Igauri Kwetu
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 321
- 72
Hata yeye alikosea, kwanini alizuia baadhi ya makundi yasiende ili hali aliyapandikiza mwenyewe, yeye anadhani wao hawapendi kutimiza ahadi ili wakumbukwe wakati wa UFALME????? asitusumbue akili zetu, na hakika huyu akikosa Ufalme tunamzikaa kwa shinikizo la damu.
Asikukere usiwapandikizie watu maneno .Baba yako alikufaje?mpuuzi wewe!wehu wewe!Jinandinga wewe!