Makosa 10 aliyotenda Mungu

Hata kama sijui, kuwa makini usije kumwongezea maneno ambayo hakuyatamka.
Vipi hii tafsiri ya

Matthew 2:

29 Jicho lako la kuume likikukosesha, ling'oe ulitupe mbali nawe; kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehanum.

30 Na mkono wako wa kuume ukikukosesha, ukate uutupe mbali nawe; kwa maana yakufaa kiungo chako kimoja kipotee wala mwili wako mzima usitupwe katika jehanum.
 
Kwani walipo huko wodini sii wa kwake??? iweje ujione mwema kisa haipo huko???....jibu swali kwanini wapo wodini???
Mada ya ki "Griit thinka" sana hii mkuu!! Nawezaje kuikopi kama ilivyo hii nikawashirikishe wengine nnje ya jf!?
 
Shetani alikuwa ktk kundi la malaika baada ya kuasi ndo akawa shetani,na ww naona umehasi,tubu kwa jina la mola wako
 
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa.Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ogomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake??? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony???..Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure...God come from your hidings and reveal yourself to your people.

3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he didi..sasa waovu wa leo wametoka wapi??? mbona aliuwa watu wengi bila huruma??? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini??? It seems he fought effects instead of causes.

4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao??? mbona Gadaffi aliweza???.Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi???...WE HAVE TO BE FAIR!!!

5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi??? je kuna muda wa kutosha??? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati???

6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu??? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema??? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao??? au hakujua???

7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwani kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko....Kwani anawauwa watu kikatili hivi???au haya nayo tumsingizie shetani???

8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo??? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani???.Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina???

9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu??? Kwani hajui kusamehe???Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani?. Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao??? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATING THEM...So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.

10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)??? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani??? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia??? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani???

TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!!!
Sasa kuna tofauti gani kati ya kuumbwa kwa shetani na wewe?kumbuka unavuta hewa yake, maji yake, mimea na vilivyo ulimwenguni vyote ni vyake. Na mwisho utarudi kwake halafu kumbuka hata kiburi cha firauni kimeishia baharini. Usicheze na aliekuumba mkuu na kukumbusha tu ni wajibu wangu.
 
Wakati Mungu anamuumba hakujua kama atakuja kuasi...si anajua mambo ya mbeleni???
 
Bible sio gazette unatakiwa uisome ukiwa umetulia na umuombe Roho Mtakatifu akupe mafunuo yapo mambo complicate kwa tafsiri za papo kwa papo.
 
Una nani wewe mavumbi na majivu unayemkosoa Mungu? Una nini wewe kigae kati ya vigae vya dunia unayekosoa Muumba wako? U nani wewe mbwa mfu unayemkosoa Mungu? Huku ni kuvuka mpaka. Ninakushauri utubu uovu huu mara moja na tena waambie Mods waufute kama hujitafutii kifo cha ghafla na kwenda motoni moja kwa moja. Mwenye masikio na asikie.
Toa majibu ukisoma vizuri utaelewa acha kukariri acha akili yako iwe huru
 
Bible sio gazette unatakiwa uisome ukiwa umetulia na umuombe Roho Mtakatifu akupe mafunuo yapo mambo complicate kwa tafsiri za papo kwa papo.
Kwanini haikwandikwa kwa urahisi tukaielewa???
 
Sasa kuna tofauti gani kati ya kuumbwa kwa shetani na wewe?kumbuka unavuta hewa yake, maji yake, mimea na vilivyo ulimwenguni vyote ni vyake. Na mwisho utarudi kwake halafu kumbuka hata kiburi cha firauni kimeishia baharini. Usicheze na aliekuumba mkuu na kukumbusha tu ni wajibu wangu.
Mimi naonekana na nasikika, umewahi kumwona shetani???
 
Ili ujue kwamba kakosea lazima wewe uwe unajua na kuyaelewa hayo mambo aliyofanya zaidi yake, na pia ujue alipaswa afanye nini badala yake. Je unaweza kujiamini kuthibitisha hilo?
 
1.KUMUUMBA SHETANI:
Hili lilikuwa kosa kubwa sana. Makosa yate yamechepuka kutoka hapa.Shetani anawasababishia watu maovu, then Mungu anawahukumu watu dhaifu. Hapa Mungu inambidi amkamate shetani na kumtokomeza ili maovu yaishe, kama wote wanatoshana nguvu basi wasuluhishe ogomvi wao na kupatana ili maisha yawe ya amani.

2.KUISHI MAFICHONI:
Toka enzi na enzi, Mungu amekuwa akiishi mafichoni, kwanini asijitokeze na kujionesha kwa viumbe vyake??? Anaishi mafichoni kwani yeye ni Joseph Kony???..Hili limepelekea watu wake kudanganywa na manabii wa uongo na kutapeliwa bure...God come from your hidings and reveal yourself to your people.

