Tetesi: Makundi MANNE ya URAIS 2025

Tetesi: Makundi MANNE ya URAIS 2025

Wasalaam!!

1: Kundi la kwanza ni kundi la pure wazalendo wa nchini lenye ushawishi ni kundi linaloongozwa na Tundu Lissu,John Heche, Lema na umma wa wapenda mabadiliko ya kweli, Hawa ni wale ambao hawajawai kuwa serikalini lakini serikali wanaijua nje ndani na uozo wao wote na wakiingia wataleta mabadiliko ya kweli ya kikatiba na kisheria na kujenga uchumi shirikishi.

2: Kundi la Pili ni linalo-ongozwa na wazalendo ndani ya CCM waliochoshwa na kuporwa kwa rasilimali za Taifa ambao ni Warioba, Butiku, Mwinyi, Polepole, Dr bashiru, Majaliwa, Pinda,Mpango, Mpina na Gwajima.

3.Kundi la tatu ni CCM maslahi ya ambao ni Rostam Azziz, Nchimbi, Kigwangala, Makamba,Bashe na Nape, Ndungai, Kinana. Hawa ni masalia ya wanamtandao na watumishi wa mtu sio wananchi.

4. Kundi la nne kundi maslahi pia, ndio kundi la wanamtandao JK,Samia,Riz, Muchengerwa, Rajabu, Abood, Msukuma, Shabibi, Mavunde,Mwigulu, Zitto na Mbowe hili ndio kundi hatari zaidi kuwai kuwepo nchi hii.

Namba moja na namba mbili wanaongea lugha moja ingawa wapo pande mbili tofauti.

Namba nne ni matokeo ya ugomvi wa kimaslahi na namba tatu.

Wazalendo tupambane baada ya Reform mpaka kieleweke ili namba 1 na 2 waingie kwenye uchaguzi ili akishinda yeyote nchi inakuwa imeshinda.

Mungu ibariki TANZANIA.
kundi la urais kitaifa kwa waTanazania wote ni Dr.Samia Suluhu Hassan pekee.
kinyume na hapo ni ushirikina na ramli gentleman
 
Very true ,I second this
 
VERY TRUE, VERY SURE
 
Ondoa Nchimbi hapo 3
Yeye ni namba ngapi?
 
Walinda mipaka Wana wa sapoti kundi lipi!!?hao ndio wanaweza kutusaidia kuliko maneno matupu ya wanasiasa!!

Tunataka kuona wakionyesha msimamo wao!

Kwa muda mrefu wamenikera sana!!has kujifanya ya wanasiasa hayawahusu wakati nchi wanayoilinda inaharibiwa vibaya sana!!

Kama wangekua active ufisadi na mengineyo yasingekuwepo kabisa!

Unalindaje mipaka wakati ndani unawaacha wezi waibe vya kutosha!!!!?

Time to step up!
Uzalendo
 
Kundi la kwanza na la pili. Baada ta uchaguzi ingependeza kuja na serikali ya mseto. Hata kama kundi ta pili likishinda itapendeza kuwaingiza serikalini kundi la kwanza. Wanaweza kuwapa nafasi kadhaa zilizotumika kuwakandamiza kama Waziri Mkuu/ Naibu waziri mkuu/ Makamu wa Rais, Waziri wa mambo ya ndani, Waziri wa Katiba na Sheria, Waziri wa Muungano, Waziri wa maliasili na Utalii. Waziri wa Tamisemi.

Wanaweza kuwapa nafasi kama tano. Kusaidia kuja na katiba mpya, kusimamia jeshi la polisi, mahakama, usalama wa Taifa na bunge kutenda kazi zao kiuweledi na kwa haki. Pia kupitia mikataba yote ya hovyo iliyopitishwa na Samia.
 
Hii nchi watu wengi wanaojielewa sana hawang'ang'anii siasa mi nashangaa mwenyekiti wa kijiji ni maskini wa kutupwa ila anaongoza watu sasa najiuliza yeye maisha yake yamemshinda je atayaweza ya watu na diwani wa kata kaachishwa kazi selikarini sababu ya uharibifu wa fedha za umma je uongozini si ataharibu vya kutosha
Imagine 😁
 
Kundi la kwanza na la pili. Baada ta uchaguzi ingependeza kuja na serikali ya mseto. Hata kama kundi ta pili likishinda itapendeza kuwaingiza serikalini kundi la kwanza. Wanaweza kuwapa nafasi kadhaa zilizotumika kuwakandamiza kama Waziri Mkuu/ Naibu waziri mkuu/ Makamu wa Rais, Waziri wa mambo ya ndani, Waziri wa Katiba na Sheria, Waziri wa Muungano, Waziri wa maliasili na Utalii. Waziri wa Tamisemi.

