Malaika walitoa wapi panga huko Mbinguni?

Wafia dini wa bongo wamebweteka sana na wamejifunika kwenye chungu, inabidi wapelekwe mchakamchaka mpaka ulimi uwatoke😁
Kuna muda unakaa unawaza niwachokoze na lipi leo? 😹😹

Ukitoka panga uwaulize kuhusu nyumba ya kukutana huko itatosha kwa wote tunaotoka nchi mbalimbali? 😹😹
 
panga walinunua toka duniani baada ya binadamu kugundua chuma.....
 
Malaika hana jinsia ,

Malaika hatumii panga.

Mtume hakupanda farasi, alipanda Buraq.
 
Kwa mujinu wa maandiko hata makato yako malaika ana uwezo wa kugeuza kuwa panga
 
Hapo mwanzo, mtu alimuumba Mungu Kwa mfano wake.

Kipindi watu wanaleta mambo ya miungu walifananisha miungu na wanadamu, vitu vyote walivyouwa wanatumia wanadamu waliwapa hao miungu, sema tu miungu walipewa nguvu zaidi.
Mfano Mungu aliitwa Mfalme wa Wafalme, Kwa sababu kipindi hi hicho Wafalme ndiyo walikuwa watawala.


Kama mambo ya Mungu yangeanza Leo, labda hata Mungu angekuwa na simu, angekuwa na Private Jet,

Jeshi la Mungu lingekuwa na siraha za Nuclear,
Mitambo mbalimbali ya kijeshi ambayo Iko advanced saaana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…