Tetesi: Makundi MANNE ya URAIS 2025

Tetesi: Makundi MANNE ya URAIS 2025

Tapeli wa dini
kivipi? inawezekana hata iyo dini ya kwako mimi au mwingine anaiona ni ya kitapeli. nakushauri jifunze kuco-exist na watu wasio wa aina yako, itakusaidia sana kwenye maisha. kile ulichokaririshwa unapokuwa kuwa kibaya, wengine wanajua kizuri na kuna siku ukija kufumbuliwa macho na kujiona kilikuwa chema tu utafanya nini? na tayari umeshapercecute watu kwa mtazamo wako. hapa duniani hauishi peke yako,hivyo jifunze kuishi kwa uvumilivu na watu wasio na imani kama za kwako.
 
Hata Majaliwa hana uzalendo wowote, jiwe alimteua tu kuwa Waziri Mkuu sababu alikuwa tu lipoyoyo LA ndio mzee, kama Nyerere na Kawawa vile, lisiloweza kung'ara na kumzidi nyota
Hata mm Nimewaza na ule ufisadi wote kwenye lile Jimbo lake anakuaje mzalendo?

Tukubali tu sote tumekengeuka na kupungukiwa neema...

Hawa wazalendo wa kwanza tayari Wana miadi na ma beberu sijui wakipata power watawa refund nini, hao wa pili walituonyesha viburi vyao, waki address taifa with arrogance isyo kawaida na kwenye nomination walijaa nepotism...Cry my country!

The only thing I pray ni kama nchi tubakie salama tufanikiwe kuweka Katiba mpya itakayotupatia watu wenye self respect and integrity
 
kivipi? inawezekana hata iyo dini ya kwako mimi au mwingine anaiona ni ya kitapeli. nakushauri jifunze kuco-exist na watu wasio wa aina yako, itakusaidia sana kwenye maisha. kile ulichokaririshwa unapokuwa kuwa kibaya, wengine wanajua kizuri na kuna siku ukija kufumbuliwa macho na kujiona kilikuwa chema tu utafanya nini? na tayari umeshapercecute watu kwa mtazamo wako. hapa duniani hauishi peke yako,hivyo jifunze kuishi kwa uvumilivu na watu wasio na imani kama za kwako.
Maneno mengi ya nini wakati huyo ni tapeli?
 
Back
Top Bottom