James Mhangwa
JF-Expert Member
- Feb 3, 2017
- 604
- 513
😳 😳 😛 😛Yaani jina la Makonda halitajiki tena hapa jf utadhani viungo vya uzazi!
😳 😳 😛 😛Yaani jina la Makonda halitajiki tena hapa jf utadhani viungo vya uzazi!
hahaha! wapo vizuri sana wale jamaaNimecheka kwa sauti ya juu
HUYU HASAFISHIKI HATA UKIMLOWEKA KWENYE JIK!!!! MCHAFU ANANUKA VIBAYA JAMANI MBONA HAMUELEWI UKIENDA MBALI ZAIDI UTAWEZA HATA KUZIMIA BADO HUJAGUSA AKINA DADA HUKO NDIYO USISEME!!!! HAFAI KUONGOZA HATA SISIMIZI!!!!Kundi pekee linaloweza kumsafisha Daud Albert BASHITE akatakata kabisa ni MAKAMANDA a.k.a pipooooozzzz!!! powerrrr! wale hawashindwi kitu. Akitaka kuwa safi ahamie huko then akiona mambo yamekaa sawa arudi kwa baba yake... otherwise hata steel wire haimtoi huo ukurutu!
Akasafishwe kama Mpendazoe ambaye alifikiri kwenda huko atapokelewa kama mtukufu. Watu makini wamempokea akaa bench yeye kaondoka mwenyewe kwa raha zake. Juzi alikuwa anamtetea mtoto wa baba sasa leo arudi na stori mpya.Kundi pekee linaloweza kumsafisha Daud Albert BASHITE akatakata kabisa ni MAKAMANDA a.k.a pipooooozzzz!!! powerrrr! wale hawashindwi kitu. Akitaka kuwa safi ahamie huko then akiona mambo yamekaa sawa arudi kwa baba yake... otherwise hata steel wire haimtoi huo ukurutu!
wewe kweli maharo.AWAONYESHE VYETI NYIE NDO MMEMUAJIRI?
HAWEZI KUACHA KUFANYA KAZI ZAKE NA KUANZA KUJIBU HOJA ZA KIPUUZI.
MTAMALIZA LA VYETI MTAKUJA LA CHETI CHA NDOA NALO MTATAKA AJE APPROVE.
DUH WATANZANIA TUBADILIKE OTHERWISE FURAHA TUISAHAU NA KWA STLYE HII TUTAENDELEA KUSHIKA MKIA.
Swali za kizushi
Hivi RC akindolewa cheo chake wewe inakusaidia nini?kitu gani kitabadilika kwenye maisha yako???
TUTUMIENI AKILI KIDOGO BASI KWENYE KUWAZA TUSIWE WASIKILIZAJI TU.
Acheni upumbavu, hili Sio suala LA maisha ya MTU binafsi..ni suala LA matumizi mabaya ya ofisi ya uma! It ain't personal, kuna watumishi wako jela kwa kufoji vyeti je nao familia zao hazitamani kua na wapendwa wao? Ni sheria zimewekwa lazima zifuatwe! Kuvamia kituo cha habari na mitutu sio kitu personal its public issue.. Tusiongee eti kwa sababu hainisaidiii? Nalipa kodi na in haki yangu kuhoji kodi yangu inatumiwaje, hatuwezi kukaa kimya nchi ikipelekwa kwa double standards! Wengine wanatumbuliwa majukwaani huku wahalifu wengine wakipambwa huko huko majukwaaniAWAONYESHE VYETI NYIE NDO MMEMUAJIRI?
HAWEZI KUACHA KUFANYA KAZI ZAKE NA KUANZA KUJIBU HOJA ZA KIPUUZI.
MTAMALIZA LA VYETI MTAKUJA LA CHETI CHA NDOA NALO MTATAKA AJE APPROVE.
DUH WATANZANIA TUBADILIKE OTHERWISE FURAHA TUISAHAU NA KWA STLYE HII TUTAENDELEA KUSHIKA MKIA.
Swali za kizushi
Hivi RC akindolewa cheo chake wewe inakusaidia nini?kitu gani kitabadilika kwenye maisha yako???
TUTUMIENI AKILI KIDOGO BASI KWENYE KUWAZA TUSIWE WASIKILIZAJI TU.
Hivyo wewe ni wale wa bora liende siyo? Lolote utakalofanyiwa unaona sawa? Wewe ndo wale ambao hamna hata haja ya kupiga kura kuchagua mtu mnayemwona atawafaa maana yeyote mtakayeletewa bora liende. Pole. Akiondolewa akaletwa mwingine kama yeye, yatakuwa yale yale, hapo ndo utajua hii nchi siyo ile uliyoizoea. Watu wanatambua haki zao sasa. Siasa iende na haki na utu na uwajibikaji. Huwezi kutegemea haki na heshima bila wajibu. Vyeti ni muhimu sababu amesimamisha wangapi wakati akiwa DC wa kino, aliowasimamisha wengine wamefaulu with flying colours yeye mwenzetu na koooo chake anaona kawini Gawiza. Think twice before you write. This country is not for certain citizen, it is for of us. Tutabanana humuhumu na sasa mapambano yataanza bila vyama wala itikadi.AWAONYESHE VYETI NYIE NDO MMEMUAJIRI?
HAWEZI KUACHA KUFANYA KAZI ZAKE NA KUANZA KUJIBU HOJA ZA KIPUUZI.
MTAMALIZA LA VYETI MTAKUJA LA CHETI CHA NDOA NALO MTATAKA AJE APPROVE.
DUH WATANZANIA TUBADILIKE OTHERWISE FURAHA TUISAHAU NA KWA STLYE HII TUTAENDELEA KUSHIKA MKIA.
Swali za kizushi
Hivi RC akindolewa cheo chake wewe inakusaidia nini?kitu gani kitabadilika kwenye maisha yako???
TUTUMIENI AKILI KIDOGO BASI KWENYE KUWAZA TUSIWE WASIKILIZAJI TU.
Itakuwa vema ukitaja na makundi yanayomchafua Makonda. Naamini kuwa unayajua.
akili zako chenga kweli wewe. je, mbona hujiuilizi wafanyakazi wengine walioondolewa kwenye nafasi zao kwa kumiliki vyeti feki wewe umenufiaka nini? we kilaza kweli!AWAONYESHE VYETI NYIE NDO MMEMUAJIRI?
HAWEZI KUACHA KUFANYA KAZI ZAKE NA KUANZA KUJIBU HOJA ZA KIPUUZI.
MTAMALIZA LA VYETI MTAKUJA LA CHETI CHA NDOA NALO MTATAKA AJE APPROVE.
DUH WATANZANIA TUBADILIKE OTHERWISE FURAHA TUISAHAU NA KWA STLYE HII TUTAENDELEA KUSHIKA MKIA.
Swali za kizushi
Hivi RC akindolewa cheo chake wewe inakusaidia nini?kitu gani kitabadilika kwenye maisha yako???
TUTUMIENI AKILI KIDOGO BASI KWENYE KUWAZA TUSIWE WASIKILIZAJI TU.
Mbona Lowassa alisafishika !! Haaa haasToo late hasafishiki tena hata mkuu amfute vipi
"Results slip " kama Ile inatolewa na mamlaka ganiHuu nao ni umbea tuu, kuvamia maana yake nn? Gwajima alionyesha cheti, je kile ndicho cheti kweli? kama mtu alipata ziro kuanzia lini Necta wakatoa cheti cha mtu aliyefeli? huu ni upunguani.