Makundi ya kumsafisa RC Dar!

Makundi ya kumsafisa RC Dar!

Kumeibuka makundi ambayo kwa namna yeyote ile ndiyo yameandaliwa kwa makusudi kabisa mahsusi kwa ajili ya kuhakikisha jina la mtu linarejea katika hali yake ya awali pamoja na kua na ugumu na kwake.Makundi haya yako katika nyanja tatu ambayo yanafanya kazi hiyo usiku na mchana.

1.Kolomije team,hili ni kundi ambalo inaelezwa kua kazi yake ni kwenda kule kijijini alikozaliwa ******* kutengeneza ushahidi opposite na ule uliokua ukitumiwa na Askofu Dr Gwajima, kundi hili limegharamiwa kwa kila kitu safari nzima kama alivyokua akijinasibu kiongozi wa kundi hilo "Lemutuz" kua wako site kutengeneza vyeti.

1.Team Rais kasema nini, hili ni kundi ambalo lenyewe ni fuata upepo halijui linaelekea wapi,kazi yake ni kujipendekeza kwa Rais ili waonekane,wanavizia vizia vyeo ili kujikwamua na ugumu wa maisha ulivyo hivi sasa, hili kundi lina watu vigeugeu! Wanahisi kwakua jamaa anaongea na mkuu muda wote kwahiyo wakifanikisha harakati zao ataweza hata kuwaombea vinafasi flani hivi ili nao mikono iende vinywani. Watu wa aina hii ukimkita mahali flani hujifanya kua ni mzalendo wa hali ya juu lakini hakuna kitu.

3.Team tatizo ni Madawa ya kulevya, hili ni kundi la watu ambao kwa namna moja au nyingine wameamua kwa makusudi mazima kutotaka kufikiria sana juu ya undani wa tuhuma za *******,Wao wanaamini kua haya yote haya yamekuja kuja tu kwa sababu wahusika wa Madawa ya kulevya wameguswa! Hili kundi nalo linajitahidi kwa nguvu zote kumtetea kijana lakini hawataki kabisa kusikia tuhuma dhidi yake hata kama zina ukweli.Wenyewe hawajui kua wenzao wako kwenye kazi zaidi, hawajui kua kuna watu wananeemeka na kazi hii.

My take,

Hawa watu wamejaribu angalau kua na mishipa ya aibu kujiuliza Je, huyu jamaa vyeti viko wapi mbona havitio? Hata picha zinazoonekana mitandaoni kuvamiawa kwa kituo cha Runinga na Redio cha Clouds hawazioni?

Itoshe basi kusikia tu yaliyosemwa na Wakurugenzi wa Clouds media groups juu ya uvamizi huo ili kuamini na si kuambiwa! , Ruge na Kusaga ni marafiki wa muda mrefu wa RC *******,wanawezaje kumsingzia?

Mnaoratibu kazi hii mtambue kua kama kama vyeti havitawekwa hadharani inyeshe mvua liwake jua tayari kiongozi wa aina hii atasimama kusema kitu gani mbele ya kadamnasi? Je, zoezi la kuendelea kutimua wafanyakazi wasio na vyeti likiendelea wapinzani wakasimama na kusema haki itendeke kwa watanzania wote mnafikiri taswira ya chama na serikali itaonekana vipi?

Hivi bado mnafikiri kiongozi mwenyewe mali zote hizi anazotuhumiwa nazo atasimama mbele ya umma kujinasibu kua yeye ni mzalendo? Nafsi yake haiwezi kusuta?
Kolomije hasafishiki
 
Hili la team madawa kulevya ndilo tumekuwa tukipambana nalo hapa Peoria Illinois, mitanzania fulani ambayo ilikuwa inaamini kuwa haya yote yanatokea kwa sababu tu aliwagusa wauza unga, lakini baada ya Makonda kuvamia kituo cha clouds wameufyata mkia na kusema huyo jamaa hajielewi labda karogwa
 
ONGEZEA NA HII HAPA:
Umuhimu, uhitaji wa utendaji na faida za RC wa Dar essalaam kwa jamii ya Tanzania kwasasa ni mkubwa zaidi kuliko hasara
Chama tulichokitegemea labda kinaweza kusaidia kuchochea maadili mema katika jamii yetu na kuleta maendeleo na labda kuwa mbadala wa chama tawala siku za usoni kinaendeleza mtiririko wa kwenda na matukio kila kukicha na kuzidi kupoteza muelekeo.
Kwa sasa kimeungana na kujikita kutetea washukiwa wa uhalifu na biashara ya madawa ya kulevya kwa ujumla wake - Matumaini ni muelekeo uleule kushindwa tena. Cha kusikitisha zaidi – ni kuelekeza nguvu zote za chama na rasilimali huku wakisaidiana na wazee wa Ngada kutaka kumuangamiza RC kwa maslahi binafsi - Wenye akili tumeshaona ila yatapita tu

Labda kwenye familia yako
 
AWAONYESHE VYETI NYIE NDO MMEMUAJIRI?
HAWEZI KUACHA KUFANYA KAZI ZAKE NA KUANZA KUJIBU HOJA ZA KIPUUZI.
MTAMALIZA LA VYETI MTAKUJA LA CHETI CHA NDOA NALO MTATAKA AJE APPROVE.
DUH WATANZANIA TUBADILIKE OTHERWISE FURAHA TUISAHAU NA KWA STLYE HII TUTAENDELEA KUSHIKA MKIA.

