Malalamiko ya Makato ya Deni la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Mwezi Juni, 2021

Walidhani hatuwezi kubaini wizi huo
Baada ya Rais kuondoa Rentation fee, majizi yameona yaibe kimyakimya
 
Never trust a politician ,even if he comes to you holding a Bible/ Quran on his head.
 
Aisee ni kweli. Nimeenda ofisi ya Bodi ya mkopo leo. Wanasema wao hawahusiki na salary slip za utumishi. Tatizo lipo hazina.
 
Dawa ya deni kulipa..nyie mlikua mnatulingishia sana na vibumu vyenu..kila wikendi pizza hut kutulingishia life la chuo na videmu vyenu...lipeni achani kulalama.

#MaendeleoHayanaChama
Mwenzako ana tatizo serious wewe unafanya mzaha. Acha utoto.
 
Salary slip Kuna shida, baada ya kukuona uzi huu, deni la mwezi Mei na juni tofauti ni Sh.19 tu, licha ya salary slip kuonesha nimekatwa kama kawaida.Inshort mwezi huu nimekatwa sh.19 na takehome imebaki ileile kama ya mwezi Mei.Hivi Hazina imehamia Dodoma au ipo Dar?


Mimi eti salary slip inaonesha nimekatwa sh 15 mwezi juni lkn take home ni ileile inabidi watoe maelezo.
 
Ukiwatembelea kwenye website yao unakutana na picha hii
Screenshot_20210701-112548.png


Halafu kwa chini kidogo picha ya huyu jamaa kageuzwa ukiwa unatumia desktop mpaka uligeuze shugjuli ipo 😀😀😀😀
Screenshot_20210701-112727.png


Yani wanachekesha sana. Halafu leo ni tarehe moja walisema watafungua maombi naona bado wamelala tu
 
Back
Top Bottom