Malaysia Airlines passenger jet reportedly shot down in Ukraine

Malaysia Airlines passenger jet reportedly shot down in Ukraine

Na rebel wameshakabidhi black box kwa Malaysian Authority...mwanga lazima ajulikane mwaka huu...
 
Ilaumiwe isilaumiwe hilo shirika limeshakuwa na gundu...ndio maana mwandishi anasema liko likely kuwa bankrupt...

Hivi wewe unaweza kupanda hizo ndege tena...? Hujitaaki...maana nani anajua kilichotokea kwa ile ndege ya kwanza...haya watu wamejifanya kauzu na kuipa benefit of the doubt wakaendelea kupanda ...leo katika ndege zaidi ya mia zinazopita Ukraine yenyewe ndio imetunguliwa....

Mimi naona Ukraine aliona Malaysian Airline inafaa kutimiza lengo lake kwa kuwa tayari ilishatenda mahajabu....(ya ndege kupotea)...hiyo ilikuwa calculated...

Sasa bado tu mnailaumu Malaysian Airlines?
 
Ilaumiwe isilaumiwe hilo shirika limeshakuwa na gundu...ndio maana mwandishi anasema liko likely kuwa bankrupt...

Sidhani litafilisika

Hivi wewe unaweza kupanda hizo ndege tena...

Ndiyo. Kwani ajali hutokea kwenye hilo shirika tu? Air France ajali huwa hazitokei? Kenya Airways ajali huwa hazitokei? Ethiopian ajali huwa hazitokei? Egypt Air huwa hazitokei? Asiana ajali huwa hazitokei?

Unaweza kupanda El Al, Delta, Qantas na ndege ikapata ajali vilevile. Imetokea tu kumekuwepo na matukio yanayohusisha ndege mbili za Malaysia Airlines (huku tukio la kwanza tukiwa hata hatujui nini kilichotokea na hili tukio la pili ambapo kwa uhakika kabisa halikuwa kosa la Malaysia Airlines) lakini hiyo haimaanishi kwamba ukipanda ndege ya hilo shirika basi utapatwa na umauti.

Mimi naona Ukraine aliona Malaysian Airline inafaa kutimiza lengo lake kwa kuwa tayari ilishatenda mahajabu....(ya ndege kupotea)...hiyo ilikuwa calculated...

Sasa kama wewe hivyo ndivyo unavyoona, bado tu utaendelea kuilamumu Malaysian Airlines? Kosa hapo ni la Malaysian Airlines au la Ukraine?
 
Kosa ni la nani ni one thing; kupanda au kutokupanda hiyo ndege ni another...kwani nikipanda ntakuwa nimemkomoa Ukraine au maisha yangu?

Tatizo ni kuwa hii incidence imekumbusha watu kitu walichojaribu kusahau...ndege ilopotea? Bora hii imetunguliwa kila mtu anajua hilo...ile ilopotea imeenda wapi? why Malaysian Airline...je kuna ndege nyingine imeshawahi potea?

Kwa nini imetumika kama chambo (maana inaonekana Ukraine walipanga tukio zima iwe wametungua wao au rebel)

Sidhani litafilisika

Ndiyo. Kwani ajali hutokea kwenye hilo shirika tu? Air France ajali huwa hazitokei? Kenya Airways ajali huwa hazitokei? Ethiopian ajali huwa hazitokei? Egypt Air huwa hazitokei? Asiana ajali huwa hazitokei?

Unaweza kupanda El Al, Delta, Qantas na ndege ikapata ajali vilevile. Imetokea tu kumekuwepo na matukio yanayohusisha ndege mbili za Malaysia Airlines (huku tukio la kwanza tukiwa hata hatujui nini kilichotokea na hili tukio la pili ambapo kwa uhakika kabisa halikuwa kosa la Malaysia Airlines) lakini hiyo haimaanishi kwamba ukipanda ndege ya hilo shirika basi utapatwa na umauti.

Sasa kama wewe hivyo ndivyo unavyoona, bado tu utaendelea kuilamumu Malaysian Airlines? Kosa hapo ni la Malaysian Airlines au la Ukraine?
 