3.MAFURIKO YA WAKATI WA NUHU:
Mungu alisababisha mafuriko ili kuangamiza watu waovu na kubakiza watu wema, Yes he didi..sasa waovu wa leo wametoka wapi??? mbona aliuwa watu wengi bila huruma??? Kama mafuriko yalikuwa ni suluhisho la maovu, Yesu na mitume walijia nini??? It seems he fought effects instead of causes.

4.SAFARI YA WANA WA ISRAELI:
Mungu aliwatoa wana wa Israel kutoka Misri kwa madai ya kuwapa nchi ya ahadi, matokeo yake aliwaamuru wafanye uvamizi wa nchi za watu(mf. waamori, wamoabu na wakanani). Kwanini asingebadilisha jangwa na kuwatengenezea waisraeli nchi yao??? mbona Gadaffi aliweza???.Imagine waje wapuuzi hapa TZ wachukue nyumba na ardhi kwa madai kwamba wameagizwa na Mungu, ungereact vipi???...WE HAVE TO BE FAIR!!!

5.KUTOTIMIZA AHADI YAKE KWA ABRAHAM:
Mungu alimwambia Abraham kuwa atampatia uzao wa wana wengi kama nyota za angani au mchanga wa pwani. Sasa hivi ukichanganya walio wa Abrahamu na wasiyo wa kwake bado watu hawawezi kuwa sawa na nyota au mchanga wa pwani. Ata ukijumlisha na waliokufa back to Adam. Atatimiza lini hi ahadi??? je kuna muda wa kutosha??? mbona watumishi wake wanasema Yesu yuu karibu kuja ili kutamatisha nyakati???

6.KUWEPO KWA MZIO(ALLERGY):
Kwanini watu wengi ambao ni wema wana allergy na vitu alivyoumba Mungu??? mbona maandiko yanasema kila alichoumba Mungu ni chema??? Kwanini aumbe mimea na wanyama wenye sumu kwa watu wake awapendao??? au hakujua???

7.MAJANGA ASILIA:
Kama Mungu aliumba dunia ili iwe sehemu ya amani kwa watu wake na wamwabudu yeye, kwani kuna matetemeko ya nchi, vimbunga na mafuriko....Kwani anawauwa watu kikatili hivi???au haya nayo tumsingizie shetani???

8.KUUMBA VIUMBE HATARISHI:
Kwanini Mungu aumbe bacteria, virusi, fangasi na viumbe wengine wanaosababisha magonjwa na kifo??? Kwanini hawa viumbe wasingefia kwenye yale mafuriko ya Nuhu ili watu wema alio wabakiza waishi kwa amani???.Je hawa viumbe hatari Mungu alimwamuru Nuhu awaingize wawili wawili kwenye safina???

9.JEHANAMU NA MOTO WAKE:
Kwanini Mungu aumbe jehanamu kuteketeza waovu??? Kwani hajui kusamehe???Kwanini huruma yake ina kikomo kwa shetani?. Kama wewe ni mzazi, mwanao akikukosea na hajaomba msamaha, itabadilisha uhalisia kuwa yule sii mwanao??? SHETANI PAMOJA NA WAOVU NI KAZI YA MIKONO YAKE, PRODUCTS OF HIS OWN MIND BEFORE CREATING THEM...So aache kuweka vinyongo na kutamani kulipiza kisasi juu ya kazi yake.

10.KASORO KWENYE MWILI WA BINADAMU:
Kwanini pawepo na mabadiliko hasi kwenye jeni za binadamu(mutation)??? kwani hakujua hicho ni chanzo cha viwete??? Kidole tumbo(appendix) ni cha kazi gani??? mbona hajatoa maelezo namna ya kukitumia??? Na chuchu za mwanaume ni za kazi gani???

TO THE RIGHT WING OR THE LEFT WING WE ARE NEITHER, NOT EVEN AT THE MIDDLE....R.I.P MOBUTU!!!
Umewaza kibinadamu zaidi kuliko kumshirikisha Roho Mtakatifu. Unahitaji toba kwani uelekeo uendao umeonyesha sura halisi ya yule unayemtumikia ukiwa kama Wakala. Mungu Muumbaji akusamehe.
 
CHAMITON,

Maswali mazuri sana.

Tujadili swali kwa swali.

La kwanza:
Job 47:16, Psalm 239:2-4, 147:5, Proverbs 5:21, Isaiah 46:9-10, 1 John 3:19-20, etc zina support kuwa Mungu anajua KILA KITU; kilichokuwa, kilichopo and kitakachokuwa. So ni kweli kabisa, ALIJUA kuwa njemba itaasi and kuleta sheeda kwetu duniani. I agree.

Kwa nini alimuumba despite kujua hili?

Jibu lake:
Ili mpango wake juu ya binadamu utimie.

Ila unazaa swali lingine hapo: Mpango wake juu ya binadamu ni nini? Bila kujua hili sidhani kama utaweza elewa why He did what he did, create the devil.

So probably ili kupata jibu kamilifu la swali la kwanza inabidi kujiuliza mpango WA Mungu ni nini? Angalizo: Sidhani Kama tunaweza jibu kikamilifu hapa maana akili zetu na zake ni kama ... (Isaiah 55:8-9)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom