Malaysia Airlines passenger jet reportedly shot down in Ukraine

Malaysia Airlines passenger jet reportedly shot down in Ukraine

Hao waliotungua ni wakristo wenzao haoo.

Huwez kuskia wakiitwa magaidi.

Sijui hii definition ugaidi ina mantiki gani hasa.

Wakiona uchungu wa kuuwa wasio na hatia basi wajue ni kweli inaumiza.

Na waache kumwaga damu huko gaza.

Laana hiyo inawapata.

Ugaidi ni kuua watu wasio na hatia kwa makusudi bila kujali dini. Mara nyingi gaidi huwa anaua watu wasio na hatia kwa kulipa kisasi kwa serikali au vinginevyo. Gaidi badala ya kupambana na jeshi yeye huwa anaua raia yeyote vile bila kujali. Mfano Al shaabab badala ya kupigana na majeshi ya Kenya wao wanaua raia westgate. Boko haram badala ya kupambana na Jeshi wao wanaua watu hata wakiwa sikoni, huo ndio ugaidi.
 
Russia ni nchi kubwa sana na ukubwa sio wa kijiografia, manake ni uwezo wake wa kufnya mambo yake ina uwezo mkubwa mno wa kijeshi, teknolojia, ina Gas na mafuta na pia ina fedha, kinachofanyika hapa si kitu kigeni ndio kusema msikimbie kama kuku kusema Putin kapiga ndege ili iweje??!! hivi mmesahau Collin Powell alisimama mbele ya umoja wa Mataifa kusema Saddam ana silaha kali mbaya za kuangamiza umma MDW, Baadae wakamuua walipoambiwa onyesheni silaha hakuna!!! haya juzi pale Libya kwamba Ghadaf anabaka wasichana wakamuua sasa Libya ikoje??!! hivi bado hamtumii akili kuwaza mnameza Viwembe kutoka manyangau ya US NA EU??!!! BAHATI NZURI ILE NI Russia Federation hakuna mtu ataisogelea...watapiga kelele tu ila hawathubutu lolote!!!
 
Ugaidi ni kuua watu kwa mgongo wa dini au kwa niaba ya dini/mungu unaemwabudu.

Mtu yoyote anaeua watu kwa mgongo wa dini,awe mkristo/muislam ni ugaidi.

Tofauti ya tukio la kuangushwa ndege ya malezia na ugaidi ni kwamba waasi hawakufanya vile kwa jina la mungu.

aliekufundisha hivo kamwambie aku refund fee.
 
Ukiwa Kiongozi wa Nchi kama Russia wewe unapiga miluzi tu,US wala NATO HASOGEI HAAATA ROBO MANAKE TIFU LAKE SI MCHEZO
 
Who started the first world war ? Muslims ? Who started the second world war ? Muslims ? Who killed about 20 millions of Aborigines in Australia ? Muslims ?? Who sent the nuclear bombs of Hiroshima and Nagasaki ? Muslims ?? Who killed more than 100 millions of Indians in North America ? Muslims ?? Who killed more than 50 millions of Indians in south America ? Muslims ?? Who took about 180 millions of African people as slaves and 88% of them died and was thrown in Atlantic ocean ? Muslims ?? No , They weren't Muslims!!! First of all, You have to define terrorism properly... If a non-Muslim do something bad..it is crime. But if a Muslim commit same..he is terrorist... So first remove this double standard...then come to the point!!!

The good thing that I like to Muslim is that, their brain can not differentiate between religion and politics issues, as you can see above, all mentioned things are just politics matters but the writer relates incidences with Muslim. Like the fighting that is on going between Israel and Palestine, Muslim are shouting all over the world as if it is religious war
 
Mhhhh malaysia kuna tatizo,could all these be a mere coincidence???
I heard the the first plane was taken down by US to kill chinese scientists who had clues regarding some 'new' american technology,..i wonder what this one was up for...

