Makundi ya kumsafisa RC Dar!

Makundi ya kumsafisa RC Dar!

AWAONYESHE VYETI NYIE NDO MMEMUAJIRI?
HAWEZI KUACHA KUFANYA KAZI ZAKE NA KUANZA KUJIBU HOJA ZA KIPUUZI.
MTAMALIZA LA VYETI MTAKUJA LA CHETI CHA NDOA NALO MTATAKA AJE APPROVE.
DUH WATANZANIA TUBADILIKE OTHERWISE FURAHA TUISAHAU NA KWA STLYE HII TUTAENDELEA KUSHIKA MKIA.

Swali za kizushi

Hivi RC akindolewa cheo chake wewe inakusaidia nini?kitu gani kitabadilika kwenye maisha yako???

TUTUMIENI AKILI KIDOGO BASI KWENYE KUWAZA TUSIWE WASIKILIZAJI TU.
Sasa hapo ndg yngu umeondoka na mawazo yako wakat tunayaitaj il na cc tusiojua mbele wala nyuma tupate ufahamu kidgo na ubongo upate chochote kitu ama nn ^funguka ndg na mawazo yko !!!.
 
Mnahangaika sana na Makonda,wakati mwenyewe hana hata habari
 
Back
Top Bottom