Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,575
- 55,144
Liwalo na liwe
Ukiisoma kwa umakini ni kama anaijulisha ofisi ya makamu wa rais kuwa amesha muandikia rais barua ya kujiuzulu, maana yake kuna barua ya kwanza imeenda ofisi ya rais.Kwa kua ni tukio la kwanza tokea kupatikana kwa uhuru hatuna rejea ya usahihi kwa kulinganisha.
Ila kwa ujumla kuna makosa makubwa sana kuanzia ya kimantiki na kimuktadha na hio kiprotokali.
Ndio maana tunadhubutu kusema imendikwa si kwa mkono wake, pengine hata yeye anashangaa kuoona ila ndio imekwisha kuwa hivyo.
Sasa mbona alichokifanya Nchimbi ndio hicho hicho alichokifanya Balozi Polepole.Aliasi.
Kwani hizo barua wanaandika wao ?Bahati mbaya hawana nafasi ya kuja kueleza kilichotokea.
Ya ndugai ilielekezwa kwa katibu wa bunge
Kuna tofauti kubwa hasa pale unaona bosi wako haeleweki na zaidi anasikiliza machawa zaidi, Kumbuka hata JK hakutaka Lowasa ajiuzulu Lowasa alijiuzulu kwasababu ya uwaziri mkuu ambao samweli sita ndiye aliyekuwa aupate hivyo kwasababu ya hasira za Lowasa na kule kujiamini aliamua kujiuzulu.Kiprotokali ni Rais ndiye alitakiwa atangaze kupokea barua ya Emmanuel Nchimbi kujiuzulu umako wa Rais na siyo Nchimbi kutangaza kuwa amemuandikia Rais barua ya kujiuzulu.
Hili kosa la Kiprotokali alilifanya pia Edward Lowassa alipojiuzulu uwaziri Mkuu toka kwenye Serikali ya Jakaya Kikwete.
Bora kosa kulioko angeandika halafu akashinikizwa kubali uwamuzi wake.Kiprotokali ni Rais ndiye alitakiwa atangaze kupokea barua ya Emmanuel Nchimbi kujiuzulu umako wa Rais na siyo Nchimbi kutangaza kuwa amemuandikia Rais barua ya kujiuzulu.
Hili kosa la Kiprotokali alilifanya pia Edward Lowassa alipojiuzulu uwaziri Mkuu toka kwenye Serikali ya Jakaya Kikwete.
Na hiki kitu nadhani wengi hawajakiona. Sijui imekaaje hii!Barua imeandikwa kutoka kwa makamu wa raisi kwenda kwa ofisi ya makamu wa raisi
Duh
Umeambiwa kosa hilo pia alilifanya waziri mkuu lowasaKwa kua ni tukio la kwanza tokea kupatikana kwa uhuru hatuna rejea ya usahihi kwa kulinganisha.
Ila kwa ujumla kuna makosa makubwa sana kuanzia ya kimantiki na kimuktadha na hio kiprotokali.
Ndio maana tunadhubutu kusema imendikwa si kwa mkono wake, pengine hata yeye anashangaa kuoona ila ndio imekwisha kuwa hivyo.
Hiyo ni Taarifa kwa Uma.Barua imeandikwa kutoka kwa makamu wa raisi kwenda kwa ofisi ya makamu wa raisi
Duh
Vipi Rais akikataa kujiuzulu kwake? Maana hii ilishawahi kutokea kwa Mkapa alipokataa kujiuzulu kwa aliyekuwa waziri wake wa Biashara Idd Simba.Hiyo ni Taarifa kwa Uma.
Kama isivyosaidia kujua Tanganyika ilipata uhuru mwaka 1961. Hata wasiposema si uhuru ulishapatikana!Kwa sasa hiyo protokali inasaidia nini baada ya taarifa kutoka? Tuamini kwamba barua ni ya uongo?
Kiprotokali ni Rais ndiye alitakiwa atangaze kupokea barua ya Emmanuel Nchimbi kujiuzulu umakamo wa Rais na siyo Nchimbi kutangaza kuwa amemuandikia Rais barua ya kujiuzulu.
Hili kosa la Kiprotokali alilifanya pia Edward Lowassa alipojiuzulu uwaziri Mkuu toka kwenye Serikali ya Jakaya Kikwete.
Yuko sahihi ata polepole aliandika taarifa kwa umma...Kiprotokali ni Rais ndiye alitakiwa atangaze kupokea barua ya Emmanuel Nchimbi kujiuzulu umakamo wa Rais na siyo Nchimbi kutangaza kuwa amemuandikia Rais barua ya kujiuzulu.
Hili kosa la Kiprotokali alilifanya pia Edward Lowassa alipojiuzulu uwaziri Mkuu toka kwenye Serikali ya Jakaya Kikwete.
Na yeye alitoa mtandaoni piaBahati mbaya hawana nafasi ya kuja kueleza kilichotokea.
Ya ndugai ilielekezwa kwa katibu wa bunge
Protokali haitaki hivyo... Rais akija kutangaza haileti maana. Na ndiyo maana Polepole alivuliwa hadhi ya ubalozi.Yuko sahihi ata polepole aliandika taarifa kwa umma...
Waacheni waauaji wauane!Kiprotokali ni Rais ndiye alitakiwa atangaze kupokea barua ya Emmanuel Nchimbi kujiuzulu umakamo wa Rais na siyo Nchimbi kutangaza kuwa amemuandikia Rais barua ya kujiuzulu.
Hili kosa la Kiprotokali alilifanya pia Edward Lowassa alipojiuzulu uwaziri Mkuu toka kwenye Serikali ya Jakaya Kikwete.
Wh ar Yu📍
Wakati mwingine unaweza kuandika barua usijibiwe Kwa wakati hivyo unaweza kujikuta umenyanganywa kiti ata kama ulikuwa unampango wa kutoka unajikuta upo NJE. Ndo alichofanya polepole. Siasa za Tanzania zimejaa timing ndo maana viongozi wengine wanakosa protocali.Makamu wa Raisi tayari ameshampa taarifa mkuu wake (Raisi), ambayo sio lazima wewe uione, juu ya kujiuzuru na akapewa "go ahead" ni wajibu wake kuutangazia umma, kwa sababu ni maamuzi ni binafsi yake.
Protokali hufuata matakwa, Lowassa alimpa taarifa ya kujiudhuru JK, JK akamwambia akajiudhuru bungeni alikopitishwa. Waziri Mkuu kujiudhuru bungeni sio kuvunja protocol, alipotishwa mle, Raisi anatuma jina bungeni kwa barua ya serikali.
Huwezi ukataka wewe halafu Raisi, akatangazq, Raisi anatangaza anapotaka yeye, hiyo ndio protocols. Huwezi muwekea maneno raisi kwenye binafsi yako. Protocol imefuatwa na huo ndio utaratibu.
Soma ili uelewe barua hiyo; wewe umesoma ili ukosoe. Kasema kila kitu katika barua hiyo.
Point of no return, one way tiket.Kiprotokali ni Rais ndiye alitakiwa atangaze kupokea barua ya Emmanuel Nchimbi kujiuzulu umakamo wa Rais na siyo Nchimbi kutangaza kuwa amemuandikia Rais barua ya kujiuzulu.
Hili kosa la Kiprotokali alilifanya pia Edward Lowassa alipojiuzulu uwaziri Mkuu toka kwenye Serikali ya Jakaya Kikwete.