Malalamiko ya Serikali na majibu ya EU

Malalamiko ya Serikali na majibu ya EU

WAMESHAJITETEA

WANAJITETEA AS WE SPEAK

WASHASIKIKA

Waziri Mkuu Mwigulu kasema kiini cha tatizo ni wivu wa treni.

Reli ya Dar - Dodoma inawatia wazimu watu wa dunia. Tena haitumii dizeli. Ni ya umeme.

Na nyongo nyingine inayofanya dunia ituandame ni kwa vile tumegundua Nickel, Uranium na gesi. Dunia hailali, imejawa gubu na wivu mkali.

Na kulinda hizi mali mmesema mtafanya lolote, kwa gharama yoyote.

Nini sasa cha utetezi mbacho bado hamjasikilizwa mkikisema ???
 
SERIKALI IMEENDA KULIA BUNGE LA ULAYA INAOMBA HAKI YA KUSIKILIZWA.

Hii ni barua rasmi ya wasiwasi iliyoandikwa na Balozi wa Tanzania mjini Brussels tarehe 25 Novemba 2025, ikielekezwa moja kwa moja kwa Bunge la Ulaya.

Jambo kuu:
Tanzania inapinga vikali mjadala uliopangwa kufanyika tarehe 26 Novemba 2025 (kesho yake) katika kikao cha plenary cha Bunge la Ulaya chenye mada:

“Post-election killings and the deteriorating human rights situation in Tanzania, including the case of imprisoned opposition leader Tundu Lissu.”

Malalamiko ya msingi ya Tanzania:

1. Mada inahusu masuala ya ndani yanayogusa uhuru wa nchi (sovereignty) na heshima yake.

2. Tanzania haijapewa nafasi hata moja ya kutoa maelezo au kujitetea kabla ya mjadala.

3. Hii inakiuka moja kwa moja Makubaliano ya Samoa (OACPS-EU) ambayo yanasisitiza:

- Mazungumzo ya pande zote mbili

- Heshima ya pande zote

- Suluhisho la migogoro kwa mazungumzo kabla ya hatua za umma au za upande mmoja.

4. Hata katika Kamati ya Mambo ya Nje (AFET) Tanzania haikualikwa kutoa ufafanuzi, hivyo mjadala una hatari ya kutegemea habari za upande mmoja na zisizothibitishwa.

5. Inakiuka kanuni za kimataifa za haki ya asili ya kusikilizwa (right to be heard).

Tanzania inasisitiza:

- Imeunda Tume ya Taifa ya Uchunguzi huru kuchunguza matukio yote ya hivi karibuni.

  • Iko imara katika demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria.
  • Inathamini uhusiano wa muda mrefu na Umoja wa Ulaya.

Ombi rasmi:
  • Iahirishwe mjadala wa plenary hadi Tanzania ipewe nafasi ya kutoa maelezo yake rasmi, au
  • Angalau iruhusiwe kushiriki na kutoa mada yake wakati wa mjadala huo huo ili wabunge wa Ulaya wapate picha kamili na yenye usawa.

Hitimisho la barua:
Tanzania inaomba jibu la haraka na inasisitiza kuwa ushirikiano wa kweli unahitaji mazungumzo, si hukumu za upande mmoja.

Kwa kifupi sana:
Tanzania inasema wazi:
“Hamna haki ya kutuhukumu hadharani bila kutusikiliza kwanza. Tupe nafasi ya kujieleza kama washirika, kama ilivyoagizwa katika makubaliano”
Wauaji wametiwa kati; hawana pa kuchomokea. Mama Samuya ajiandae kwenda kunyea debe gerezani.
 
Kwanza hatuna serikali, Hao ni wahuni walioandika hiyo barua, sisi hatujafanya uchaguzi, hivyo hatujaunda serikali.

Ile kesi hashitakiwi serikali wanashitakiwa individuals, ukiishitaki serikali maana yake wamekujumuisha na wewe.

Yatatumia rasilimali za uma kwenda kujitetea na kuweka mawakili na bado yanatawala, kwa maana nyingine hayata feel maumivu yoyote.

Hiyo ni kesi ya ccm na polisi wao siyo serikali.

Mnaanza kujichanganya halafu yakishinda, mtakosa cha kuyafanya.

Na kumbuka ICC huwa haileti ukombozi kwa taifa lolote, inashitaki na kuhukumu wahalifu tu.

Serikali ya Tanzania haina kesi ICC ni majambazi yanajulikana.