Wanaweza kuwapa nafasi kama tano. Kusaidia kuja na katiba mpya, kusimamia jeshi la polisi, mahakama, usalama wa Taifa na bunge kutenda kazi zao kiuweledi na kwa haki. Pia kupitia mikataba yote ya hovyo iliyopitishwa na Samia.
Sidhani kama ni wazo sahihi kwa upande wangu. Ingependeza kama moja wapo ya kundi likaingia pekee ili kufany Kazi bila migongano
 
Wasalaam!!

1: Kundi la kwanza ni kundi la pure wazalendo wa nchini lenye ushawishi ni kundi linaloongozwa na Tundu Lissu,John Heche, Lema na umma wa wapenda mabadiliko ya kweli, Hawa ni wale ambao hawajawai kuwa serikalini lakini serikali wanaijua nje ndani na uozo wao wote na wakiingia wataleta mabadiliko ya kweli ya kikatiba na kisheria na kujenga uchumi shirikishi.

2: Kundi la Pili ni linalo-ongozwa na wazalendo ndani ya CCM waliochoshwa na kuporwa kwa rasilimali za Taifa ambao ni Warioba, Butiku, Mwinyi, Polepole, Dr bashiru, Majaliwa, Pinda,Mpango, Mpina na Gwajima.

3.Kundi la tatu ni CCM maslahi ya ambao ni Rostam Azziz, Nchimbi, Kigwangala, Makamba,Bashe na Nape, Ndungai, Kinana. Hawa ni masalia ya wanamtandao na watumishi wa mtu sio wananchi.

4. Kundi la nne kundi maslahi pia, ndio kundi la wanamtandao JK,Samia,Riz, Muchengerwa, Rajabu, Abood, Msukuma, Shabibi, Mavunde,Mwigulu, Zitto na Mbowe hili ndio kundi hatari zaidi kuwai kuwepo nchi hii.

Namba moja na namba mbili wanaongea lugha moja ingawa wapo pande mbili tofauti.

Namba nne ni matokeo ya ugomvi wa kimaslahi na namba tatu.

Wazalendo tupambane baada ya Reform mpaka kieleweke ili namba 1 na 2 waingie kwenye uchaguzi ili akishinda yeyote nchi inakuwa imeshinda.

Mungu ibariki TANZANIA.
kwenye kundi la pili ondoa MWINYI, kwa sababu ya rais mzanzibari tanganyia, wanzenji wameshaloby sasaivi wana ndege yao. kwa hela ipi? hela ya watanganyika. ni ajabu sana kwamba unamweka mwinyi mbali na samia wakati ni mapacha. kwamba mwinyi awe mzalendo tanganyika. una akili kweli?
 
Wasalaam!!

1: Kundi la kwanza ni kundi la pure wazalendo wa nchini lenye ushawishi ni kundi linaloongozwa na Tundu Lissu,John Heche, Lema na umma wa wapenda mabadiliko ya kweli, Hawa ni wale ambao hawajawai kuwa serikalini lakini serikali wanaijua nje ndani na uozo wao wote na wakiingia wataleta mabadiliko ya kweli ya kikatiba na kisheria na kujenga uchumi shirikishi.

2: Kundi la Pili ni linalo-ongozwa na wazalendo ndani ya CCM waliochoshwa na kuporwa kwa rasilimali za Taifa ambao ni Warioba, Butiku, Mwinyi, Polepole, Dr bashiru, Majaliwa, Pinda,Mpango, Mpina na Gwajima.

3.Kundi la tatu ni CCM maslahi ya ambao ni Rostam Azziz, Nchimbi, Kigwangala, Makamba,Bashe na Nape, Ndungai, Kinana. Hawa ni masalia ya wanamtandao na watumishi wa mtu sio wananchi.

4. Kundi la nne kundi maslahi pia, ndio kundi la wanamtandao JK,Samia,Riz, Muchengerwa, Rajabu, Abood, Msukuma, Shabibi, Mavunde,Mwigulu, Zitto na Mbowe hili ndio kundi hatari zaidi kuwai kuwepo nchi hii.

Namba moja na namba mbili wanaongea lugha moja ingawa wapo pande mbili tofauti.

Namba nne ni matokeo ya ugomvi wa kimaslahi na namba tatu.

Wazalendo tupambane baada ya Reform mpaka kieleweke ili namba 1 na 2 waingie kwenye uchaguzi ili akishinda yeyote nchi inakuwa imeshinda.

Mungu ibariki TANZANIA.
Imagine jitu kama Gwajiboy Tajiri mwizi wa sadak eti ni mzalendo 😆 😆 😆,hapo kamateni wapumbavu

Pili imagine mtu anamiliki mgodi huko kwao Kwa kutumia mgongo wa Cheo Cha Serikali ni Tajiri harafu anajiita mzalendo.Hapa kamateni punguani wenzenu.

