Makosa ya barabarani tunayoonewa hivi sasa

Hakuna Sheria sema polisi wanatumia kigezo cha uoga wetu kutuonea
Tukiwagomea tu watatuelewa
 
Mimi siku izi i have my technque as ninapokutana askari akinisimamisha tu akiniomba Leseni, Namwambia Afande nimesahau leseni home afu nasafiri, so ndo nimekumbuka nairudia home nikachue, I have applied the Technique almost 7 Times na imekuwa successfully kabisa.
Mkuu umeuza ramani sasa maana hapa ndani wamejaa tele.
 
Kama kawaida yao trafiki hivi sasa wanaendelea kutunyanyasa na kudai faini kwa makosa mbambali mengi y kiwa kubambika kabisa.

Mfano mimi jana nipo barabarani na eneo hilo hakuna watu kabisa nikaikuta ZEBRA na kipindi hicho hakukuwa na mtu yeyote ambae anahitaji kupita ama ambaye yupo jirani nikapita kufika mbele kidogo nikamkuta Trafiki akanisimamisha, akaomba leseni nikampa akakagua gari akaniambia kosa lako ni kwanini hukusimamama kwenye ZEBRA.

Nikamjibu hakukuwa na mtu yeyote ambaye anataka kupita na hakukuwa na watu jirani hapo. Akaniambia ni kosa kupita kwenye ZEBRA bila kusimama.

Jamani wataalamu na naombeni kuelimishwa ili tusionewe.
jaribu kuhakiki kama hicho hapo ni sahihi.

CHAPTER 168
THE ROAD TRAFFIC ACT
[PRINCIPAL LEGISLATION]
65. Pedestrian crossings

(9) Where traffic is regulated at a pedestrian crossing on a carriageway by–
(a) traffic lights;
(b) traffic signals; or
(c) traffic officer,
a driver of a vehicle forbidden to proceed shall stop immediately before that pedestrian crossing
and shall not, when permitted to proceed, prevent or obstruct the passage of any pedestrian
who has stepped on to and is proceeding over the crossing.
 
Kama kawaida yao trafiki hivi sasa wanaendelea kutunyanyasa na kudai faini kwa makosa mbambali mengi y kiwa kubambika kabisa.

Mfano mimi jana nipo barabarani na eneo hilo hakuna watu kabisa nikaikuta ZEBRA na kipindi hicho hakukuwa na mtu yeyote ambae anahitaji kupita ama ambaye yupo jirani nikapita kufika mbele kidogo nikamkuta Trafiki akanisimamisha, akaomba leseni nikampa akakagua gari akaniambia kosa lako ni kwanini hukusimamama kwenye ZEBRA.

Nikamjibu hakukuwa na mtu yeyote ambaye anataka kupita na hakukuwa na watu jirani hapo. Akaniambia ni kosa kupita kwenye ZEBRA bila kusimama.

Jamani wataalamu na naombeni kuelimishwa ili tusionewe.
tatizo madereva wengine mpaka wasimamiwe ndo wanatii sheria!ndo inawalazimu askari kuwepo maeneo hayo!sasa lazima tunyooshwe kwanza halafu sheria ikifwatwa bila ya shuruti hutowaona maaskari kusimamia zebra!embu nendeni nchi kama sudan(sio ya salva kir)sheria wanakaa mpaka dakika mbili.watu wakizoea kusimama basi mambo yatakua safi.
 
Mkuu pole sana, Mimi hiyo adhabu ilinikuta Iringa, nninepita kwenye zebra bila kusimama eneo haina watu kabisa......kufika mbele jamaa wananiambia nimesababisha usumbufu kwa waenda kwa miguu.
 
mmh hiyo sheria labda dar es salaam haipo, mbona sisi huwa hatukamatwi tena mara nyingi unakuta watu wanasubiri kuvuka kwenye zebra ila tunapita spidi kama hatuwaoni na wala trafic hawatugusi
 
Sheria inataka kusimama kwenye Zebra kisha uangalie kuakikisha kuwa hamna anayevuka ndio uendelee na safari yako. Hii sharia ukienda nchi nyingi za SADC wanaitumia sana. Tusilalamike bali tutii sharia bila shuruti kumbuka kutojua sheria hakukupi msamaha wa kosa
Hakuna kitu kama hicho. Sheria inakutaka UPUNGUZE MWENDO ili uweze kuona kama kuna punda au hakuna punda wanaovuka au wanaokusudia kuvuka.
 
Hakuna sheria inayokulazimisha kusimama kwenye zebra kama hamna mvukaji. Labda kuwe na traffic lights. Naomba nikuulize swali kama inabidi nisimame hata kama hamna mtu (hamna taa hapo) nini kitaniruhusu niende?! Usisahau inabidi nisimame hata kama hamna mtu.
A logical question
 
Hii sheria sasa hivi ina apply mikoa mingi hata kama hakuna anayevuka lazima usimame
Wabaki na hizo sheria za kipuuzi huko huko mikoani. Imagine barabara kama ya Ali Hassan Mwinyi kuanzia Tegeta hadi Posta kila gari likisimama kila zebra crossing hali itakuwaje?!!
 
Sheria inataka kusimama kwenye Zebra kisha uangalie kuakikisha kuwa hamna anayevuka ndio uendelee na safari yako. Hii sharia ukienda nchi nyingi za SADC wanaitumia sana. Tusilalamike bali tutii sharia bila shuruti kumbuka kutojua sheria hakukupi msamaha wa kosa
Naomba unitajie nchi moja ya SADC inayotekeleza hiyo sharia unayosema. Nimekuwa Lusaka na Durban, hii kitu sijaona
 
Kama kawaida yao trafiki hivi sasa wanaendelea kutunyanyasa na kudai faini kwa makosa mbambali mengi y kiwa kubambika kabisa.

Mfano mimi jana nipo barabarani na eneo hilo hakuna watu kabisa nikaikuta ZEBRA na kipindi hicho hakukuwa na mtu yeyote ambae anahitaji kupita ama ambaye yupo jirani nikapita kufika mbele kidogo nikamkuta Trafiki akanisimamisha, akaomba leseni nikampa akakagua gari akaniambia kosa lako ni kwanini hukusimamama kwenye ZEBRA.

Nikamjibu hakukuwa na mtu yeyote ambaye anataka kupita na hakukuwa na watu jirani hapo. Akaniambia ni kosa kupita kwenye ZEBRA bila kusimama.

Jamani wataalamu na naombeni kuelimishwa ili tusionewe.
Kosa la pili wanalokomaa nalo mkiwa watu 4 au 3 kwenye gari wote mtatakiwa mfunge mkanda mmoja tu akijisahau hata kiti cha nyuma hapo hamtoki ni gain tu
 
mmh hiyo sheria labda dar es salaam haipo, mbona sisi huwa hatukamatwi tena mara nyingi unakuta watu wanasubiri kuvuka kwenye zebra ila tunapita spidi kama hatuwaoni na wala trafic hawatugusi
Mikoani huko wanaonewa sana ... Dar usimame kwenye zebra bila sababu utapigiwa honi kama umeua....
 
Back
Top Bottom