Imani na kudhania vina tofauti gani?Hayo sasa nayo ndio matumizi mabaya ya neno imani
Ilipaswa iwe 'Akidhania kuwa yeye ni tajiri na bilionea
Kwa maana dhana haina uhakika
Na kikubwa neno imani asili yake ni kwa matumizi ya mambo ya kiroho
Kulitumia kwa matumizi ya kimwili ni kulikosesha Heshima na taadhima yake kimatumizi
Hao wataalam walisha kuthibitishia kua mungu yupo?Ni uzushi katika upande gani? Maana kuna maoni ya wataalamu mbalimbali kuhusu hivyo vitabu yenye kuhusiana na taaluma zao.
Sasa wewe ukitumbia ni uzushi tu kijumla jumla hivyo utakuwa umewadharau hata hao wataalamu wenye taaluma zao.
Huyo hawezi kukupa uthibitisho.Hao wataalam walisha kuthibitishia kua mungu yupo?
Mimi sikuwahi kusema naweza kuthibitisha.
Wewe unasema Mungu yupo, halafu huwezi kuthibitisha kwamba yupo.
Hujathibitisha kwamba Mungu yupo .
Thibitisha Mungu yupo.
Hoja yako haina mantiki.Tatizo lako husomi sawasawa ninachoandika na hiyo ndiyo tabia yako, angalia, swali la mimi kuthibisha uwepo wa Mungu ninalijibu kwa namna hii kwamba:-
Unapaswa kujua sababu ya wewe kuwepo hapa duniani, yaani hapa duniani wewe umefuata nini?, na kwa sababu gani umefuata hicho ulichofuata hapa duniani??, halafu nikajenga hoja kwamba Maswali hayo ukimuuliza Mbuzi au kuku nk, kamwe hawstaweza kuelewa sembuse kutoa majibu!!, ni mtu mwenye akili ndiye anayeweza kutoa majibu, sasa ninashangaa Kiranga mtu uliyepewa A+ ya falsafa unashindwa kujua sababu hizo kama jinsi wanyama hao watakavyoshindwa kujibu!!
Upo upo tu duniani without any purpose, yaani hata kuku anayo purpose kwa sababu anataga mayai na tunamla kwa kitoweo!! Lakini wewe upo kwa ajili ya kitoweo au kwa ajili ya kumchunguza Mungu au kwa ajili ya kuzaana??, lakini hata mende wanazaana!!.
There should be a difference between animals and human beings.
Narudia _dhana na Imani yote ni maonoImani na kudhania vina tofauti gani?
Unaweza kuamini bila kudhania?
Unapoandika "Imani ni ukweli wa visivyo dhihirika" unawezaje kuwa na hakika na hili?
Unajuaje kwa uhakika kwamba imani ni maono yenye uhakika?Narudia _dhana na Imani yote ni maono
Dhana= Ni maono yasiyo na uhakika
Imani=Ni maono yenye uhakika
Mfano;
Umri wako unaruhusu kujua Masika na kiangazi
Lakini fikiria ungekuwa na umri wa mbu aneishi ndani ya kipindi cha msimu...Kwako mambo yote ya msimu yangekuwa ni imani.!
Na kuamini au kutoamini kwako hakuwezi kubadili utaratibu uliopo
Hivyo kuzaliwa kwa neno Imani kunatokana na uhafifu wa muda wa kuishi kiumbe kufikia mambo yatarijiwayo _ila yenye uhakika
Unawezaje kuuliza kwa mtindo huu.! juu ya uhakika wa maono ya kimani..!?Unajuaje kwa uhakika kwamba imani ni maono yenye uhakika?
Hujajibu swali hili.
Balderdash. Garbage. Malarkey.Unawezaje kuuliza kwa mtindo huu.! juu ya uhakika wa maono ya kimani..!?
Wakati unafahamu fika ni neno lililotokana na matumizi ya watu wanaoamini katika Mungu.!
Ambaye yupo milele..! Alfa na omega.! Kweli atashindwa kutangaza mwanzo na mwisho wa misimu..!?
Wakati kwake watu ni kama Mbu.![emoji3]
Blderdash. Garbage. Malarkey.
Unajuaje kwa uhakika kwamba imani ni maono yenye uhakika?
Hujajibu swali hili.
Hahah et half a bird brainThat doesn't change a thing you pathetic moron with half a birdbrain.
Hujathibitisha Mungu yupo.Ndio maneno gani tena jamani au ndio natukanwa[emoji3][emoji16][emoji16]
Basi baki na majibu yako
akikujibu nitag ... Yaan kuna allah ... Kuna jehovahKwenye Post yako nimejifunza yafuatayo
1.kuna mungu wa wakatoliki
2.kuna mungu wa waislam
Kifupi tuaweza kusema mungu wako wengi na wanapokua wengi jina hubadilika kutoka kwenye mungu kwenda kwenye miungu
Swali je ni mungu gani kati ya hao tajwa hapo juu aliyeleta yale mafuriko kwa ajili ya kumkomoa mgiriki?
Mimi bado siamini km yupo au hayupoakikujibu nitag ... Yaan kuna allah ... Kuna jehovah
Mi naamin mungu yupo ila wazungu walituchefua sana
Kwanza mimi naamini katika AlienHujathibitisha Mungu yupo.
Mi naamini yupo ....Mimi bado siamini km yupo au hayupo
Na sina cha kuwasingizia wazungu
Ni imani yako tu mkuuMi naamini yupo ....
Ila sio huyu wazungu waliotuchakachulia
Mie nishasema siwezi ila wewe unayesema siwezi kwa sababu hayupo umeshindwa hata kutoa mfano mmoja wa uthibitisho wa kitu unachokiamini. Hii inaonesha hata haujui uthibitisho wa jambo la imani unakuaje na ndiyo maana umeshindwa kufanya hivyo.Nikishindwa kuthibitisha lolote ninaloamini, hilo halithibitishi Mungu yupo.
Hujathibitisha Mungu yupo.
Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.
Kwa sababu hayupo.
Maji yakichanganywa na mkojo sitakunywa kwa sababu hayo maji yamechanganywa na mkojo.Nikikupiga risasi kichwani nikakuua sijakupiga risasi mpaka nikupige risasi mwili mzima?
Unaponiuliza kama maelezo yote ni uzushi, ni sawa na mtu anayepinga kwamba mtu aliyeuawa kwa kupigwa risasi kichwani, hajapigwa risasi, kwa sababu kuna sehemu kubwa sana ya mwili haijapigwa risasi.
Nimekuuliza, maji yakichanganywa na mkojo, ukapewa,ukaambiw aunywe, haya maji, utakubali kunywa kwa sababu hayo ni maji?
Hujajibu.
Kwa nini?
Unaogopa nini kujibu swali hili?
Kipi unadhani kinaweza kuwa uthibitisho wa kuwepo Mungu? Nitajie ili nikuthibitishie.Hao wataalam walisha kuthibitishia kua mungu yupo?