Hahhaha...huo ukarimu asee[emoji23][emoji23][emoji23]...Sikukuu Jumamosi, weekend inaanza kesho, Inside10 sikusomi....
Njoo nikupe ukarimu usio na mipaka mpwa.
Nitamwambia mwezako akufungashieUsisahau kunibebea zabibu. Ukiwa unarud [emoji39][emoji39][emoji39]
Malaya wengi pale..Muwe mnaenda chako ni chako chimbo kongwe sana na pametulia japo mara chache vurugu hazikosekani, unapiga vyombo na mziki laini pembeni kuku choma ukichoka unajichagulia mtoto unaehitaji unaondoka nae bila tatizo, hakuna kubaguliwa wala Nini.
Bei gani waleMalaya wengi pale..
Wachafu sijawahi hata ulizaBei gani wale
Duuh nikasikia wapo classic kumbe kambaWachafu sijawahi hata uliza
Tena don't try, you will be humiliatedKm najiona mm na mke wangu mwenye umbo dogo km mwanafunzi wakati ni mwl wa secondary hahahaaaa
Karibu mpyaHahhaha...huo ukarimu asee[emoji23][emoji23][emoji23]...
Madame unikirimu nami Mwaka mupya[emoji7]
Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
Aliongeza size ya kiwanja kimo Cha kontena kwa million 100 literally pesa zilimzidi akiliHahahaha maisha haya... jamaa alikamata hela bila shule kichwani. Nasikia hata wakati wa ujenzi wajanja walimpiga mbaya
Duh, hahahahaha lakini uzuri hajafilisika.Aliongeza size ya kiwanja kimo Cha kontena kwa million 100 literally pesa zilimzidi akili
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niletee wee mwenyewe bhana.Nitamwambia mwezako akufungashie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wachafu sijawahi hata uliza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlitolewa knock out?Km najiona mm na mke wangu mwenye umbo dogo km mwanafunzi wakati ni mwl wa secondary hahahaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aliongeza size ya kiwanja kimo Cha kontena kwa million 100 literally pesa zilimzidi akili
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Nashangaa hapa na mie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnaoenda hapo then mnasumbuliwa na kutimuliwa hamjielewe hata nusu!mnajidhalilisha [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]pesa yako then unakubalo vipi sasa akunyodoe!msiende muone kama watauza...!!!maeneo ya starehe yako mengi sana ,why mnakubali kudhalilishwa