Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,360
- 5,009
Una uhakika na unachosema?Hiyo ni habari chafu, utamkosoaje yule aliyekuumba??, wewe hata huwezi kuumba "single celled creature".
Badala ya kutafuta hekima ya uumbaji na utendaji wa mambo hapa duniani "the grand cosmic context", wewe unapinga na kumkosoa aliyekupa hiyo akili [emoji848][emoji848][emoji31][emoji31]!!
Vipi ndugu??!!
Hakina kosa. Wewe ulitakaje ?
Hekima unaijua kweli mkuu?
Hebu jiulize watu ambao wamezaliwa wazima kabisa na hawana tatizo ni kipi walichokifanya kumfurahisha Mungu hadi wakazaliwa wazima bila tatizo?lazima tujiulize hili.
Hiyo maana ya hekima umeitoa wapi? maana sijawahi kuona neno hekima likitumika kwa maana hiyo.Hekima maana yake fair kumfanyia mtu jambo bila bias
Sasa mungu wenu hana fair amejaa upendeleo
Umezunguka nchi nyingi sawa, lakini hapa ndugu yangu tunazungumzia juu ya kuwepo au kutokuwepo kwa Mungu na siyo dini, hao unaowaona kuwa wameendelea na wana raha na starehe, mfano Marekani hujaona katika sarafu yao ya dollar wameandika maneno:- " In god we trust" ?? au pamoja na kutembea nchi zote America hujafika??😁😁
Ingekuwa unayoyasema ni kweli basi waarabu ndio wangekuwa nyuma kimaendeleo kuliko waafrika.
Naona umeshanielewa.
Halafu ni makosa kuandika aya kwa maandishi ambayo si ya asili.
Bado najiuliza haya:-Wanaosema Mungu yupo hawajibu maswali kama haya.
Kwa sababu hawawezi.
Kwa sababu Mungu hayupo.
Kwa mwendo huu ninao wapeleka lazima mnyoshe maelezo. Sema wewe na wenzako ndio hamjui muda ni nini ?
Halafu nakukumbusha tu sijakuuliza muda ni nini,japokuwa muda unafahamika ni nini,nimekuuliza Muda ulianza lini ?
Hoja yako ipi mbona haueleweki mara hakuna maendeleo ni walewale tu mara wanafanikiwa kwa kukandamiza wenzao mara pesa zao ni kwa sababu ya foreign investment!Kwani waarabu wameendelea?
Hujaenda uarabuni wewe, ingia Dubai, Abu Dhabi au Qatar utaona rich families ni zile ambazo zina relationship na mfalme, Saudi Arabia sijafika sitopaongelea ila najua uarabuni wote walewale tu, wanafanikiwa kwa kukandamiza wenzao, kama ndivyo mungu anavyowatuma basi huyo mungu kilaza, ukiona unaongozana na mwanamke ambaye siyo mke wako wala dada yako unafungwa.
Alafu Dubai asilimia kubwa ya pesa inayoingia pale ni foreign investment, watu toka US, Europe na Asia wamejazana pale, zunguka mwenyewe uone sio unakaa kuguess.
Mbona haueleweki!! Mwenyewe umekiri kuwa katika kipindi cha uhai wako utatenda dhambi halafu tena unauliza adhabu ya nini?Bado najiuliza haya:-
kabla sijazaliwa MUNGU KWA UWEZO WAKE alijua kuwa ntazaliwa mimi siku flani na nitaishi siku kadhaa na ikifika siku ya mwisho kuishi nakufa mazima... hapa katikakti ya maisha yangu kuna matendo nitakayotenda ambayo ninauhakika MUNGU kabla sijazaliwa alijua kuwa nikishazaliwa nitayatenda hayo ndani ya maisha yangu yote bila kukosea hata kidogo. JE KAMA NILITENDA DHAMBI NDANI YA UHAI WA MAISHA YANGU AMBAYO MOLA ALISHAJUA KUWA NITATENDA JE ADHABU INANIHUSU NINI MIE KIUMBE?
PIA NIKTENDA YA HERI NITAITUMIAKIA HERI NA ADHABU KWA KIWANGO KIPI?
Nakuona Ajenti wa shetani upo kazini utawapata wajinga kama wewe
Hiyo maana ya hekima umeitoa wapi? maana sijawahi kuona neno hekima likitumika kwa maana hiyo.
Halafu nimeuliza watu waliyozaliwa wazima bila tatizo lolote wamefanya jambo lipi kwa Mungu hadi wakazaliwa bila tatizo?
Unakumbuka kuna siku niliweka masharti kadhaa tulijadili jambo la Uwepo wa Mola muumba,ukapita wima ?
Halafu nina kudai maswali mengi sana.
Mimi kuna muda huwa nakuuliza maswali sio kwamba natarajia unijibu la hasha,sababu najua huwezi kunijibu. Ila lengo langu ni kuwafikishia habari wale wasemaji mengine waone madhaifu yenu.
Hili swali la kuhusu MUDA ulianza lini najua huna huwezo wa kulijibu hata wakubwa zako ukiwapa swali hawawezi kulijibu.
Nafanya hivi kuwaonyesha wasomaji ya kuwa nyinyi ni waongo na mnakariri hoja ndio maana maswali na hoja zenu ni hizi hizi,yaani mkitegwa kidogo mnapoteana mazima.
Sasa swali la kuhusu MUDA nimekuuliza zaidi ya masaa matatu nyuma mpaka muda huu hujalijibu.
hii ndo shida ya kukurupukaMbona haueleweki!! Mwenyewe umekiri kuwa katika kipindi cha uhai wako utatenda dhambi halafu tena unauliza adhabu ya nini?
Bado hoja ya msingi haijapatiwa ufumbuzi.Niende unavyotaka ww ili usinitoe katka hoja yangu mungu wenu amejaa upendeleo ktk kuumba ndio maana anaumba wengine wazima na wengine wagonjwa
amewaumba na viwete ili tupate kutambuanaBado hoja ya msingi haijapatiwa ufumbuzi.
Hata ukisema anapendelea,bado nauliza ni kwa lipi walilofanya hao wengine hadi awapendelee? Maana kupendelea kuna sababu hauwezi kupendelea bila ya kuwa na sababu.
Nani kakurupuka?hii ndo shida ya kukurupuka
pole sana dadayangu