Malaysia Airlines passenger jet reportedly shot down in Ukraine

Malaysia Airlines passenger jet reportedly shot down in Ukraine

Mbona sioni walipoandika wamarekani 23 katika hiyo habari?
Au mwenzenu sijui kusoma vizuri?
 
Shekh Mahmood mbona kwenye list hakuna wamarekani 23 kama ulivyoonyesha kwenye kichwa cha habari ? Au wamo kwenye wasiojulikana uraia wao kama 65 hivi..?
 
Malipo hapa hapa dunia watoto wa Palestine wameuliwa kama kuku dunia yote kimya leo watoto wa Marekani na washirika wao nao wameonja machungu ya vifo vya watoto kwa mtindo mwengine.

Wameuna wazungu kwa wazungu sijui sasa Marekani anafanyaje dhidi ya Urusi.

Mungu awarehemu wenye kustahili kurehemewa.
 
Leo Kilio hakipo GHAZA tu! Leo MATAIFA mengi Yamepoteza watoto na Wapenzi wao humo ndani ya hio ndege.

Sasa tuone hao Wamarekani wanaojifanya WABABE na Waisraeli wao Watafanya nini kwa Russians ambao WAMETUNGUA ndege Kusudi? Na kuuwa Zaidi ya WAMAREKANI 23! na WENGINEO 295.

Mungu Awarehemu wenye kustahili kurehemewa.
Amiin

Ameen, Ameen.
 
Shekh Mahmood mbona kwenye list hakuna wamarekani 23 kama ulivyoonyesha kwenye kichwa cha habari ? Au wamo kwenye wasiojulikana uraia wao kama 65 hivi..?

Katika list yangu hii hawajaandikwa lakini katika media zingine wamesema pia wamarekani 23 wameuwawa katika ajali Hiyo.
 
A Malaysia Airlines official at Schiphol airport in Amsterdam said the passengers had included 154 Dutch, 27 Australian, 23 Malaysian, 11 Indonesian, six UK, four German, four Belgian, three Filipino and one Canadian nationals, with the nationalities of the remainder not yet identified. All of the 15 crew were Malaysians, he said....No Americans in the list ...

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
AJALI YA MH17: Waholanzi 189, Wamalaysia 29, Waaustralia 27, Waindonesia 12, Waingereza 9, Wabelgiji 4, Wafilipino 3 wathibitika kufa ndani ndege ya Malaysia.
 
A Malaysia Airlines official at Schiphol airport in Amsterdam said the passengers had included 154 Dutch, 27 Australian, 23 Malaysian, 11 Indonesian, six UK, four German, four Belgian, three Filipino and one Canadian nationals, with the nationalities of the remainder not yet identified. All of the 15 crew were Malaysians, he said....No Americans in the list ...

Sent from my iPhone using JamiiForums

Jewels, soma hii website ya Independent (UK)

Inasema 23 Americans also dead

Malaysia Airlines flight MH17 crash: 'Nine Britons, 23 Americans and 80 children' feared dead after Boeing passenger jet is 'shot down' near Ukraine-Russia border - Europe - World - The Independent - http://www.independent.co.uk/news/w...ng-295-people-crashes-in-ukraine-9612882.html
 
Kuna media zingine zinasema kwamba wafaransa wanne pia wamekufa katika ajali hiyo.
 
Vita vya Gaza sasa hivi vitasimamishwa, ili Polisi wa dunia aanze mchakato wa kumshughulikia Kamanda Putin..What a nice movie to watch..!

USA sio Polisi wa Dunia (Siasa za USA ni za kijambazi tu).
 
USA sio Polisi wa Dunia (Siasa za USA ni za kijambazi jambazi tu).

Shekh 3Arefii ni kweli, si ndio tunahamu ya kuona ujambazi wake utaishia wapi kwa jambazi mwezake Putin, manake kila mmoja ni haramia kuliko mwenzake ..!
 
Leo Kilio hakipo GHAZA tu! Leo MATAIFA mengi Yamepoteza watoto na Wapenzi wao humo ndani ya hio ndege.

Sasa tuone hao Wamarekani wanaojifanya WABABE na Waisraeli wao Watafanya nini kwa Russians ambao WAMETUNGUA ndege Kusudi? Na kuuwa Zaidi ya WAMAREKANI 23! na WENGINEO 295.

Mungu Awarehemu wenye kustahili kurehemewa.
Amiin
mkiristo hawezi kuwa gaidi ni bahati mbaya tu,na kwakuwa mtunguaji ni mkirsto na asilimia 95 ya watunguliwa ni wakristo watayamaliza kinyumbani.

Kwani huwezi jua pengine ni mipango y sir god anajaribu kubalance na yanayotokea gaza.
Ole wake angedungua mhindu moto ungewaka.
 
Haahaa!

Na Hitler je?,

Na Aliotumia bomu la nuclear huko Japan Je? Alikuwa mfuasi wa dini gani?
 
Mhhhh malaysia kuna tatizo,could all these be a mere coincidence???
I heard the the first plane was taken down by US to kill chinese scientists who had clues regarding some 'new' american technology,..i wonder what this one was up for...
 
We sa unaleta utani. Lol
Hahahaaa! kikwete wetu hawezi hata kutunisha msuli kwa rwanda wala malawi!

Sijui masikini atajipima nguvu lini na vifaru vyake! dah.. wanajeshi tuna kazi!
 
Back
Top Bottom