Alisema anatuwazia mema na anauwezo wa kujua jambo la mbele kabla halijatokea na ni mungu muweza wa vyote sasa kwanini asizuie? Mungu ni wa haki kwanini kuwe na masikini na matajiri kwanini wote tusiwe sawa? kosa kama walifanya adam na eva kwanini nasis anatuhukumu? na yeye kwanini aumbe hilo tunda la mema na mabaya lilikua na kazi gani? wakati anasema hakuumba dhambi hilo tunda liliumbwa na nani?Kipi unadhani kinaweza kuwa uthibitisho wa kuwepo Mungu? Nitajie ili nikuthibitishie.
Kiranga nirudie mara ngapi kukwambia kuwa siwezi kuthibitisha ili unielewe? Yani nakujibu ila unarudia tena na tena.Unanileta ninakotaka.
Ni kweli kwamba kushindwa kuthibitisha kitu hakufanyi kitu kisiwepo au kisiwe kweli.
Ila, ni kweli pia kwamba kitu ambacho hakipo, hakithibitishiki kuwa kipo, kwa sababu hakipo.
Mtoto wa miaka 15 anaweza kushindwa kuthibitisha kwamba baba yake mzazi, mwenye miaka 45, ni baba yake mzazi.
Kushindwa kwa huyu mtoto kuthibitisha kwamba baba yake mzazi ni baba yake mzazi, hakumfanyi baba yake mzazi asiwe baba yake mzazi.
Kwa hiyo, ni kweli, kushindwa kuthibitisha kitu tu, hakufanyi hicho ambacho hakijaweza kuthibitishwa kisiwe kweli.
Tatizo lako si tu umeshindwa kuthibitisha Mungu yupo tu, umeshindwa kuondoa contradiction pia.
Unakuwa kama mtu mwenye miaka 45, anayesema kwamba mtoto wa miezi mitatu ndiye mama yake mzazi aliyemzaa.
Akaombwa uthibitisho, akashindwa.
Huyu si tu kashindwa kuthibitisha, kashindwa kuthibitisha na kashindwa kuondoa contradiction.
Sasa far and above kuthibitisha tu kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo.
Fanya hivi.
1. Thibitisha yupo
2. Ondoa contradiction ya problem of evil. Kama Mungu huyo yupo, kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kuwepo, wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kuwepo?
Unaniuliza maswali yenye kumuhusu Mungu wakati wewe unasema hakuna Mungu,tutaelewana kweli?Alisema anatuwazia mema na anauwezo wa kujua jambo la mbele kabla halijatokea na ni mungu muweza wa vyote sasa kwanini asizuie? Mungu ni wa haki kwanini kuwe na masikini na matajiri kwanini wote tusiwe sawa? kosa kama walifanya adam na eva kwanini nasis anatuhukumu? na yeye kwanini aumbe hilo tunda la mema na mabaya lilikua na kazi gani? wakati anasema hakuumba dhambi hilo tunda liliumbwa na nani?
Ushasema Mungu hayupo sasa hayo ya angekuwepo asingeumba aina hii ya ulimwengu unayatoa kwenye nini?Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Angekuwepo, asingeumba ulimwengu unaoruhusu uovu kuwezekana kuwepo.
thibitisha Mungu hayupoThibitisha Mungu yupo.
Hahaaaa. "papet".thibitisha Mungu hayupo
stop the lie, papet of the Devil
Thibitisha Mungu yupo kama unasema yupo.Ushasema Mungu hayupo sasa hayo ya angekuwepo asingeumba aina hii ya ulimwengu unayatoa kwenye nini?
Kwa sababu hayo ya Mungu kuwa na upendo na ujuzi unasema si maneno ya Mungu kwa sababu hayupo.
Huwezi kuthibitisha Mungu yupo wala kuondoa problem of evil.Kiranga nirudie mara ngapi kukwambia kuwa siwezi kuthibitisha ili unielewe? Yani nakujibu ila unarudia tena na tena.
Siwezi kujadili suala la problem of evil ikiwa ushahitimisha kuwa hakuna Mungu,maana unataka kwanza nithibitishe uwepo wa Mungu ndipo tuweze kujadili hilo suala.
Hata ukisema pembetatu duara ipo, nitakuuliza uthibitishe hiyo pembetatu duara ipo.Unaniuliza maswali yenye kumuhusu Mungu wakati wewe unasema hakuna Mungu,tutaelewana kweli?
Hawezi kujibu huyo angekuwepo mbn angejibuHata ukisema pembetatu duara ipo, nitakuuliza uthibitushe hiyo pembetatu duara ipo.
Utashindwa.
Kwa sababu haipo.
Na Mungu hivyo hivyo.
Kama unasema Mungu yupo, thibitisha yupo.
Mie nishasema siwezi kuthibitisha,ila wewe hadi sasa haujaweza kuonesha ni vp hakuna Mungu,matokeo yake unarukia kujadili upendo na ujuzi wa Mungu wakati ushasema kuwa huyo Mungu hayupo.Thibitisha Mungu yupo kama unasema yupo.
Acha longolongo.
Hayo makosa yake angesema yamesababishwa na munguUngeweka kwanza makosa yako ingekuwa vizuri.
Wewe hauwezi kueleza ni vp hakuna Mungu ila unaishia kusema tu hakuna Mungu.Huwezi kuthibitisha Mungu yupo wala kuondoa problem of evil.
Kwa sababu Mungu hayupo.
Sijaweza kuonesha au wewe ndiye huwezi kuona hata nikikuwekea gazeti chini ya pua?Mie nishasema siwezi kuthibitisha,ila wewe hadi sasa haujaweza kuonesha ni vp hakuna Mungu,matokeo yake unarukia kujadili upendo na ujuzi wa Mungu wakati ushasema kuwa huyo Mungu hayupo.
Wewe unayesema hayupo umeweza kuonesha kuwa hayupo?Hata ukisema pembetatu duara ipo, nitakuuliza uthibitishe hiyo pembetatu duara ipo.
Utashindwa.
Kwa sababu haipo.
Na Mungu hivyo hivyo.
Kama unasema Mungu yupo, thibitisha yupo.
Utaelewaje tofauti ya kuna na hakuna wakati unakumbatia contradiction?Wewe hauwezi kueleza ni vp hakuna Mungu ila unaishia kusema tu hakuna Mungu.
Kama unaweza kueleza ni vp hakuna Mungu,fanya hivyo tuone.
By "proof by contradiction".Wewe unayesema hayupo umeweza kuonesha kuwa hayupo?
Kushindwa kujibu kwangu sio tatizo ila huyo jamaa wako nishamjibu kuwa siwekuthibitisha ila anaona raha kusema siwezi.Hawezi kujibu huyo angekuwepo mbn angejibu
Contradiction ipi?hebu tuijadili.By "proof by contradiction".
Una uelewa wa kuweza kuielewa?