Makundi yaenda kimya kimya usiku kwa Lowassa

Umelewa wewe, unawayawaya wewe, umekula maharage unahara ndani ya pampers wewe, huna akili wewe, umejiabisha wewe, umeaibisha familia yako wewe, umemuaibisha mumeo wewe, umeiabisha dini yako wewe, hufai wewe, nimekudharau na watu wote wenye akili timamu wakudharau wewe, umechoka wewe, malaika wakupige mpaka urudi kwenye mstari wewe, pengo wewe, ... wewe, nani aliyekurogaaaaaaaaaaa!


Hahahaa..mkuu utaitwa police shaur yako
 
Acha uchizi. Umewekewa source ya habari bado unatokwa povu tu!
Mpuuzi wewe, mjinga wewe, hufai wewe, nimekudharau wewe, sikuheshimu wewe, pampers wewe, Pengo wewe ... ni nani aliyekuroga!:eek:
Umecopy ba kupaste post yangu kama ilivyo!!! Ulitaka kucomment nini?
 
Lowassa anakubalika na makundi yoote ya wananchi...

1: Walimu + wafanyakazi...ni EL

2: Wafugaji + wakulima....ni EL

3: Maaskofu + wakristo wote...EL

4: Masheikh + waislamu....EL

5: Boda boda + Machinga wote...EL

6: Wafanyabiashara wakubwa wote....EL

7: Wazee wastaafu wa ngazi za juu CCM, Mkapa, Karume, Kingunge, Warioba, Sumaye, etc.....ni EL

8: CCM...NEC members....90% ....EL hii ni uhakika

9: Ukawa...65% EL....Mbowe, Dr. Slaa,...ACT- Zitto....EL

10: Wana vyuo....80% EL....

Matokea ya utafiti mpya yatakuja very soon, within 2 days...

EL....Safari ya Matumaini inasonga mbele...!!!
Umesahau kundi la majoka yenye makengeza yanayosaka pesa popote kwa njia yoyote ile akina Chenge Vijisenti!
 
Kwani hayo makundi hawajui kua wenzao wameshawawakilisha na Lowasa ameshakubali kugombea? au makundi yote wanataka kila mmoja afike kwake?
 
ndo hvo Sasa ...ukinyimwa kula mchana ukila usiku umekula pia...shibe ni ile ile
 
Acha uchizi. Umewekewa source ya habari bado unatokwa povu tu!
Mpuuzi wewe, mjinga wewe, hufai wewe, nimekudharau wewe, sikuheshimu wewe, pampers wewe, Pengo wewe ... ni nani aliyekuroga!

Daaaaah nimecheka vya kutosha. Hilo jibu nadhani hata mzee Mkapa angecheka. Leo utapata reply za kutosha
 
mtu wa watu hata usiku wa manane ?
Kwani nyie kinawauma nini ?mwacheni mzee wa watu apasue njia
 
Licha ya Lowassa kutoa taarifa ya kusitisha makundi kwenda kwake kumshawishi kugombea urais hadi muda wa kampeni ukitangazwa na chama, makundi hayo yamebadili mtindo na kwenda usiku bila mbwembwe wala vyombo vya habari.

Source: Tanzania Daima

hii nchi haina ulinzi kabisa ! maelfu ya watu wanarandaranda usiku wa manane , polisi wanakoroma .
 
Back
Top Bottom