pulex
JF-Expert Member
- Nov 3, 2023
- 513
- 2,038
Makundi ya mamluki yenye silaha za moto Dar es salaam, Arusha, Tunduma n.k (mfano Janjawed, waganda n.k) yanaendeleza mauaji mitaani na barabarani mitaa ya sinza, ilala n.k. Ni wazi Samia ameamua kuongoza kwa kumwaga Damu za watanganyika.
Angalizo: Akiachwa aendelee hii miaka mitano, anaenda tengeneza jeshi lake la mamluki litakalo mlinda, na kuendelea kuua wale wote watakao msumbua, maana ni wazi sasa hana ile trust na JWTZ maana haliwezi kuua Raia.
JWTZ mkichelewa mdhibiti uyu mama, atakuwa very powerful kupitia jeshi binafsi, na ataanza kuwa target baadhi ya wanajeshi kwnye vikosi wenye misimamo au kuwatetea wananchi.
It’s now or never.