Tetesi: Makundi MANNE ya URAIS 2025

Tetesi: Makundi MANNE ya URAIS 2025

Wasalaam!!

1: Kundi la kwanza ni kundi la pure wazalendo wa nchini lenye ushawishi ni kundi linaloongozwa na Tundu Lissu,John Heche, Lema na umma wa wapenda mabadiliko ya kweli, Hawa ni wale ambao hawajawai kuwa serikalini lakini serikali wanaijua nje ndani na uozo wao wote na wakiingia wataleta mabadiliko ya kweli ya kikatiba na kisheria na kujenga uchumi shirikishi.

2: Kundi la Pili ni linalo-ongozwa na wazalendo ndani ya CCM waliochoshwa na kuporwa kwa rasilimali za Taifa ambao ni Warioba, Butiku, Mwinyi, Polepole, Dr bashiru, Majaliwa, Pinda,Mpango, Mpina na Gwajima.

3.Kundi la tatu ni CCM maslahi ya ambao ni Rostam Azziz, Nchimbi, Kigwangala, Makamba,Bashe na Nape, Ndungai, Kinana. Hawa ni masalia ya wanamtandao na watumishi wa mtu sio wananchi.

4. Kundi la nne kundi maslahi pia, ndio kundi la wanamtandao JK,Samia,Riz, Muchengerwa, Rajabu, Abood, Msukuma, Shabibi, Mavunde,Mwigulu, Zitto na Mbowe hili ndio kundi hatari zaidi kuwai kuwepo nchi hii.

Namba moja na namba mbili wanaongea lugha moja ingawa wapo pande mbili tofauti.

Namba nne ni matokeo ya ugomvi wa kimaslahi na namba tatu.

Wazalendo tupambane baada ya Reform mpaka kieleweke ili namba 1 na 2 waingie kwenye uchaguzi ili akishinda yeyote nchi inakuwa imeshinda.

Mungu ibariki TANZANIA.
Umesahau kundi la Mungu
 
Umefafanua vzr sana.
 
Imagine jitu kama Gwajiboy Tajiri mwizi wa sadak eti ni mzalendo 😆 😆 😆,hapo kamateni wapumbavu

Pili imagine mtu anamiliki mgodi huko kwao Kwa kutumia mgongo wa Cheo Cha Serikali ni Tajiri harafu anajiita mzalendo.Hapa kamateni punguani wenzenu.

Mwisho kama wewe ni mwananchi wa kawaida ukiona Wanasiasa wanauana furahia maana hao ni wapumbavu na wasio na Msaada kwako zaidi ya kukuobia na kukulandamiza.
ni rahisi sana kumtukana mtu kwenye mtandao upendavyo, unaweza kumwita mtu mwizi, au jina lolote, lakini haujawahithibitisha wizi wake, kitu cha kuweka kichwani ni kwamba shimo unalochimbia wenzio utatumbukia, vile unavyochafua watu bila hata sababu ya msingi ndivyo utakavyochafuka na wewe, ndivyo utakavyoonewa hadi ujiridhishe kwamba unaanewa na kuchafuka kwa sababu ulichafua wenzio bila sababu.
 
Kuna mtumishi yeyote wa Serikali anaweza elezea jinsi amepata migodi nk Kwa halali Ili awe mzalendo?

Hao Wanaojiita Wazalendo si ndio walikuwa wanashangilia Vieteli na kuona wenzao ni mapoyoyo?

Watu kama wewe ndio kuweni washabili wao ila ukimjua mwanasiasa Wala huwezi poteza mda Bora uhangaikie unapopata ugali
 
Mfuasi wa kundi la wanyonyaji
 
Binafsi kama ni kweli nipo kwenye namba mbili.
Namba moja bado kuongoza taifa.
 
Kuna mtumishi yeyote wa Serikali anaweza elezea jinsi amepata migodi nk Kwa halali Ili awe mzalendo?

Hao Wanaojiita Wazalendo si ndio walikuwa wanashangilia Vieteli na kuona wenzao ni mapoyoyo?

Watu kama wewe ndio kuweni washabili wao ila ukimjua mwanasiasa Wala huwezi poteza mda Bora uhangaikie unapopata ugali
hapo kwa gwajima, amekuibiaje sadaka?
 
2: Kundi la Pili ni linalo-ongozwa na wazalendo ndani ya CCM waliochoshwa na kuporwa kwa rasilimali za Taifa ambao ni Warioba, Butiku, Mwinyi, Polepole, Dr bashiru, Majaliwa, Pinda,Mpango, Mpina na Gwajima.
Bashiru mtafutie kundi lingine.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Bashiru mtafutie kundi lingine.
Hata Majaliwa hana uzalendo wowote, jiwe alimteua tu kuwa Waziri Mkuu sababu alikuwa tu lipoyoyo LA ndio mzee, kama Nyerere na Kawawa vile, lisiloweza kung'ara na kumzidi nyota
 
Wasalaam!!

1: Kundi la kwanza ni kundi la pure wazalendo wa nchini lenye ushawishi ni kundi linaloongozwa na Tundu Lissu,John Heche, Lema na umma wa wapenda mabadiliko ya kweli, Hawa ni wale ambao hawajawai kuwa serikalini lakini serikali wanaijua nje ndani na uozo wao wote na wakiingia wataleta mabadiliko ya kweli ya kikatiba na kisheria na kujenga uchumi shirikishi.

2: Kundi la Pili ni linalo-ongozwa na wazalendo ndani ya CCM waliochoshwa na kuporwa kwa rasilimali za Taifa ambao ni Warioba, Butiku, Mwinyi, Polepole, Dr bashiru, Majaliwa, Pinda,Mpango, Mpina na Gwajima.

3.Kundi la tatu ni CCM maslahi ya ambao ni Rostam Azziz, Nchimbi, Kigwangala, Makamba,Bashe na Nape, Ndungai, Kinana. Hawa ni masalia ya wanamtandao na watumishi wa mtu sio wananchi.

4. Kundi la nne kundi maslahi pia, ndio kundi la wanamtandao JK,Samia,Riz, Muchengerwa, Rajabu, Abood, Msukuma, Shabibi, Mavunde,Mwigulu, Zitto na Mbowe hili ndio kundi hatari zaidi kuwai kuwepo nchi hii.

Namba moja na namba mbili wanaongea lugha moja ingawa wapo pande mbili tofauti.

Namba nne ni matokeo ya ugomvi wa kimaslahi na namba tatu.

Wazalendo tupambane baada ya Reform mpaka kieleweke ili namba 1 na 2 waingie kwenye uchaguzi ili akishinda yeyote nchi inakuwa imeshinda.

Mungu ibariki TANZANIA.
Thank you For Inspiring
 
Back
Top Bottom