Malaya (Prostitute) ni mwanamke au mwanaume?

Malaya (Prostitute) ni mwanamke au mwanaume?

Sawa mkuu, hongera! so kwenye umalaya, ni kama mwanamke kakutana na mwanaume zaidi ya mmoja, duh!! mbona Malaya watakuwa wengi sana?
achilia mbali wale wanaofanya kama biashara..

Hiyo ni definition yangu pekee, wapo wengine wanachukulia umalaya ni mwanamke anae toka na wanaume wengi kwa wakati mmoja mfano leo yuko na fulani, jioni fulani
 
Changudoa ndie prostitute ambae yeye ni sex worker
ana sex for money
wapo kona bar wapo mabarabarani wanajiuza

Kuhusu malaya ..hilo linatokana na tafsiri kulingana na culture

Decent woma Marekani anaweza kuitwa malaya Zanzibar au Pemba
decent woman Sinza anaweza kuitwa Malaya huko Ikwiriri

Umesahau mademu wa Bongo movie pia.
 
kiwatengu

prostitute/malaya:ni mtu yeyote,me/ke anayefanya mapenzi/anayetoa huduma ya ngono kwa ajili ya kujipatia kipato

adulterer/mzinzi:ni mtu yeyote anayefanya mapenzi nje ya ndoa

fornicator/mzini/anayezini: ni mtu yeyote anayefanya mapenzi kabla ya ndo.mfano mzuri ni mapenzi wakati wa uboyfriend na ugirlfriend

mfano kama mtu atatoka nje ya ndoa na kwenda kujiuza corner bar,atakuwa anafanya prostitution and at the same time adultery.
 
Last edited by a moderator:

Sawa! vipi kuhusu
1. Kahaba
2. Changudoa.
 
Sijaelewa unataka kufahamu nini but kwa haraka labda nikupatie huu muongozo............kahaba ni mwanamke anayefanya mahusiano na mwanaume ili kujipatia kipato kama kazi....
waweza mwita informal name ya changudoa.........malaya ni mwanamke anayependa kujihusisha kwenye mahusiano na wanaume tofauti kwa wakati m'moja si kwa lengo la kujipatia pesa ila kujifurahisha akili yake..........but huwa unatumika kwa wanaume pia kwasababu huwa na haiba inayofanana ya kuingia kwenye mahusiano na wapenzi tofauti ili kujifurahisha na kumaliza tamaa za mwili.
 
Back
Top Bottom