Malaya (Prostitute) ni mwanamke au mwanaume?

Malaya (Prostitute) ni mwanamke au mwanaume?

Changudoa ndie prostitute ambae yeye ni sex worker
ana sex for money
wapo kona bar wapo mabarabarani wanajiuza

Kuhusu malaya ..hilo linatokana na tafsiri kulingana na culture

Decent woma Marekani anaweza kuitwa malaya Zanzibar au Pemba
decent woman Sinza anaweza kuitwa Malaya huko Ikwiriri

What about a courtesan?
 
Kuna FUNGUO malaya pia. Hiyo yaweza saidia maana ya malaya.

Hakuna funguo kahaba
 
prostitute/malaya:ni mtu yeyote,me/ke anayefanya mapenzi/anayetoa huduma ya ngono kwa ajili ya kujipatia kipato

adulterer/mzinzi:ni mtu yeyote anayefanya mapenzi nje ya ndoa

fornicator/mzini/anayezini: ni mtu yeyote anayefanya mapenzi kabla ya ndo.mfano mzuri ni mapenzi wakati wa uboyfriend na ugirlfriend

mfano kama mtu atatoka nje ya ndoa na kwenda kujiuza corner bar,atakuwa anafanya prostitution and at the same time adultery.

uko sawa mkuu.....
 
Sawa jembe, umegusa kila kipengele, ila hiki hujakigusa!!
je, unaweza kumwita mtu malaya while u never even touch her?

Ndio mkuu Kiwatengu kama rafiki zako wote 9 wamemgegeda why not usimuite malaya,Utakuwa unampango wa kumgegeda pia ndio maana hutaki muita malaya!
 
Sawa Root, lakini utajuaje kama mtu huyu mwanamke au mwanaume ni malaya ilihali hujawahi kufanya nae sex? kama ulivyobainisha hapo juu..

Sasa kwani lazima ufanye naye wewe?wewe leo unamwona mwanamke anaingia guest na mwanaume huyu kesho na mwanamme mwingine hivyo hvyo na wakati mwingine huyo sio malaya?
 
Malaya ni mtu anayeongea sanaaaa maneno mbofumbofu haina jinsia hiyo.
 
Malaya....> Mtu anaetumia mwili wake kwa mapenzi kujipatia kipato!!!
team no free p....> Hamna kutoa papuch mpaka mwanaume agharamie!!!

malaya <-> team no free p !!!!!

hawana tofauti

Sio kweli hapo unaongelea changudoa
 
Si wanaonekana mtaani na mambo yao, leo yuko na huyu kesho yuko na yule.
Hata huyo ulie nae kama aliwahi kuwa na mwingine ni malaya pia

Hapo kwahyo kila mtu malaya unless hajawah kudate na mtu before?upuuz
 
Back
Top Bottom