Shirika hili already linaenda kwa Hasara...wameshusha mno bei but still no faida kuna mtu mmoja alihojiwa alisema 'my mom wont let me board their plane'nilicheka sana
 
Kosa ni la nani ni one thing; kupanda au kutokupanda hiyo ndege ni another...kwani nikipanda ntakuwa nimemkomoa Ukraine au maisha yangu?

Kumkomoa Ukraine na kupanda ndege ya Malaysian Airlines vinahusiana kivipi?

Tatizo ni kuwa hii incidence imekumbusha watu kitu walichojaribu kusahau...ndege ilopotea?

Hiyo ni kweli. Na kwa mtazamo wangu ni sadfa tu na wala si kwamba Malaysian Airlines sijui ina gundu au whatever.....

Bora hii imetunguliwa kila mtu anajua hilo...ile ilopotea imeenda wapi?

Hiyo iliyopotea hakuna anayejua kilichoisibu. Na for all we know, huenda tatizo likawa ni la manufacturer na si operator wa aircraft. Huenda hizo Boeing 777 zina matatizo ambayo bado hayajajulikana.....Hivyo, mpaka itakapopatikana tutaendelea ku-speculate tu.

why Malaysian Airline...je kuna ndege nyingine imeshawahi potea?

Zipo ndege ambazo zimeshapotea na hazijawahi kupatikana. Bofya hiyo link hapo chini uone....

[h=1]Flight MH370: Here are 7 other planes that have never been found[/h]

ad_129715653.jpg

The missing Malaysia Airlines flight has had us all hooked for weeks. You've probably spent hours pouring over the internet for more details, clicked on any aircraft-related link on your Facebook feed and have discussed theories over beers in the pub. Let's be honest, we all love a mystery.
But it's not the first plane to go missing in suspicious circumstances. In fact, far from it. OK, so in the past 50 years we've got way better at locating wreckages (we're guessing due to technological advances), so it's not every day we wake up to huge jumbo jets full of holiday makers disappearing.
But since planes first took to the skies in 1903, there have been a handful that have rivalled MH370 in the weird stakes….

1. Flying Tiger Line Flight 739
The chartered military flight from California to Vietnam in 1962 was carrying 107 passengers, including 93 U.S. soldiers when it disappeared.
After refuelling at Guam (a teeny tiny island in the western Pacific Ocean) the flight headed towards the Philippines before disappearing totally from radar without any distress calls to radio operators, prompting investigators to suspect the aircraft had exploded in flight. No wreckage was ever found, despite 200,000 square miles being searched over eight days.
The really weird part? Another military plane, carrying secret cargo rather than soldiers, also departed from the same Californian airport at a similar time to flight 739. It too crashed. Eerie, right?

2. Northwest Orient Airlines Flight 2501
It's the evening of June 23 1950 and flight 2501 has set out from New York to Seattle with 55 passengers and three crew members. Its last known location was 3,500 feet over Lake Michigan when it suddenly disappeared from radar, only moments after requesting clearance to drop to 2,500 feet.
Despite the lake being dredged and search teams investigating, no wreckage was ever located. Although in 2008, a researcher believed that she had found an unmarked grave containing the bodies of the victims, that had been buried by locals without the authorities or families' knowledge after they had washed up on shore… spooky.

3. Glenn Miller's plane
In case you didn't know (we didn't) Glenn Miller was a big name in the Forties. He was a big band musician from the swing era and was travelling to entertain U.S. troops in France during WW2 when the plane he was travelling on went missing over the English Channel.
There's several theories about what happened to him, including that his plane was accidentally bombed by friendly fire when military planes flying back from Germany offloaded their remaining artillery into a designated space that then clashed with Miller's flight route.

Although, we much prefer the theory that he did make it to France but his death was covered up the next day after he suffered a heart attack during a liaison with a prostitute.

4. Frederick Valentich and his plane
The 20-year-old Australian UFO enthusiast was taking a routine 150-mile training flight in a light aircraft when he mentioned to radio controllers that there was another plane following him.
Seconds later he declared ‘it's not an aircraft' and his transmission was interrupted by scraping, metallic noises.
He was never seen again (this was in 1978, BTW). Officials speculated that Valentich had become disorientated and had seen his own reflection in water, seeing as there was no known air traffic near him, but fellow UFO fans believe he was abducted. Others believed he staged his own disappearance. Good.