Mwisho kama wewe ni mwananchi wa kawaida ukiona Wanasiasa wanauana furahia maana hao ni wapumbavu na wasio na Msaada kwako zaidi ya kukuobia na kukulandamiza.
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Wasalaam!!

1: Kundi la kwanza ni kundi la pure wazalendo wa nchini lenye ushawishi ni kundi linaloongozwa na Tundu Lissu,John Heche, Lema na umma wa wapenda mabadiliko ya kweli, Hawa ni wale ambao hawajawai kuwa serikalini lakini serikali wanaijua nje ndani na uozo wao wote na wakiingia wataleta mabadiliko ya kweli ya kikatiba na kisheria na kujenga uchumi shirikishi.

2: Kundi la Pili ni linalo-ongozwa na wazalendo ndani ya CCM waliochoshwa na kuporwa kwa rasilimali za Taifa ambao ni Warioba, Butiku, Mwinyi, Polepole, Dr bashiru, Majaliwa, Pinda,Mpango, Mpina na Gwajima.

3.Kundi la tatu ni CCM maslahi ya ambao ni Rostam Azziz, Nchimbi, Kigwangala, Makamba,Bashe na Nape, Ndungai, Kinana. Hawa ni masalia ya wanamtandao na watumishi wa mtu sio wananchi.

4. Kundi la nne kundi maslahi pia, ndio kundi la wanamtandao JK,Samia,Riz, Muchengerwa, Rajabu, Abood, Msukuma, Shabibi, Mavunde,Mwigulu, Zitto na Mbowe hili ndio kundi hatari zaidi kuwai kuwepo nchi hii.

Namba moja na namba mbili wanaongea lugha moja ingawa wapo pande mbili tofauti.

Namba nne ni matokeo ya ugomvi wa kimaslahi na namba tatu.

Wazalendo tupambane baada ya Reform mpaka kieleweke ili namba 1 na 2 waingie kwenye uchaguzi ili akishinda yeyote nchi inakuwa imeshinda.

Mungu ibariki TANZANIA.
Haya makundi wanamaoni gani kuhusu wizi mkubwa wa wazi wa 2020?
 
Walinda mipaka Wana wa sapoti kundi lipi!!?hao ndio wanaweza kutusaidia kuliko maneno matupu ya wanasiasa!!

Tunataka kuona wakionyesha msimamo wao!

Kwa muda mrefu wamenikera sana!!has kujifanya ya wanasiasa hayawahusu wakati nchi wanayoilinda inaharibiwa vibaya sana!!

Kama wangekua active ufisadi na mengineyo yasingekuwepo kabisa!

Unalindaje mipaka wakati ndani unawaacha wezi waibe vya kutosha!!!!?

Time to step up!
Hii naiunga mkono 100%
 
Wasalaam!!

1: Kundi la kwanza ni kundi la pure wazalendo wa nchini lenye ushawishi ni kundi linaloongozwa na Tundu Lissu,John Heche, Lema na umma wa wapenda mabadiliko ya kweli, Hawa ni wale ambao hawajawai kuwa serikalini lakini serikali wanaijua nje ndani na uozo wao wote na wakiingia wataleta mabadiliko ya kweli ya kikatiba na kisheria na kujenga uchumi shirikishi.

2: Kundi la Pili ni linalo-ongozwa na wazalendo ndani ya CCM waliochoshwa na kuporwa kwa rasilimali za Taifa ambao ni Warioba, Butiku, Mwinyi, Polepole, Dr bashiru, Majaliwa, Pinda,Mpango, Mpina na Gwajima.

3.Kundi la tatu ni CCM maslahi ya ambao ni Rostam Azziz, Nchimbi, Kigwangala, Makamba,Bashe na Nape, Ndungai, Kinana. Hawa ni masalia ya wanamtandao na watumishi wa mtu sio wananchi.

4. Kundi la nne kundi maslahi pia, ndio kundi la wanamtandao JK,Samia,Riz, Muchengerwa, Rajabu, Abood, Msukuma, Shabibi, Mavunde,Mwigulu, Zitto na Mbowe hili ndio kundi hatari zaidi kuwai kuwepo nchi hii.

Namba moja na namba mbili wanaongea lugha moja ingawa wapo pande mbili tofauti.

Namba nne ni matokeo ya ugomvi wa kimaslahi na namba tatu.

Wazalendo tupambane baada ya Reform mpaka kieleweke ili namba 1 na 2 waingie kwenye uchaguzi ili akishinda yeyote nchi inakuwa imeshinda.

Mungu ibariki TANZANIA.
Mkuu ungekiri basi kuwa hili andiko umekopi na kupesti kitoka kwa Kigogo !
 
Ungechambua na taasisi zote nyeti na vyombo vya Dola vinaangukia wapi? ... Kama itakupendeza lakini. 🙏
 
Back
Top Bottom