Makundi ya mamluki wenye silaha yanaua watanganyika mitaani

Makundi ya mamluki wenye silaha yanaua watanganyika mitaani

Mkoa wa Mbeya kuna askari ambao hawaongei Kiswahili wanapiga risasi za moto.

Huyu mama alijipanga.

Sijui Kwanini jeshi letu limeruhusu askari wa nje kuingia Tanzania?
 
Watu na wao si wajipange tu na mapanga yao….

Huu unyonge wa Watanzania ni wa kicenge sana wakati mwingine.
Njo wasaidie Kwa kukaa front line na panga.. kumbe wewe ni Bumla halafu unajifanya kuwa Una akili Sana...
 
Asijekuwa kawaleta wanamgambo wa Kihutu wenye hasira kali ili kuua vijana wetu.
 
Back
Top Bottom