Makundi yaenda kimya kimya usiku kwa Lowassa

Makundi yaenda kimya kimya usiku kwa Lowassa

Acha uchizi. Umewekewa source ya habari bado unatokwa povu tu!
Mpuuzi wewe, mjinga wewe, hufai wewe, nimekudharau wewe, sikuheshimu wewe, pampers wewe, Pengo wewe ... ni nani aliyekuroga!

Hii ni post of the day...JF is always stress free zone.
 
Acha hadira mtoto wa kike , wenzako mbona hawapo hivyo?
Umelewa wewe, unawayawaya wewe, umekula maharage unahara ndani ya pampers wewe, huna akili wewe, umejiabisha wewe, umeaibisha familia yako wewe, umemuaibisha mumeo wewe, umeiabisha dini yako wewe, hufai wewe, nimekudharau na watu wote wenye akili timamu wakudharau wewe, umechoka wewe, malaika wakupige mpaka urudi kwenye mstari wewe, pengo wewe, ... wewe, nani aliyekurogaaaaaaaaaaa!
 
Watakua ni wachawi hao ama kweli mwanamazingaombwe anapendwa
 
Ndio inavyotakiwa Mbona Pinda na Membe wanashawishiwa Kimyakimya nyinyi Mambulurula hampigi Kelele?.
 
kwahyo hayo ndio mafuriko ameshindwa kuyazuia kwa mikono?
 
Kwa hiyo mtu akipatwa na wageni usiku maana yake ni mshirikina?

Mkuu, we mgeni nchi hi? Huyu Simiyu yetu kwao ni wapi? Jina lake linaonesha anatoka Simiyu, huko ndiko yalikokua makao makuu ya wachawi kanda ya ziwa (maarufu kwa jina na gamboshi) kwa hiyo usishangae kumsikia jamaa anawaza uchawi saa zote, ndio mazingira aliokulia hayo
 
Acha uchizi. Umewekewa source ya habari bado unatokwa povu tu!
Mpuuzi wewe, mjinga wewe, hufai wewe, nimekudharau wewe, sikuheshimu wewe, pampers wewe, Pengo wewe ... ni nani aliyekuroga!
Mkuu nimecheka sana.
CCM wamepitisha sheria ya mtandao kuzuia mafuriko ya ukweli kwa viganja.
 
Lowassa anakubalika na makundi yoote ya wananchi...

1: Walimu + wafanyakazi...ni EL

2: Wafugaji + wakulima....ni EL

3: Maaskofu + wakristo wote...EL

4: Masheikh + waislamu....EL

5: Boda boda + Machinga wote...EL

6: Wafanyabiashara wakubwa wote....EL

7: Wazee wastaafu wa ngazi za juu CCM, Mkapa, Karume, Kingunge, Warioba, Sumaye, etc.....ni EL

8: CCM...NEC members....90% ....EL hii ni uhakika

9: Ukawa...65% EL....Mbowe, Dr. Slaa,...ACT- Zitto....EL

10: Wana vyuo....80% EL....

Matokea ya utafiti mpya yatakuja very soon, within 2 days...

EL....Safari ya Matumaini inasonga mbele...!!!
 
Acha uchizi. Umewekewa source ya habari bado unatokwa povu tu!
Mpuuzi wewe, mjinga wewe, hufai wewe, nimekudharau wewe, sikuheshimu wewe, pampers wewe, Pengo wewe ... ni nani aliyekuroga!

Mkuu nimecheka sana
 
Acha uchizi. Umewekewa source ya habari bado unatokwa povu tu!
Mpuuzi wewe, mjinga wewe, hufai wewe, nimekudharau wewe, sikuheshimu wewe, pampers wewe, Pengo wewe ... ni nani aliyekuroga!😱

Hahahaaaa asanteee mkuuuuuuuu
 
Hata yeye alikosea, kwanini alizuia baadhi ya makundi yasiende ili hali aliyapandikiza mwenyewe, yeye anadhani wao hawapendi kutimiza ahadi ili wakumbukwe wakati wa UFALME????? asitusumbue akili zetu, na hakika huyu akikosa Ufalme tunamzikaa kwa shinikizo la damu.
tusiombeane haya, Mungu pekee ndo anayejua mana Komba alimtabiria mzee Warioba kwa bahati kaondoka yeye kamuacha Warioba anadunda
 
Hatma ya mwanadamu ipo mikononi mwa MUNGU yeye ndiye ajuaye utaondoka vipi.

Reference: Komba.
 
Licha ya Lowassa kutoa taarifa ya kusitisha makundi kwenda kwake kumshawishi kugombea urais hadi muda wa kampeni ukitangazwa na chama, makundi hayo yamebadili mtindo na kwenda usiku bila mbwembwe wala vyombo vya habari.

Source: Tanzania Daima

Uongo wa Tanzania Daima hautoipeleka chadema ikulu..
 
Acha uchizi. Umewekewa source ya habari bado unatokwa povu tu!
Mpuuzi wewe, mjinga wewe, hufai wewe, nimekudharau wewe, sikuheshimu wewe, pampers wewe, Pengo wewe ... ni nani aliyekuroga!

kwi kwi kwi kwi kwi kwi!! pyuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom