Makubwa ya iringa mmhh???

Mkuu huyu jamaa simpendi kweli anatafuta umaarufu jf kitoto
Nilidhani ni jukwaa huru ambalo kila mmoja anatoa mawazo yake kwa uhuru. Pia nadhani si vema ukamchukia mtu ambaye anamawazo tofauti na yako. Sote tuna nia njema ya kuboresha maishayetu ya sasa na ya vizazi vyetu baadae Tatizo kubwa ni njia ya kufika huko ndio kuna migongano. Ninaamini kumchukia mtu ni Dhambi
 
Eneo hilo ni la mbunge Mch. Mhe.Msigwa wa CDM, kama kuna mwenye mawasiliano nae au kama yumo humu Jf atupe ukweli wa mambo.
 
mh ule mlima na mimawe yote ile huyo mnunuzi anataka kuweka sehemu ya kutambikia au?
 
bush alipokuja tanzania na kukaa hata kucheza ngoma za kimasai mlifikiri anakuja kuchezea muda? Kiazi hiki tulicho nazo kimeoza ndani kuna mafilifili ile mbaya. Ndo hivyo alikuja kumzezetua kikwete angalia walivyokuwa wanatia sahihi mikataba ya karlpeters bush anamshangaa kikwete anavyotumia muda mwingi kutia saini. Jamaa kamzidi kila kitu kaja hapa mgeni lakini alivyodominate utafikiri kikwete ndiye aliyekuwa mgeni. Ndo hivyo jamani tumeshaliwa . Mkwawa alikuwa na akili NYINGI SANA kuliko VIONGOZI MADR FEKI wa leo hapa lazima ashushe laana kwa washenzi hawa. Eeee! MTWA MKWANYIKA !Tukumbuke wanao mlete shujaA mwingine awasambaratishe akina mangungo wa leo . Wewe ndiye shujaa na utabaki shujaa milele uliyekataa kuguswa na wazungu ukiwa hai uko wapi shuka leo tukomboE toka minyororo ya vilaza wa leo toka pwani

Kweli kabisa na jamaa wanavyojua kutumia muda basi ndo kasheshe tupu. Anajua akija hapa atakaa siku 4 na atapata kila anachotaka iwe kigamboni, plots za madini ya uranium, n.k. Atatumia sekunde 3 kutia saini wakati mwenziwe kkwete atumia dk nzima sijui ni panic kwamba anajua anachofanya si kizuri au anawaza utajiri ulio mbele yake kwa mgao wa rushwa iliyotolewa, etc etc etc.... Bongo!
 
Back
Top Bottom