MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,226
- 6,723
alikuwa mfuasi wa SunniHaahaa!
Na Hitler je?,
Na Aliotumia bomu la nuclear huko Japan Je? Alikuwa mfuasi wa dini gani?
alikuwa mfuasi wa SunniHaahaa!
Na Hitler je?,
Na Aliotumia bomu la nuclear huko Japan Je? Alikuwa mfuasi wa dini gani?
Leo Kilio hakipo GHAZA tu! Leo MATAIFA mengi Yamepoteza watoto na Wapenzi wao humo ndani ya hio ndege.
Sasa tuone hao Wamarekani wanaojifanya WABABE na Waisraeli wao Watafanya nini kwa Russians ambao WAMETUNGUA ndege Kusudi? Na kuuwa Zaidi ya WAMAREKANI 23! na WENGINEO 295.
Mungu Awarehemu wenye kustahili kurehemewa.
Amiin
Hao waliotungua ni wakristo wenzao haoo.
Huwez kuskia wakiitwa magaidi.
Sijui hii definition ugaidi ina mantiki gani hasa.
Wakiona uchungu wa kuuwa wasio na hatia basi wajue ni kweli inaumiza.
Na waache kumwaga damu huko gaza.
Laana hiyo inawapata.
Exactly mkuu, this plane was downed by mistake!! These guys guys wameangusha ndege kama mbili last from Ukraine so I think they though that was a cargo plane wakaipiga kombola only later to realize it was a commercial plane. Hata ukiwaskiliza kwenye maongezi yao after the plane went down!
Obama amefoka sana kuhusu hiyo mambo, ni hatari mno. Ukikumbuka Lockerbie of Scotland bomber ilichukua more 20 years kulipiza kisasi kwa kuua rais wa libya, hawa jamaa wana hasira sana, hapo itazuka vita mbaya mno na kulifutilia mbali taifa la Ukrain
Ugaidi ni kuua watu kwa mgongo wa dini au kwa niaba ya dini/mungu unaemwabudu.
Mtu yoyote anaeua watu kwa mgongo wa dini,awe mkristo/muislam ni ugaidi.
Tofauti ya tukio la kuangushwa ndege ya malezia na ugaidi ni kwamba waasi hawakufanya vile kwa jina la mungu.
Thank you.Who started the first world war ? Muslims ? Who started the second world war ? Muslims ? Who killed about 20 millions of Aborigines in Australia ? Muslims ?? Who sent the nuclear bombs of Hiroshima and Nagasaki ? Muslims ?? Who killed more than 100 millions of Indians in North America ? Muslims ?? Who killed more than 50 millions of Indians in south America ? Muslims ?? Who took about 180 millions of African people as slaves and 88% of them died and was thrown in Atlantic ocean ? Muslims ?? No , They weren't Muslims!!! First of all, You have to define terrorism properly... If a non-Muslim do something bad..it is crime. But if a Muslim commit same..he is terrorist... So first remove this double standard...then come to the point!!!
Who tells you russia wanahusika na kulipua ndege, stay quite usirupokeLeo Kilio hakipo GHAZA tu! Leo MATAIFA mengi Yamepoteza watoto na Wapenzi wao humo ndani ya hio ndege.
Sasa tuone hao Wamarekani wanaojifanya WABABE na Waisraeli wao Watafanya nini kwa Russians ambao WAMETUNGUA ndege Kusudi? Na kuuwa Zaidi ya WAMAREKANI 23! na WENGINEO 295.
Mungu Awarehemu wenye kustahili kurehemewa.
Amiin
Putin na serikali yake wana akili sana labda kuliko hata hao wawili wakichanganywa. Hawezi kufanya huu upuuzi asilani
Upuuzi wao wa middle east na Gaza huko hautafanikiwa.Nikweli ila huu unachochewa sana na Us maana kwnn juhudi ya kufaNYa uchunguzi unafanywa ktk ndege hii tu je ile iliyopotea mbona us haijafanya juhuudi kama hiz?
Mtaona matokeo ya hii kitu baadae ila tu hii kitu imepangwa na mpaka sasa wanaelekea kufaulu ila sio russia wala pro-russia wala ukraine. Kazi kwenu kufikiria
Who tells you russia wanahusika na kulipua ndege, stay quite usirupoke
Mtaona matokeo ya hii kitu baadae ila tu hii kitu imepangwa na mpaka sasa wanaelekea kufaulu ila sio russia wala pro-russia wala ukraine. Kazi kwenu kufikiria