Swali za kizushi

Hivi RC akindolewa cheo chake wewe inakusaidia nini?kitu gani kitabadilika kwenye maisha yako???

TUTUMIENI AKILI KIDOGO BASI KWENYE KUWAZA TUSIWE WASIKILIZAJI TU.
Bashite' ambaye ni mtuhumiwa wa udanganyifu katika elimu, akiondolewa na kufikishwa kortini atabadili maisha yako kisaikolojia kwa kuwa itathibitisha kuwa serikali tuliyoiweka madarakani haifanyi kazi kwa "double standard"; kwamba kama kuna watu serikali hiyo hiyo imewafikisha mahakamani kwa tuhuma kama za Bashite', basi Bashite' naye afikishwe kortini.

Tutaendelea kushika mkia iwapo tutanyamazia suala hili!
 
Atoe vyeti kwani anaomba kazi??????

Nyie msio na vyeti toeni vyetiiiiiii

Halafu juzi si Gwajima ameonesha cheti cha kidato cha nne ana zero? Mnadai vyeti gani vingine?
 
AWAONYESHE VYETI NYIE NDO MMEMUAJIRI?
HAWEZI KUACHA KUFANYA KAZI ZAKE NA KUANZA KUJIBU HOJA ZA KIPUUZI.
MTAMALIZA LA VYETI MTAKUJA LA CHETI CHA NDOA NALO MTATAKA AJE APPROVE.
DUH WATANZANIA TUBADILIKE OTHERWISE FURAHA TUISAHAU NA KWA STLYE HII TUTAENDELEA KUSHIKA MKIA.

Swali za kizushi

Hivi RC akindolewa cheo chake wewe inakusaidia nini?kitu gani kitabadilika kwenye maisha yako???

TUTUMIENI AKILI KIDOGO BASI KWENYE KUWAZA TUSIWE WASIKILIZAJI TU.
Wewe unatukana, lakini sisi tutasema ukweli daima! Hatutakubali kuingozwa na mtu asiyekua na vyeti ilihali hata dereva wa bajaji ya serikali anatakiwa kua na cheti form four na D mbili za kiswahili na English. Upo?
 
Atoe vyeti kwani anaomba kazi??????

Nyie msio na vyeti toeni vyetiiiiiii

Halafu juzi si Gwajima ameonesha cheti cha kidato cha nne ana zero? Mnadai vyeti gani vingine?
Ni mdanganyifu, anastahili kuwa kortini. Gwajima ameonyesha "results slip", mlivyo mbugila wafuasi wa Bashitee hata hamujui kutofautisha results slip na vyeti!
 
Nchi inatawalia na utawala wa sheria,wengine pasua vichwa kusoma hujui hata picha vilevile huangaliiiiiiii
 
Ni mdanganyifu, anastahili kuwa kortini. Gwajima ameonyesha "results slip", mlivyo mbugila wafuasi wa Bashitee hata hamujui kutofautisha results slip na vyeti!
Yeye Gwajima alisema ametoa cheti....mimi natumia maneno ya Gwajima sio kwanba sijui cheti kinafananaje au results slip. So, nenda Kanisa la ufufuo na uzima ukaone vyeti vya Makondaaa
 
AWAONYESHE VYETI NYIE NDO MMEMUAJIRI?
HAWEZI KUACHA KUFANYA KAZI ZAKE NA KUANZA KUJIBU HOJA ZA KIPUUZI.
MTAMALIZA LA VYETI MTAKUJA LA CHETI CHA NDOA NALO MTATAKA AJE APPROVE.
DUH WATANZANIA TUBADILIKE OTHERWISE FURAHA TUISAHAU NA KWA STLYE HII TUTAENDELEA KUSHIKA MKIA.

Swali za kizushi

Hivi RC akindolewa cheo chake wewe inakusaidia nini?kitu gani kitabadilika kwenye maisha yako???

TUTUMIENI AKILI KIDOGO BASI KWENYE KUWAZA TUSIWE WASIKILIZAJI TU.
Hivi serikali ilivyowafukuza watu kazi kisa eti vyeti feki ilikuwa na lengo gani? Tuanzie kwanza hapo maana nyie nzi wa kijani mnaviroja.
 
Yeye Gwajima alisema ametoa cheti....mimi natumia maneno ya Gwajima sio kwanba sijui cheti kinafananaje au results slip. So, nenda Kanisa la ufufuo na uzima ukaone vyeti vya Makondaaa
Mbona huwa hutumii maneno ya Baba Jesca kama sula ni kutumia maneno?
 
Back
Top Bottom