5. Atlantic C-124 disappearance
In 1951 a military flight, from New Mexico to Suffolk, England, had to stage an emergency landing in the sea following an in-flight fire. Despite the landing going well and a successful evacuation taking place, when rescuers arrived on scene there was no sign of any of the 53 passengers of the aircraft.
The rafts and flares had, however, been spotted earlier when another plane had flown over the area. So where had they gone? Some speculate that Soviet submarines operating in the area at the time (about 500 miles west of Shannon, Ireland) snatched them. Ooh.

6. Canadian Pacific Air Lines Douglas DC-4
A routine flight from Vancouver, Canada to Japan in 151 turned sour when it failed to turn up to its scheduled stopover in Anchorage, Alaska.
Visibility at the time of the flight was 500m, with heavy rain and ice reported.
The aircraft and its 37 passengers were declared missing but no wreckage has even been found. In fact, there's not even a recorded probably cause. No one has any idea what happened. Kind of tempting to go out and explore Alaska for it, isn't it? Or is that just us?

7. BSAA Star Ariel

The pilot of the BSAA Star Ariel, flying from Bermuda to Kingston, Jamaica, reported that he had ‘excellent visibility' as he flew the 13 passengers over the Atlantic Ocean in 1951.

His last check-in with air traffic controllers was to let them know he was descending to a lower flying level, but at no point showed any sign of distress.

In the search that ensued, no debris, oil slicks or wreckage were found. The fact that there was no May Day call, bad weather or plane defects caused many to believe that it had been lost to the legendary Bermuda Triangle.

Source:http://metro.co.uk

Shirika hili already linaenda kwa Hasara...wameshusha mno bei but still no faida kuna mtu mmoja alihojiwa alisema 'my mom wont let me board their plane'nilicheka sana

Of course hizi back to back tragedies si nzuri kibiashara. Itachukua muda watu kusahau lakini watasahau tu.

Wanaweza hata kuji-brand upya na kuja na jina jingine kabisa tofauti na Malaysian Airlines kama ValuJet ilivyobadilisha jina na kujiita AirTran baada ya ajali za flights 592 na 597.
 
Sometimes kuwa rais wa marekani unakuwa kama mpayukaji mtaani
 
Nawaonea huruma sana wa-Malaya. Ndege yao ndo ishapoteza muelekeo, itachukua miaka kurudi kwenye ramani
 
Hao jamaa wa magharibi hizi wanazoongea ni propaganda. Na hazina mantiki. Hii issue lazima iwarudi wenyewe
 
Kumkomoa Ukraine na kupanda ndege ya Malaysian Airlines vinahusiana kivipi?

Hiyo ni kweli. Na kwa mtazamo wangu ni sadfa tu na wala si kwamba Malaysian Airlines sijui ina gundu au whatever.....

Hiyo iliyopotea hakuna anayejua kilichoisibu. Na for all we know, huenda tatizo likawa ni la manufacturer na si operator wa aircraft. Huenda hizo Boeing 777 zina matatizo ambayo bado hayajajulikana.....Hivyo, mpaka itakapopatikana tutaendelea ku-speculate tu.

Zipo ndege ambazo zimeshapotea na hazijawahi kupatikana. Bofya hiyo link hapo chini uone....

Flight MH370: Here are 7 other planes that have never been found

i see !!!!!!!!!!!!!
 
Shooting passengers Airlines, Unnecessary wars everywhere and World stupidity towards Israel, shows that many times we human beings are Just Stupid creatures.
 
Leo saa kumi jioni ndege ya kwanza yenye miili ya wa Dutch waliokufa kwenye hii ndege inawasili ikipokelewa na mfalme pamoja na waziri mkuu wa Netherlands pamoja na ndugu na jamaa ...inasikitisha kwani imeshaharibika vibaya...
 
Kuna taarifa jana BBC wanasema Marekani ametoa Michoro inayoonyesha moshi wa mlipuko ukitoka Russia ambao ndio unasadikiwa kuwa ilikua mwisho wa flight hio
 
Kuna taarifa jana BBC wanasema Marekani ametoa Michoro inayoonyesha moshi wa mlipuko ukitoka Russia ambao ndio unasadikiwa kuwa ilikua mwisho wa flight hio
Just curiosity: Why country A should shoot down a plane flying from country B to C on the territory of D? Just for fun? When the whole world is against you? Sounds bullshit to me.
 
Back
Top Bottom