nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Good question...tutaanza kupanda meli sasa te te te...
Njia nyingine salama ni ku avoid ndege za nchi zenye international conflicts...
Kwa sababu sidhani kama walitungua kwa makosa...kuna kitu Malaysia....
Njia nyingine salama ni ku avoid ndege za nchi zenye international conflicts...
Kwa sababu sidhani kama walitungua kwa makosa...kuna kitu Malaysia....
Imetunguliwa,Duniani hakuna usalama tena,Warusia au waasi ya Ukraine wameitungua.Mungu atusaidie kwa kweli