mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,502
Hayo ni makusanyo ya bandarini tu sio ya jumla. Wastani wa mapato bandarini umepanda kutoka bilioni 200 hadi 300 kwa mwezi hadi kufikia bilioni 400 hadi 500 kwa mwezi.Habari wakuu,
Nilikua naangalia taarifa ya habari ITV usiku huu na msemaji wa TRA ni kama nimemsikia kwamba makusanyo waliokusanya mwezi June ni billion 500.
Kulikoni makusanyo ya kodi kushuka hivi mwezi June.
Au kwa mliosikia vizuri au data zaidi ya kiasi halisi kilichosemwa mnaweza mkatoa data za uhalisia kwa maana naona kama billion 500 ni kama makusanyo yameshuka by a half.
Asante kwa ufafanuzi mkuuHayo ni makusanyo ya bandarini tu sio ya jumla. Wastani wa mapato bandarini umepanda kutoka bilioni 200 hadi 300 kwa mwezi hadi kufikia bilioni 400 hadi 500 kwa mwezi.
Mmawia na team yake hizi habari hawataki kabisa kusikia.Hayo ni makusanyo ya bandarini tu sio ya jumla. Wastani wa mapato bandarini umepanda kutoka bilioni 200 hadi 300 kwa mwezi hadi kufikia bilioni 400 hadi 500 kwa mwezi.
Inawezekana na isiwezekane! Kwa style ya sasa hawawezi kuonyesha kuwa bandari imeshuka makusanyo kwa watumiaji wake kuhama.Hayo ni makusanyo ya bandarini tu sio ya jumla. Wastani wa mapato bandarini umepanda kutoka bilioni 200 hadi 300 kwa mwezi hadi kufikia bilioni 400 hadi 500 kwa mwezi.
Sasa there comes our main problem"namna ya kuzitumia ili zilete matokeo chanya"Habari wakuu,
Nilikua naangalia taarifa ya habari ITV usiku huu na msemaji wa TRA ni kama nimemsikia kwamba makusanyo waliokusanya mwezi June ni billion 500.
Kulikoni makusanyo ya kodi kushuka hivi mwezi June.
Au kwa mliosikia vizuri au data zaidi ya kiasi halisi kilichosemwa mnaweza mkatoa data za uhalisia kwa maana naona kama billion 500 ni kama makusanyo yameshuka by a half.
Kutengeneza barabara ya mzee wa upakoSasa there comes our main problem"namna ya kuzitumia ili zilete matokeo chanya"
Ujaeleweka, tulia uandike vizuri.Hayo ni makusanyo ya bandarini tu sio ya jumla. Wastani wa mapato bandarini umepanda kutoka bilioni 200 hadi 300 kwa mwezi hadi kufikia bilioni 400 hadi 500 kwa mwezi.
Ujaeleweka, tulia uandike vizuri.
Inawezekana na isiwezekane! Kwa style ya sasa hawawezi kuonyesha kuwa bandari imeshuka makusanyo kwa watumiaji wake kuhama.
watumiaji wa hiyo barabara nao ni Watanzania kama wewe.Kutengeneza barabara ya mzee wa upako
Hayo ni makusanyo ya bandarini tu sio ya jumla. Wastani wa mapato bandarini umepanda kutoka bilioni 200 hadi 300 kwa mwezi hadi kufikia bilioni 400 hadi 500 kwa mwezi.
Mungu mkubwa. Huko mbele kuna mambo mazuriungesikiliza vizuri wala usingekurupuka kuweka hii post, hyo billion 500 ni makusanyo bandarini tuu! na wamepongeza kwa kuwa mwanzo ilikuwa kati ya billion 200 hadi billion 300 ,ila sasa ivi wamekusanya billion 500