johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,137
Baraka ndio muhimu!Tatizo watalii wa waisrael hawanaga hela nzito.
Mtalii mmoja wa Marekani ni sawa na watalii 3 wa Israel.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jambo gani bwashee?
Baraka gani atakupa myahudi, asiyemtambua Yesu, na wanamtusi . Hujaishi na wayahudi ndio mana unajisemea tuu.Baraka ndio muhimu!
Hapa tunazungumzia utalii bwashee!Tunawakaribisha watalii wa nchi zote za duniani, wayahudi hawapendi ukristo wala uislamu, wao wanaaminidini yao pekee ndio dini ya mungu, na kama hukuzaliwa na mama wa kiyahudi huna asili yao, ukijiunga na dini yao na uu mtu mweuzi basi wewe ni third class judist.
Wayahudi weusi wananyanyaswa sana huko kwao, lakini ukiwa mtu mweupe unakaribishwa, wale FALASHA waliotolewa Ethiopia wengi wamerudi Ethiopia na hawataki kuisikia Israel tena.
Sijui kwa nini tunawashangilia, ama ni basi tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ustadhi naona povu linakudondoka ukisikia mambo ya Israeli. Tuliza mzuka kaka jamaa ameelezea utalii wa watu wa Israeli sasa hayo mambo yote yanahusika vp?!Tunawakaribisha watalii wa nchi zote za duniani, wayahudi hawapendi ukristo wala uislamu, wao wanaaminidini yao pekee ndio dini ya mungu, na kama hukuzaliwa na mama wa kiyahudi huna asili yao, ukijiunga na dini yao na uu mtu mweuzi basi wewe ni third class judist.
Wayahudi weusi wananyanyaswa sana huko kwao, lakini ukiwa mtu mweupe unakaribishwa, wale FALASHA waliotolewa Ethiopia wengi wamerudi Ethiopia na hawataki kuisikia Israel tena.
Sijui kwa nini tunawashangilia, ama ni basi tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baraka za Abraham!Baraka gani atakupa myahudi, asiyemtambua Yesu, na wanamtusi . Hujaishi na wayahudi ndio mana unajisemea tuu.
They hate black people with a passion
Sent using Jamii Forums mobile app
Baraka ndio muhimu!
Umebadili gia???Hapa tunazungumzia utalii bwashee!
Kwa nn hawaendi Burigi - Chato?Mwenyekiti wa bodi ya utalii nchini Jaji mstaafu Anthony Mihayo amesema Tanzania itapokea ugeni mkubwa wa watalii kutoka nchi takatifu ya Israel wanaokuja nchini kwa mapumziko.
Jaji Mihayo amesema hayo wakati akilipokea kundi la kwanza la watalii hao lililowasili jijini Arusha leo.
Aibarikie Israel atabarikiwa na ailaaniye atalaaniwa.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Do you mean Americans pay extra money...? Cost ziko fixed kuanzia gharama ya hoteli, chakula nk....so I haven't get ur point..Tatizo watalii wa waisrael hawanaga hela nzito.
Mtalii mmoja wa Marekani ni sawa na watalii 3 wa Israel.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hamkosi watu ka ninyiKwa nn hawaendi Burigi - Chato?
Kivipi bwashee?!Umebadili gia???
Do you mean Americans pay extra money...? Cost ziko fixed kuanzia gharama ya hoteli, chakula nk....so I haven't get ur point..
Jibu swali acha kulialiaYaani hamkosi watu ka ninyi