Makundi 53 ya waasi DRC yakubali yaishe kwenye kikao Kenya

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,430
Kwenye shughuli iliyosimamiwa na kuratibiwa na aliyekua rais wa Kenya bwana Uhuru Kenyatta.

Wamekubali kuweka silaha chini na kuanza shughuli za ujenzi wa taifa, ikumbukwe jumuia ya EAC iliazimia kwamba amani lazima ipatikane DRC kwa heri au shari, chagua moja.

Pia M23 wametuma ujumbe wako tayari kuyamaliza.

========

Fifty-three armed groups from the Democratic Republic of Congo that met in Kenya for the third East African Community-led Nairobi Peace Process have agreed to lay down their arms as Kinshasa finds ways to address their grievances, amongst them the removal of foreign armed groups from the country.

This was one the resolutions made in the final communique read out during the close of the week-long meeting at the Safari Park Hotel.

We’ve made progress, Uhuru says as Nairobi meeting on DRC ends

Former Kenyan president Uhuru Kenyatta

Former Kenyan president Uhuru Kenyatta (left) and DRC President Felix Tshisekedi’s special envoy Serge Tshibangu on December 6, 2022 display a copy of the agreement reached during the EAC-led Nairobi Process, the third peace talks meeting on the conflict in eastern DRC. PHOTO | EVANS HABIL | NMG

Fifty-three armed groups from the Democratic Republic of Congo that met in Kenya for the third East African Community-led Nairobi Peace Process have agreed to lay down their arms as Kinshasa finds ways to address their grievances, amongst them the removal of foreign armed groups from the country.

This was one the resolutions made in the final communique read out during the close of the week-long meeting at the Safari Park Hotel.

Noting that the process of finding lasting peace in the region will take time, the facilitator of the process, former Kenyan president Uhuru Kenyatta, said the resolutions arrived at during the meeting will be seeking to address issues that can be addressed within the short term.

Source: The East African
 
Wamekubali kuweka silaha chini na kuanza shughuli za ujenzi wa taifa, ikumbukwe jumuia ya EAC iliazimia kwamba amani lazima ipatikane DRC kwa heri au shari, chagua moja.
Hao wahuni sio wakuamini asilimia 💯...miaka yote husema hivyo Kisha baada ya muda hurejea tena msituni.

Kama wakati huu wakitekeleza makubaliano basi itakuwa jambo jema kwa Drc.
mtu chake JokaKuu imhotep zitto junior wa kupuliza
 
Kwa sasa hili suala lipo chini ya usimamizi wa EAC kwa mara ya kwanza, na imeazimiwa amani itapatokana DRC kwa heri au Shari.
 
Kutoka kwa matajiri wakubwa wa madini duniani
Hao wanaongea na wauzaji wa silaha na kuzituma huko kuwachanganya huku wakiiba madini

Biashara haramu lazima inahusisha mauaji always
hivyo vikundi ,vinalinda na kulindwa na makundi makubwa
 
Kutoka kwa matajiri wakubwa wa madini duniani
Hao wanaongea na wauzaji wa silaha na kuzituma huko kuwachanganya huku wakiiba madini

Biashara haramu lazima inahusisha mauaji always
CIA na Columbia enzi hizo
 
Back
Top Bottom