yusuphmenjano
New Member
- Jun 24, 2015
- 2
- 0
Ni kweli
Mwanaume anaweza kuwa malaya ila hawezi kuwa kahaba. Kahaba ni kwa mwanamke anayefanya umalaya kwa ajili either kujipatia fedha n.k
Ngoja nifturu kwanza
upo sehemu gani tanzania hii mpaka ufuturu saa moja na dakika 9
Malaya ni mtu yoyote mwanaume au mwanamke mwenye kufanya mapenzi na watu zaidi ya mmoja
Hakuna wanaume wanaofanya mapenzi kujipatia pesa?
Ndio mkuu Kiwatengu kama rafiki zako wote 9 wamemgegeda why not usimuite malaya,Utakuwa unampango wa kumgegeda pia ndio maana hutaki muita malaya!
Sasa kwani lazima ufanye naye wewe?wewe leo unamwona mwanamke anaingia guest na mwanaume huyu kesho na mwanamme mwingine hivyo hvyo na wakati mwingine huyo sio malaya?
sina hofunaona umeshtuka kidogo..
hofu yakuitwa mayaya....
Valey nipo my nimejaa tele
Re-Post;
- Malaya ni nani?
- Ni mwanaume au mwanamke?
Je, kila mtu anaweza kumwita mwanamke/mwanaume malaya?
Hata kama hawajawahi kukutana naye kimwili?
Kwa upande wangu huwa naona vigumu kumwita mwanamke malaya wakati sijawahi mgegeda.
Nini kipimo cha kuwa malaya?
Kuna wadada wanapenda sana pesa tena kwa uwazi kabisa.
Hata hapa JF wapo (kulingana na jinsi wanavyojinadi) refer team no free P.
Je, hawa nao ni malaya?
Lastly kuna tofauti gani kati ya maneno haya hapa chini na malaya?
i. Kahaba
ii.Changudoa
Hebu tujadiliane