Makundi yaenda kimya kimya usiku kwa Lowassa

Makundi yaenda kimya kimya usiku kwa Lowassa

kyalankota

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
2,594
Reaction score
1,463
Licha ya Lowassa kutoa taarifa ya kusitisha makundi kwenda kwake kumshawishi kugombea urais hadi muda wa kampeni ukitangazwa na chama, makundi hayo yamebadili mtindo na kwenda usiku bila mbwembwe wala vyombo vya habari.

Source: Tanzania Daima
 
Hata yeye alikosea, kwanini alizuia baadhi ya makundi yasiende ili hali aliyapandikiza mwenyewe, yeye anadhani wao hawapendi kutimiza ahadi ili wakumbukwe wakati wa UFALME????? asitusumbue akili zetu, na hakika huyu akikosa Ufalme tunamzikaa kwa shinikizo la damu.
 
Acha uchizi. Umewekewa source ya habari bado unatokwa povu tu!
Mpuuzi wewe, mjinga wewe, hufai wewe, nimekudharau wewe, sikuheshimu wewe, pampers wewe, Pengo wewe ... ni nani aliyekuroga!

Ahaaaaaa gwajima at work
 
Acha uchizi. Umewekewa source ya habari bado unatokwa povu tu!
Mpuuzi wewe, mjinga wewe, hufai wewe, nimekudharau wewe, sikuheshimu wewe, pampers wewe, Pengo wewe ... ni nani aliyekuroga!

Hahahaa ndugu naona umevurugika kidogo, lakini ukiona wa hivyo mudaflani unampotezea maana kutukanana haipendez
 
Delete futaaa
 

Attachments

  • 1427603981289.jpg
    1427603981289.jpg
    53 KB · Views: 920
Acha uchizi. Umewekewa source ya habari bado unatokwa povu tu!
Mpuuzi wewe, mjinga wewe, hufai wewe, nimekudharau wewe, sikuheshimu wewe, pampers wewe, Pengo wewe ... ni nani aliyekuroga!

Hahahahahahaha....kweli humu jf ni suluhisho na tiba kwa wale wenye ugonjwa wa kutokucheka!!
 
Naomba tuishi ukweli na kuhubiri huu ukweli. Nchi hii ni yetu tuwe wa kweli siku zote na hii kweli itatuweka huru. Nimejaribu mikoa Kama mitamo Kwa utashi wangu ni kijaribu kusaka ukweli huu ya kukubalika Kwa Lowassa kwa wananchi

Nilifanya hivyo kwa sababu ya kuishi ukweli na kuuamini ukweli. Mikoa yenyewe niliotembelea ni ya Kusini, Kati, Pwani, Dar, kazkazini, kanda ya ziwa. Nilicho kusikia kwa masikio yangu baada ya kufanya mahojiano ya kina tena randomly wengi walisema wataka kuwapa UKAWA wabunge wengi na wanagetaka rais wao awe Lowassa.

Wiki ijayo nitakuja na taarifa kamili baada ya kukamilisha taarifa na kulinganisha na wale wezangu ambao wrote tunatoka vyama tofauti vya siasa.

Ni vyema utafiti ukafanyika vizuri na kuwaruhusu wananchi kuchagua watu wanaowapenda. Tulibaini pia kuwa asilimia ya vijana wenye chini ya miaka 24 hawaishabikii CCM. Vilevile Hawa vijana bado hawajaamua watakipigia chama kipi kura. Mara wataje ACT, UKAWA na CCM kuonekana option ya Mwisho.

Kuhusu wagombea wengine wanaotajwa ni Dr. Slaa, Magufuli na Mkapa. Ila baada ya kuwaeleza kuwa Mkapa kamaliza muda wake baadhi walisema bado wanamhitaji
Hizi preliminary findings ripoti nzima tutaimwaga hapa JP.
 
Back
Top Bottom