Tafadhali edit andiko lako, wataje wahusika, mimi sishitakiwi ICC.

Na serikali ya Tanzania haishitakiwi icc, makosa kama haya hata Lisu atawashangaa akiiona nakala ya hukumu, irekebishwe watajwe wahusika na watoke madarakani wahudhurie kesi kama wao na wasitumie rasilimali na pesa za umma kujitetea.

We need them as individual to feel that pain.
 
downloadfile.jpg
 
SERIKALI IMEENDA KULIA BUNGE LA ULAYA INAOMBA HAKI YA KUSIKILIZWA.

Hii ni barua rasmi ya wasiwasi iliyoandikwa na Balozi wa Tanzania mjini Brussels tarehe 25 Novemba 2025, ikielekezwa moja kwa moja kwa Bunge la Ulaya.

Jambo kuu:
Tanzania inapinga vikali mjadala uliopangwa kufanyika tarehe 26 Novemba 2025 (kesho yake) katika kikao cha plenary cha Bunge la Ulaya chenye mada:

“Post-election killings and the deteriorating human rights situation in Tanzania, including the case of imprisoned opposition leader Tundu Lissu.”

Malalamiko ya msingi ya Tanzania:

1. Mada inahusu masuala ya ndani yanayogusa uhuru wa nchi (sovereignty) na heshima yake.

2. Tanzania haijapewa nafasi hata moja ya kutoa maelezo au kujitetea kabla ya mjadala.

3. Hii inakiuka moja kwa moja Makubaliano ya Samoa (OACPS-EU) ambayo yanasisitiza:

- Mazungumzo ya pande zote mbili

- Heshima ya pande zote

- Suluhisho la migogoro kwa mazungumzo kabla ya hatua za umma au za upande mmoja.

4. Hata katika Kamati ya Mambo ya Nje (AFET) Tanzania haikualikwa kutoa ufafanuzi, hivyo mjadala una hatari ya kutegemea habari za upande mmoja na zisizothibitishwa.

5. Inakiuka kanuni za kimataifa za haki ya asili ya kusikilizwa (right to be heard).

Tanzania inasisitiza:

- Imeunda Tume ya Taifa ya Uchunguzi huru kuchunguza matukio yote ya hivi karibuni.

  • Iko imara katika demokrasia, haki za binadamu na utawala wa sheria.
  • Inathamini uhusiano wa muda mrefu na Umoja wa Ulaya.

Ombi rasmi:
  • Iahirishwe mjadala wa plenary hadi Tanzania ipewe nafasi ya kutoa maelezo yake rasmi, au
  • Angalau iruhusiwe kushiriki na kutoa mada yake wakati wa mjadala huo huo ili wabunge wa Ulaya wapate picha kamili na yenye usawa.

Hitimisho la barua:
Tanzania inaomba jibu la haraka na inasisitiza kuwa ushirikiano wa kweli unahitaji mazungumzo, si hukumu za upande mmoja.

Kwa kifupi sana:
Tanzania inasema wazi:
“Hamna haki ya kutuhukumu hadharani bila kutusikiliza kwanza. Tupe nafasi ya kujieleza kama washirika, kama ilivyoagizwa katika makubaliano”
Hakuna malalamiko yoyote ya serikali yatakayokubalika. PoliCCM hawapaswi kuwapiga unarmed civilians risasi za moto kwa sababu yoyote ile. Samuya lazima akanyee debe na hizo shungi anazojifunga kila siku ndizo atakazokuwa anachambia.
 
jambo ambalo sijawahi kulielewa mpaka leo hii, ni kwa nini madictator woote act the same way, sielewi why they dont just see it coming ingawaje ushahidi uko wazi kwa kila mtu kuona kilichowatokea wengine waliotunisha kifua mbele ya international community? kwamba hauwezi kushinda vita against the internantional community wewe siyo russia au china, hata china mwenyewe bows to the pressure of the west wakati mwingine.

i mean, haya yooote yangeweza kuepukika kama tu wangesikiliza walichokuwa wanaambiwa na kushauriwa, walikuwa na uwezo wa kuahirisha uchaguzi kufanya reforms leo hii they would walk home free na heshima kubwa kila mahali, lkn wanarudia makosa yale yale waliofanya wengine wakidhania kwamba wao ni so special na wataweza kuwarubuni watu over and over again na kwamba watasahau yatapita.

