Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
Hato yote ni majina tu. Na je wanyama tunawakategory vipi?
Mbwembwe tu za kibinadamu.
Mbwembwe tu za kibinadamu.
Mimi nimedate mtu mmoja hadi leo, sijawahi acha wala kuachwa
Sawa!! Unaweza kumwita mtu malaya hata kama hujamlala?
Wawili
Malaya ni mwanamke au mwanaume anaeweza kua na wapenzi zaidi ya mmoja yani inakua ndio tabia yake kua na wanaume wengi au wanawake wengi
Kahaba ni mwanamke anaefanya biashara ya ngono yaani kuuza mwili wake
Huo ni uelewa wangu
malaya=prostitute
kahaba=-----
kuwa na wanamme au wanawake wengi siyo umalaya.umalaya ni kutoa huduma ya ngono kwa minajili ya kipato.
Mimi nimedate mtu mmoja hadi leo, sijawahi acha wala kuachwa
Wasichana wanaoitwa malaya mitaani wote wanajiuza wanaitwa hivyo labda kwa kua wanaonekana na wanaume wengi au wanawake wengi
But ukisema kahaba inasimama kwa mwanamke tu
malaya
kahaba
- mwanamke au mwanaume mwenye tabia ya uzinzi.
- mwanamke anayejiuza kwa wanaume kwa ajili ya kupata pesa.(uk.151)
source:KAMUSI YA KISWAHILI SANIFU(OUP)
- mtu mwanamume au mwanamke anayeshiriki mambo ya uasherati kuwa ni biashara au starehe yake:malaya:mtembezi:mzinifu:mzinzi (uk.96)
cc:kiwatengu
Malaya ni yule aliegawa papuchi au dusherere mtaa mzima yaani hachagui tena bila ya sababu ya pesa wala nini ila anapenda tu.
Mahaba yeye ngono na pesa bila pesa hakuna ngono na mara nyingi maamuzi yake yanategemea poshi.
Changudoa ni yule ambae haeleweki anaweza kuchukua hela zako na ukamgegeda akaingia wash room akatoka na ukamtaka tena akagegedwa na akarudi tena kuwinda.. Wapo buguruni mkuu.
mh..kumbe na wewe ni mayaya..