Makundi ya kumsafisa RC Dar!

Makundi ya kumsafisa RC Dar!

Yaani jina la Makonda halitajiki tena hapa jf utadhani viungo vya uzazi!
 
Kundi pekee linaloweza kumsafisha Daud Albert ******* akatakata kabisa ni MAKAMANDA a.k.a pipooooozzzz!!! powerrrr! wale hawashindwi kitu. Akitaka kuwa safi ahamie huko then akiona mambo yamekaa sawa arudi kwa baba yake... otherwise hata steel wire haimtoi huo ukurutu!

Nimecheka kwa sauti ya juu
 
Kumeibuka makundi ambayo kwa namna yeyote ile ndiyo yameandaliwa kwa makusudi kabisa mahsusi kwa ajili ya kuhakikisha jina la mtu linarejea katika hali yake ya awali pamoja na kua na ugumu na kwake.Makundi haya yako katika nyanja tatu ambayo yanafanya kazi hiyo usiku na mchana.

1.Kolomije team,hili ni kundi ambalo inaelezwa kua kazi yake ni kwenda kule kijijini alikozaliwa ******* kutengeneza ushahidi opposite na ule uliokua ukitumiwa na Askofu Dr Gwajima, kundi hili limegharamiwa kwa kila kitu safari nzima kama alivyokua akijinasibu kiongozi wa kundi hilo "Lemutuz" kua wako site kutengeneza vyeti.

1.Team Rais kasema nini, hili ni kundi ambalo lenyewe ni fuata upepo halijui linaelekea wapi,kazi yake ni kujipendekeza kwa Rais ili waonekane,wanavizia vizia vyeo ili kujikwamua na ugumu wa maisha ulivyo hivi sasa, hili kundi lina watu vigeugeu! Wanahisi kwakua jamaa anaongea na mkuu muda wote kwahiyo wakifanikisha harakati zao ataweza hata kuwaombea vinafasi flani hivi ili nao mikono iende vinywani. Watu wa aina hii ukimkita mahali flani hujifanya kua ni mzalendo wa hali ya juu lakini hakuna kitu.

3.Team tatizo ni Madawa ya kulevya, hili ni kundi la watu ambao kwa namna moja au nyingine wameamua kwa makusudi mazima kutotaka kufikiria sana juu ya undani wa tuhuma za *******,Wao wanaamini kua haya yote haya yamekuja kuja tu kwa sababu wahusika wa Madawa ya kulevya wameguswa! Hili kundi nalo linajitahidi kwa nguvu zote kumtetea kijana lakini hawataki kabisa kusikia tuhuma dhidi yake hata kama zina ukweli.Wenyewe hawajui kua wenzao wako kwenye kazi zaidi, hawajui kua kuna watu wananeemeka na kazi hii.

My take,

Hawa watu wamejaribu angalau kua na mishipa ya aibu kujiuliza Je, huyu jamaa vyeti viko wapi mbona havitio? Hata picha zinazoonekana mitandaoni kuvamiawa kwa kituo cha Runinga na Redio cha Clouds hawazioni?

Itoshe basi kusikia tu yaliyosemwa na Wakurugenzi wa Clouds media groups juu ya uvamizi huo ili kuamini na si kuambiwa! , Ruge na Kusaga ni marafiki wa muda mrefu wa RC *******,wanawezaje kumsingzia?

Mnaoratibu kazi hii mtambue kua kama kama vyeti havitawekwa hadharani inyeshe mvua liwake jua tayari kiongozi wa aina hii atasimama kusema kitu gani mbele ya kadamnasi? Je, zoezi la kuendelea kutimua wafanyakazi wasio na vyeti likiendelea wapinzani wakasimama na kusema haki itendeke kwa watanzania wote mnafikiri taswira ya chama na serikali itaonekana vipi?

