Makundi ya Kigaidi ya Kikristo

Makundi ya Kigaidi ya Kikristo

Lords Resistance Army - LRA hapo Uganda, kundi la kwanza la Ugaidi Afrika Mashariki.

Makundi ya kigaidi ya Kiyahudi waliounda israel
Makundi ya Kigaidi ya kikristo Under Nazi Germany na Jeshi lenyewe la Hitler

Makundi ya Kigaidi ya Kikristo yaliofanya Mauaji ya Kimbari Serbia na Maeneo mengi ya Eastern Europe

Spanish inquisition
Ugaidi wote uliofanywa na majeshi ya Warumi walipoingia kwenye Ukristo

Soma historia yako, soma biblia yako

Hii label ya Ugaidi ni rahisi sana kubandika yeyote usiyekubaliana naye
Ongea vyote ila dini ya magaidi inajulika hata na mtoto wa miaka mitano
 
Lord resistance army kikundi Cha Joseph kony hapo Uganda, kinapigania kuanzishwa kwa serikali itakayofata amri 10 za Mungu, làkini ajabu wanaiba, wanabaka na kuua.
Hicho kikundi kilikuwa kinafadhiliwa na serikali ya Uganda.
 
Wakristo pia waliua sana miaka hiyo kulikuwa na vita ya msalaba.
Yaweza kuwa waliua zaidi watu wengi kuliko hata ambavyo itikadi kali wameua watu kwa kipindi chote.
Hivyo vilikuwa vita vya wazungu na waarabu
 
Back
Top Bottom