Makosa ya barabarani tunayoonewa hivi sasa

Makosa ya barabarani tunayoonewa hivi sasa

Kuna traffic leo ameniudhi mpaka nikataka kununua ugomvi, eti anamwambia Konda nguo zako chafu nakuandikia kosa dah, watanifanya siku moja umpige hata ngumi
 
Hii sheria sasa hivi ina apply mikoa mingi hata kama hakuna anayevuka lazima usimame
Kwa kulazimasha ila kwa Sheria si lazma kusimama hata mkuu wao siki ile anahojiwa alisema kuwa namnukuu HATUA KALI ZITACHUKULIWA KWA WALE MADEREVA WASIOYAKA KUPUNGUZA MWENDO au kusimama KWENYE VIVUKO VYA WAENDA KWA MIGUU.
 
Unalipa kwa kuwa hujui sheria ila Kifungu 65 kifungu kidogo 10 kina maelekezo yote si lazma kusimama kama hakuna mtu wa kupita pande zote
267094c18b2d2c457b9b6271d1b3e0f2.jpg
 
Polisi wetu ni shida, wanaonea watu, mm niliwahi kukamatwa pale visiga eti kwa nini watu hawakuvuka niliposimama
Naona ni ushamba tu na ulimbukeni ukiwa na kigari unajiona unazo. Kataa kulipa faini barabarani nenda na trafiki kituoni akwandikie faini na akukatie risiti halali ya serikali
 
Back
Top Bottom