Hivi bado mnafikiri kiongozi mwenyewe mali zote hizi anazotuhumiwa nazo atasimama mbele ya umma kujinasibu kua yeye ni mzalendo? Nafsi yake haiwezi kusuta?

Kuna vitu ukijaribu kuvisafisha unajikuta unajichafua wewe binafsi.
 
AWAONYESHE VYETI NYIE NDO MMEMUAJIRI?
HAWEZI KUACHA KUFANYA KAZI ZAKE NA KUANZA KUJIBU HOJA ZA KIPUUZI.
MTAMALIZA LA VYETI MTAKUJA LA CHETI CHA NDOA NALO MTATAKA AJE APPROVE.
DUH WATANZANIA TUBADILIKE OTHERWISE FURAHA TUISAHAU NA KWA STLYE HII TUTAENDELEA KUSHIKA MKIA.

Swali za kizushi

Hivi RC akindolewa cheo chake wewe inakusaidia nini?kitu gani kitabadilika kwenye maisha yako???

TUTUMIENI AKILI KIDOGO BASI KWENYE KUWAZA TUSIWE WASIKILIZAJI TU.
Kweli Mauharo!!!
 
Narrow minded and boring
Fanyeni kazi bwana na sio kutamia jf kutwa kucha.
Halafu kiupuusi kabisa utasena hatuna maendeleo, uchumi wa ichi umeporomoka!!!!
 
Ni kweli je kama gwajima na mbowe wasingetajwa ktk tuhuma za madawa ya kulevya haya yasingemkuta,usitake kutulazimisha tuamini kila wa wazo linalotoka ktika kichwa chako ni sahihii,ukweli ttz kwa makonda limekuja bahada ya kutajwa kwa mbowe na gwajima ktk tuhuma za madawa ya kulevya na bila kutafuna maneno na watu wengi haswa wachocheaji wa kubwa kuahakikishwa makonda anadhalilishwa wana mahusiano na chadema waumini wa gwajima na hata watu wa kanda furani ambao wao uamini ktk ukanda na mbowe km symbols wa kanda yao wote ni mahadui wa makonda,mungu atamlinda dhidi ya ma wakala wa wauza unga.
 
hayo ni mawazo yako finyu mno ongeza juhudi mbowe atakupa kazi ya housegirl
Safi sana tena hata kumfanya nyumba ndogo yake
Kundi pekee linaloweza kumsafisha Daud Albert BASHITE akatakata kabisa ni MAKAMANDA a.k.a pipooooozzzz!!! powerrrr! wale hawashindwi kitu. Akitaka kuwa safi ahamie huko then akiona mambo yamekaa sawa arudi kwa baba yake... otherwise hata steel wire haimtoi huo ukurutu!

Hee imeshakuwa dili tena Msile peke yenu jamani
 
Kumeibuka makundi ambayo kwa namna yeyote ile ndiyo yameandaliwa kwa makusudi kabisa mahsusi kwa ajili ya kuhakikisha jina la mtu linarejea katika hali yake ya awali pamoja na kua na ugumu na kwake.Makundi haya yako katika nyanja tatu ambayo yanafanya kazi hiyo usiku na mchana.

1.Kolomije team,hili ni kundi ambalo inaelezwa kua kazi yake ni kwenda kule kijijini alikozaliwa Bashite kutengeneza ushahidi opposite na ule uliokua ukitumiwa na Askofu Dr Gwajima, kundi hili limegharamiwa kwa kila kitu safari nzima kama alivyokua akijinasibu kiongozi wa kundi hilo "Lemutuz" kua wako site kutengeneza vyeti.

1.Team Rais kasema nini, hili ni kundi ambalo lenyewe ni fuata upepo halijui linaelekea wapi,kazi yake ni kujipendekeza kwa Rais ili waonekane,wanavizia vizia vyeo ili kujikwamua na ugumu wa maisha ulivyo hivi sasa, hili kundi lina watu vigeugeu! Wanahisi kwakua jamaa anaongea na mkuu muda wote kwahiyo wakifanikisha harakati zao ataweza hata kuwaombea vinafasi flani hivi ili nao mikono iende vinywani. Watu wa aina hii ukimkita mahali flani hujifanya kua ni mzalendo wa hali ya juu lakini hakuna kitu.

