Makundi ndani ya CHADEMA

Makundi ndani ya CHADEMA

sisi wanachadema na wanamageuzi kwa jumla tususie kuchangia thread za kipuuzi kama hizi tufikiri mbinu mpya ya kuendelea kuwakamata magamba!!
 
HIYO NI MIKAKATI YA NAPE NA GENGE LAKE (Mbinu zao za Udini/Ukaskazini/Ubachelors/Makundi/Ushibuda/Uzitokabwe/. Hata shetani huja na kila mbinu ya kujibadilishabadilisha ili kumpotosha mcha mungu,CCM ni mashetani! Be aware
 
ukweli mtupu. uroho wa mbowe anataka kumchakachua hata slaa.
 
acheni kupoteza wakati kubishana na watu wasio na akili kama wanasisiem jamani,ni wajinga sana.
 
acheni kupoteza wakati kubishana na watu wasio na akili kama wanasisiem jamani,ni wajinga sana.
 
Hivi vyama vya upinzani havina viongozi wengine, CDM kila uchaguzi ni mbowe na Slaa, CUF ni saif na Lipumba, inavyo onekana hata baada ya miaka 20 ni hawa hawa watakuwepo na wataletwa kwenye kampeni kwenye wheelchair.
 
Hata waseme CDM ni chama cha mashetani, 2015 hatudanyiki. Bora kuchagua jiwe au kivuli kuliko Chama Cha Mafisadi. Walamba viatu aka lamba lamba endeleeni kuganga njaa kwa kuleta story kama hizi mkijidanganya kuwa tutadanganyika tena. Hata kama mtatumia silaha na polisi kuiba kura 2015, mjiandae kwenda The Hague.
 
Mkuu armanisankara umefanya upembuzi mujarabu. Najua watu hawataki kusikia hayo uliyoyasema lakini kwa asilimia 99 yana ukweli ndani yake. Umesahau tu kwamba kundi la Mbowe linaungwa mkono na Mwasisi wa Chama yaani Mzee Mtei pamoja na wahafidhina wengine ndani ya Chama. Kuna mateke ndani japo bado hayajaonekana kwa nje. Mitandao ipo japo kwa nje haoinekani.
 
Last edited by a moderator:
viongozi wengine wanaotoka kilimanjaro ni pamoja mbowe, mkurugenzi wa habari na uenezi john mnyika,
SOURCE: gazeti la sauti huru
Hivi Mnyika anatokea Kilimanjaro?

Wanunuzi wa hili gazeti watakuwa ni wale wenye matatizo ya kutaka kusoma kile wanachotaka kusoma.
 
suala la makundi si la ajabu sana....tunayo maofisini kwetu...kwenye klabu za michezo....hata majumbani kwetu.....sembuse kwenye chama cha siasa....
 
chama makini hakichafuki kwa siasa za maji taka zaidi chadema itastawi na kusonga mbele.

Kuidhoofisha chadema njia ni hii, Kwanza watanzania wanahitaji utawala bora, kusimamia maendeleo ya kweli na tija kwa watanzania wote, wakayaona maendeleo hayo, wakayaishi na kuyafaidi kivitendo sio takwimu kwenye makaratasi. pia kupambana na wezi wote wa raslimali zao kwa vitendo sio ngojera za akina Kikwete, wasira, nape na wengineo ambazo zinazidisha maudhi zaidi na kero kwa watanzania.

Kibaya zaidi ccm wameshindwa hayo yote, hivyo kulaghai watanzania kupitia udini, ukabila, ukanda nk nikujichimbia kaburi zaidi na zaidi, maana mwishowe kaburi litajaa maji na ccm itageuka YADODOMELAA.

Siasa hizi zinaigeuka ccm na kuwa idodomya na kweli inadodomelaa (inazamaa)
 
suala la makundi si la ajabu sana....tunayo maofisini kwetu...kwenye klabu za michezo....hata majumbani kwetu.....sembuse kwenye chama cha siasa....

Huo ndio ukweli. Huwezi kuwa na kundi la watu lisiwe na vikundi.
 
Sauti huru?, kagazeti uchwara ka udaku hako, tena kana uhusiano na akina Mwigulu Nchemba....Sauti huru ni nguvu ya umma tu, hapa hakuna propaganda, kuna watu ambao masikio yetu yamezibwa kwa sasa na wala hatutaki kusikia kitu chochote zaid ya "Operesheni Chakaza ya kumuondoa adui wa haki madarakani" !!Kuwe na makundi kusiwe na makundi, Aluta Continua.
 
Si wewe umeshalisoma hapo, au?
Nimelisoma gazeti?ama unazungumzia hizo pumba hapo juu zilizokuwemo kwenye hilo gazeti ambalo hata silijui?

Kufikiri kwenu magamba ni backwards,huwa unachangia tu ili uonekane upo na unachangia?watu msokuwa na malengo ndo maana taifa mmelifikisha hapa.Mpo kama chawa,mnaruka ruka tu kutafuta damu ya kunyonya.
 
ukishakuwa Chadema huna haja ya kuutaja Uislam kama ulivyofanya kwani tayari huwa tunajua msimamo wenu kwa Uislam!

Mkuu Songoro, the Great Thinker!!! Mimi siyo mwanachama wa chama chochote kila, kwa mantiki hiyo sina kadi ya chama ila nina kitambulisho cha mpiga kura. Ninasikitika tu mambo yanavyokwenda mrama na ni wakati sasa tubalilishe chama tawala. Hakuna sababu ya kung'ang'ania meli inayozama, bora uvae boya ujiokoe.
 
zitto binafsi anafahamu kuwa yeye, mbowe na slaa kila mmoja anapambana kikamilifu ili kuhangaikia uteuzi wa kugombea uraisi katika uchaguzi mkuu ujao, lakini anaelewa ni jinsi gani inabidi apambane na ubanguzi mkubwa wa ukabila na ukanda.mwaka 2015, kazi inayofanywa kwa kutumia ushawishi wa kisiasa na kifedha. anafahamu kuwa kamati kuu ya chadema imerudikwa na watu wanaotoka kilimanjaro ili wawe na nguvu, wale ambao kuna wengine ni wafanyabiashara wakubwa wakiongozwa na mwenyekiti wa chama hichi katika mkoa huo, philemon ndesasamburo. viongozi wengine wanaotoka kilimanjaro ni pamoja mbowe, mkurugenzi wa habari na uenezi john mnyika, mbunge wa kawe halima mdee, mbunge wa ilemela hayness kiwia, mkurungenzi wa fedha na utawala anthony komu na mkurugenzi wa bunge na halmashauri john mrema
Kundi hilo pia linasaidiwa na wabunge kama akina peter msingwa [iringa mjini] ezekieli wenje [nyamagana] joseph mbilinyi [mbeya mjini] joshua nasari [ arumeru mashariki] vincent nyerere [ musoma mijini] saidi arfi [mpanda mjini] mbunge wa zamani wa arusha mijini godbless lema.

SOURCE: gazeti la sauti huru
gazeti hili au kundi la taarabu hata utafiti hawafanyi ndesamburo,kiwia,nassari wala hata si wajumbe wa kamati kuu ya chadema jaribuni kupigania malipo kwa nape vizuri lakini pia fanyeni hata utafiti kidogo
 
hili gazeti nalo nashangaa unakuta kuna viongozi wa chadema wana photocopy zake wanagawa kwa sababu linamsema kiongozi wasiemtaka hatari
 
Back
Top Bottom