo weka source
Kuna uwezekano pilot alizima radar detection system kwenye ndege na akawa anairusha chini chini sana , maybe aipoteze kama ile ya kwanza na jamaa walipoona hawaisomi na hai respond kwao basi wakaamua kuishusha tu.
Pia tukumbuke hawa jamaa wanapigana na hii ndege imeangukia mpakani mwa Russia na Ukrain.