3.Team tatizo ni Madawa ya kulevya, hili ni kundi la watu ambao kwa namna moja au nyingine wameamua kwa makusudi mazima kutotaka kufikiria sana juu ya undani wa tuhuma za Bashite,Wao wanaamini kua haya yote haya yamekuja kuja tu kwa sababu wahusika wa Madawa ya kulevya wameguswa! Hili kundi nalo linajitahidi kwa nguvu zote kumtetea kijana lakini hawataki kabisa kusikia tuhuma dhidi yake hata kama zina ukweli.Wenyewe hawajui kua wenzao wako kwenye kazi zaidi, hawajui kua kuna watu wananeemeka na kazi hii.

My take,

Hawa watu wamejaribu angalau kua na mishipa ya aibu kujiuliza Je, huyu jamaa vyeti viko wapi mbona havitio? Hata picha zinazoonekana mitandaoni kuvamiawa kwa kituo cha Runinga na Redio cha Clouds hawazioni?

Itoshe basi kusikia tu yaliyosemwa na Wakurugenzi wa Clouds media groups juu ya uvamizi huo ili kuamini na si kuambiwa! , Ruge na Kusaga ni marafiki wa muda mrefu wa RC Makonda,wanawezaje kumsingzia?

Mnaoratibu kazi hii mtambue kua kama kama vyeti havitawekwa hadharani inyeshe mvua liwake jua tayari kiongozi wa aina hii atasimama kusema kitu gani mbele ya kadamnasi? Je, zoezi la kuendelea kutimua wafanyakazi wasio na vyeti likiendelea wapinzani wakasimama na kusema haki itendeke kwa watanzania wote mnafikiri taswira ya chama na serikali itaonekana vipi?

Hivi bado mnafikiri kiongozi mwenyewe mali zote hizi anazotuhumiwa nazo atasimama mbele ya umma kujinasibu kua yeye ni mzalendo? Nafsi yake haiwezi kusuta?
Anasafishwa ana uchafu ? Endeleeni kuishi kwa matukio muda si wananchi tutawapuuza.
 
AWAONYESHE VYETI NYIE NDO MMEMUAJIRI?
HAWEZI KUACHA KUFANYA KAZI ZAKE NA KUANZA KUJIBU HOJA ZA KIPUUZI.
MTAMALIZA LA VYETI MTAKUJA LA CHETI CHA NDOA NALO MTATAKA AJE APPROVE.
DUH WATANZANIA TUBADILIKE OTHERWISE FURAHA TUISAHAU NA KWA STLYE HII TUTAENDELEA KUSHIKA MKIA.

Swali za kizushi

Hivi RC akindolewa cheo chake wewe inakusaidia nini?kitu gani kitabadilika kwenye maisha yako???

TUTUMIENI AKILI KIDOGO BASI KWENYE KUWAZA TUSIWE WASIKILIZAJI TU.
NA KAMA RC AKABAKI MADARAKANI WEWE UNAWASHWA NA NINI KTK MWILI WAKO,SI UMWAMBIE TU RC HAKUSAIDIE KUKUNA,NA WEWE TUMIA TU 3D CAPACITY THINKING
 
Lumumba buku 7 hawawezi kukuelewa mkuu.Si unaona lizaboni anavyobadilika kufuata upepo njaa mbaya sana
 
Mimi ni makonda team. tena leo mmenifurahisha zaidi wahariri wamekogoma kuandika habari za makonda hiyo ni habari njema kwetu maana sasa umma utakuwa aupati chochote toka kwa kwenu. kwa maana nyingine mjaadala umefungwa tunawatakia utekelezaji mwema
 
Back
Top Bottom