hii nchi imekuwa na maraisi wengi wamekuja wamepita na itakuwepo kwa miaka 100 ijayo hata kama siyo kama ilivyo leo hii lkn itakuwepo sasa nani kakwambia kwamba wewe ni lazima uwe raisi hata kama hawaukutaki, waachie nchi yao na uende kwa amani usilazimishe, lkn sasa hivi its loo late, muda wa kufanya hivyo ulikuwepo wa kutosha sidhani kama kuna mswalie mtume tena ...
Inaitwa woodheadedness
 
Th @EU_Commission is fully within its legal and moral mandate to deliberate on mass atrocities without waiting for perpetrators to dictate the schedule.
😀Eu inasema haiwezi kusubiri wahuni
Natural justice begins at home. If Tanzania respected this principle:

•protesters would not have been shot,
•detainees would not be held incommunicado,
•@TunduALissu would not be isolated under CCTV surveillance,
•journalists would not be threatened,
•families of victims would not be denied information about their loved
Tunawaambia kila siku hawa mnaoita sijui diplomats au wanasheria wa serikali wakienda kimataifa wananyolewa kwa chupa, ona sasa wanavyoaibika kwa majibu haya😀
 
Majibu
Responding to the Embassy of Tanzania’s Note Verbale dated 25 November 2025.

1. “The Government is concerned the EU did not give it an opportunity to present its side.”

Rebuttal:

A government that shuts down domestic media, censors all journalism about the October 29–Nov 3 killings, blocks observers, and arrests witnesses cannot claim it is being denied an opportunity to speak. The EU hearing exists precisely because Tanzania has refused to allow free reporting or independent investigations internally.

What the government calls “not given an opportunity” is actually:

•victims not being allowed to speak,
•civil society being threatened,
•opposition leaders being detained, and
•state machinery blocking truth-finding.

The EU cannot wait for a regime that is actively suppressing evidence.

2. “Proceeding without Tanzania’s views is inconsistent with the Cotonou Agreement and partnership dialogue.”

Rebuttal:

The Cotonou/OACPS–EU framework does not oblige the @EUinTZ to seek permission from a state before condemning killings or human rights violations. Dialogue is not a shield against accountability.

The government selectively quotes “dialogue” while ignoring:

•human rights clauses of the same agreement,
•obligations to prevent killings,
•obligations to protect political rights,
•the fact that dialogue does not supersede fundamental rights.

Th @EU_Commission is fully within its legal and moral mandate to deliberate on mass atrocities without waiting for perpetrators to dictate the schedule.

3. “Natural justice requires hearing both sides before conclusions are drawn.”

Rebuttal:

Natural justice begins at home. If Tanzania respected this principle:

•protesters would not have been shot,
•detainees would not be held incommunicado,
•@TunduALissu would not be isolated under CCTV surveillance,
•journalists would not be threatened,
•families of victims would not be denied information about their loved ones.

A government committing violations cannot invoke “natural justice” only when facing international scrutiny, while denying the same rights to its own citizens.

4. “The EU risks relying on unverified and one-sided narratives.”

Rebuttal:

This claim collapses instantly under scrutiny.

The evidence of abuses is:
•video-recorded,
•geo-verified,
•documented by hospitals treating gunshot victims,
•supported by eyewitnesses,
•corroborated by international organizations,
•acknowledged even by government insiders who have fled.

The only “unverified narrative” is the government’s shifting explanations, including:

•denying deaths,
•then admitting casualties,
•then blaming “outsiders”,
•then blaming “opposition incitement”,
•then claiming “no protests were authorized”.

None of these contradictions discredit the documented facts of killings.

5. “Tanzania has established a National Commission of Enquiry.”

Rebuttal:

The government is asking the world to trust a Commission that:

•has no publicly released terms of reference,
•is not independent of the Executive,
•excludes victims, opposition, civil society, and independent observers,
•lacks transparency,
•has historically been used to bury cases.

Calling this Commission “independent” is misleading. It is not credible by international standards (UN, AU, ACHPR) and cannot replace an impartial investigation.

6. “Tanzania remains committed to democracy, human rights, and the rule of law.”

Rebuttal:

Actions matter more than words.

No democratic government:

•shoots unarmed civilians,
•detains elected leaders for political reasons,
•blocks opposition rallies nationwide,
•manipulates the media through threats,
•invokes cybercrime laws to arrest group admins,
•shuts down the internet during political crises.

Commitment to human rights cannot coexist with extrajudicial killings and systematic repression.

This statement is diplomatic theatre, not reality.
Kwenye mshono
 
Back
Top Bottom