Bado kuna maswali mengi sana ambayo hayana majibu kutokana na kupotea ile ndege ya kwanza. Sijui wenzetu wamepatwa na nini mpaka majanga haya kuwakumba.
 
mchezo wa kitoto huo. hapo lengo ni kuipa lawama urusi, wanataka dunia iamini kuwa russians are not good people, they deserve more sanctions. chance kubwa hilo limefanya na maadui wwa rusia wakiwemo marekani, german,uingereza, uukraine wenyewe ili kushift burder to russia. ni kchezo wa kitoto unaochezwa na watoto zaidi.

Hilo nalo linahitaji uwe na Phd kung'amua mkuu, we huwe kuconnect dots ukapata jibu? mbona hili swala liko wazi kabisa ni waasi ndo waloiangusha hiyo ndege? ni kweli hujui ni nani anaewapatia weapons hao waasi? unadhani ni kwa namna gani Urusi inaweza kwepa hizo allegations?

Siku chache zilizopita waasi kupitia account yao ya tweeter walipost wakidai wamekamata silaha ya kurushia missiles za kutungulia ndege na soon baada ya ndege kuwa downed walifuta post ile, huwezi kuona kama pana jambo hapo mkuu?
 
Naomba chanzo, tafadhali.

Kwa mujibu wa nani? Tena, naomba chanzo, tafadhali.

Mbona mpaka leo British Airways walikuwa wanaenda Kiev.....?!?!?!? Inaendaje sasa huko bila kupita kwenye airspace ya Ukraine?

Mkuu, mbona nimeeleza kwamba ni nani alitoa onyo au angalizo au tahadhari juu ya njia ipi salama ya anga kuhusiana na hali ya mgogoro kati ya Russia na Ukraine?

Hawa Europen Aviation and Safety Agency kazi yao ni kuangalia usalama wa kila anga la nchi wanachama wao na Ukraine ni mwanachama.

Ukraine ndio ndio waliotoa tahadhali juu ya kuwepo kwa mashambulizi yakutumia makombora kutoka kwa waasi wa Kirusi huko mshariki mwa nchi hiyo hasa katika mji wa Donetski.

Unaweza kusoma angalizo hilo kutoka Ukraine kwenda EASA kwenye PDF hii:

Halafu pia ukiangali picha ifitayo hapo chini usome kielelezo namba tatu pia itakusadia kuelewa issue kama huelewi usilazimishe sana bali uendelee kufuatilia habari zinazotoka kila pembe ya dunia hii.

Pia katika picha hio kuna sehemu inaonyeshwa kwamba ni No-flyzone.

Hii ndege pamoja na ndege uloitaja ya BA baada ya kupita Poland na Ujerumani, zinatakiwa kupita juu ya bahari nyeusi.

Na hio ndege ya BA inayokwenda mjini Kiev ni ndege pekee ya BA na hata hivyo mji huo upo mbali mno na eneo ambalo ndege hiyo ya Malaysia iliamua kupita na hatimae kutunguliwa.

1405699718519_wps_13_Ukraine_MH17_Graphic.jpg

Vyanzo: PDF file -EASA website

Picha: Gazeti la DAILY MAIL la UK.
 
Richard icho kipengele namba tatu wewe ndo hujakielewa mkuu watu watakucheka, mbona kinajieleza na kueleweka vizuri tu shida iko wapi wakati hata ukiangalia picha inakuonesha kabisa no fly zone iko huko Crimea, na ndo maana mwandishi kasema ilionesha crew walilitambua hilo hivyo wakapita rout ambayo ni safe..
 
Last edited by a moderator:

Kipengele namba tatu nimekielewa kwamba pale penye No-flyzone ndege hazipiti kwahio hakuna haja ya kuelekea Ukraine sawa?

Ndege zote zinapita njia salama na zinakwepa Ukraine.

Hivo basi, hakukuwa na sababu kwa rubani wa kudharau onyo hilo eti tu kwasababu njia hio ni fupi na unapopita hapo unaokoa kiasi kikubwa cha mafuta na pesa.
 
Usipende kubishana wakati kitu kiko wazi bwana, chukulia mfano Tanzania Dar es salaam kuwe no fly zone hiyo haimaanishi Tanzania nzima ndege hazitapita, huo utakua ni upum.bavu eti unaogopa kupita anga ya Kilimanjaro, Mwanza kisa Dsm kuna vita, hawajapita huko kulikozuiwa (Crimea), walikopita ni jimbo tofauti kabisa na hiyo ndo ilikua route ya kawaida hata airfrance wakat iyo ndege inaangushwa ilikua ndo inaingia Kiev na ingepita route hiyohiyo coz ilikua cleared.
 
Mkuu, mimi wala sibishani ila labda tunapishana sehemu fulani.

Mimi nimesema na kuongezea point ya kwamba ndege ya BA bado inakwenda Kiev na kwamba tangia mwezi April kulitolewa tahadhari juu ya eneo la mshariki mwa Ukraine kwamba inakuwa No-flyzone.

Baada ya tahadhari hiyo kutolewa mashirika mbalimabli ya ndege yalishauriwa kwamba yapange njia mbadala za kufika kwenye nchi hiyo yaani Routes na BA ni moja ya mashirika hayo.

Hivyo BA wanayo route yao ya kufika Kiev ambayo inakwepa No-Flyzone, na sasa baada ya hili tukio ndio imekuwa confirmed kabisa kwamba Ukraine Airspace sio salama kupita.

Malaysia Airlines waliendelea kupita juu au karibu na No-flyzone kwa sababu ni njia fupi na inaokoa matumizi ya mafuta na hiyo nio point yangu niliyoisimamia.

Jukumu la uangalizi wa ndege zipitazo hapo Ukraine Airspace ni la Ukraine air Trafic Control na kama hawakuweza kufanya chochote au walifanya, hayo yatajulikana endpo tu zile black boxes mbili zitapatikana na kutoa hasa chanzo cha ajali hiyo.
 
Hakuna ndege imepita kwenye no fly zone kaka..angalia hata picha yako hapo uone na uelewe, tatizo ushaiset mind yako negatively dhidi ya Malaysia na ndo maana hutaki hata kuukubali tu ukweli kwamba hilo ni tukio la kigaidi ambalo linaweza tokea sehemu yoyote bila kujua, MT14 haikupita sio tu kwenye No-fly zone bali pia hapakua karibu, na hiyo sababu ya kwamba eti route ni ya karibu si ya kweli ni vijiblog njaa ndo viliandika hivyo bila hata kufanya utafiti, hiyo route walipita kwa sababu ilikua salama.
 
Ni kweli mkuu hii dunia imejaa matatizo.

Lakini soma link hii hapa chini hii analysis ya gazeti la Daily Telegraph.

Air operators belatedly avoid Ukraine war zone - Telegraph

Hapo ndio utaelewa kwamba ni kwanini baadhi ya ndege zinajali zaidi faida kuliko maisha ya watu.

Ukumbuke kwamba Malaysia Airlines inajaa ikitokea Malaysia kwenda Ulaya na ikirudi.
 
Mi ndio maana nikasema ni tamaa tu...si mpaka ukatazwe ni common sense...angalia sasa wamepoteza maisha ya watu kwa kujitakia (tamaa ya pesa)...

Kumbe walishakuwa warned...basi kuna walichokuwa wanatafuta na waache kuwalaumu hao rebels... na wao wamehusika in one way or another

Umeisoma lakini kaka? ule ulikua ni ushauri tu au angalizo, kama mamlaka husika hawakuzuia ulitegemea nini? na hata kwa mujibu wa habari hiyo ndege zote hazikuchange route ziliendelea kupitia route hihiyo sa kusema hao pekee eti wanatamaa sio sawa, ndege zote zilikua zikifata hiyo route.
 
Wakati mwingine unaweza kujikuta umekuwa Mhanga wa vita isiyokuhusu...

Braza habari za masiku tele?
Safi kabisa braza...........

Dunia imekuwa si sehemu salama kabisa.
 
Sawa sawa.

Na taifa la kiisraeli linalouwa maelfu kwa maelfu ya wapalestina wasio na hatia huko gaza ni magaidi pia.

Udilisahau na hilo.

Back
Top Bottom