Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,754
LoL... majibu yako yananichekeshaje.... ngoja nimtumie my Bf nae ana misimamo kama yako ......Kabla ya kunirehemu ajibu maswali yangu kwanza!!!
Hongera kwa kuwa na BF mwenye akili...hawawezi kumtapeli maana hadanganyiki...watu walijitengenezea Mungu kwenye zile zama za technologia duni ila kwenye hii technology era Mungu hana application tena.LoL... majibu yako yananichekeshaje.... ngoja nimtumie my Bf nae ana misimamo kama yako ......
ila mie ngoja niendelee kuamini Mungu yupo. the more you question the more confusion kwakweli
Sija crush post ya mtu, ni kwamba sipo tayari kukubali majibu mepesi kwa maswali mazito.Pili hata kama unafahamu kitu, usisite kuuliza ili kulinganisha majibu na kuchagua jibu lililo sahihi.kama majibu yangu ni ya kutengeneza, obviously maswali yako pia ni ya kutengeneza.
jingine ujaribu kuwa mstarabu, kama unaleta thread ambayo una majibu tayari hiyo thread yako haitufai kwani ulichoamini hakitobadilika, weka mada watu wachangie sasa ww watu wakichangia una crash answers zao manake nn?
Who has told you God needs application to get known as the matter of fact the only manual book to take any one to God is Bible and it's accurate and Amen.Hongera kwa kuwa na BF mwenye akili...hawawezi kumtapeli maana hadanganyiki...watu walijitengenezea Mungu kwenye zile zama za technologia duni ila kwenye hii technology era Mungu hana application tena.
Huyu threader unajua hajielewi me personally nilizipangua hoja zake basing on Bible and biology doctrines lakini alizibishia kwa hoja za kijinga ambazo hazina kichwa wala mguu na kama ni mtu mwelewa kidogo tu utamuonea huruma sema tu ndio aina ya vijana wanaozalishwa na education systems zetu tunasikitika tu basi.Me nilifikiri lengo lako kuleta mada hiyo hapa, ulitutaka tushirikishane peoples from different displine. Sasa nashangaa sana kwa nn ukatae kile watu wamepost wakiamini ndivyo, coz mtu hawezi kukurupuka tu ajipostia kujibu kitu asichokuwa na uhakika nacho.
Hivi wewe ni comedian au??? Nani amekuambia mimi ni muhanga wa huo mfumo mbovu wa elimu??? Unafikiri shule ni Tanzania tu, au Afrika peke yake??? unasema ulipangua hoja zangu kwa kutumia Bibilia na Bayolojia??? Hivi kweli kama sijui kitu ndio iwe sababu ya kudanganywa??? Yaani unakuja na traditional answers bado unategemea mimi nikubali....Siyo kama nakataa majibu, hapana!! sipendi majibu ya kupangwa...labda ni kweli ulijibu ila kutokana na reply kuwa nyingi sikuona majibu yako...sasa nijibu haya maswali mawili tu,Huyu threader unajua hajielewi me personally nilizipangua hoja zake basing on Bible and biology doctrines lakini alizibishia kwa hoja za kijinga ambazo hazina kichwa wala mguu na kama ni mtu mwelewa kidogo tu utamuonea huruma sema tu ndio aina ya vijana wanaozalishwa na education systems zetu tunasikitika tu basi.
Na hii ndio picture kamili ni kwa kiasi gani vijana wanaozalishwa na educational institutions zetu walivyo weupe.
Lugha ya malkia achana nayo tu unajichoreshaStill arguing??
Who is Abrahams? where did read about him??
Mi ningependa akajibiwa kwa biblia au kolowani mana kuuliza sio ujinga anataka kuelewa ila naona watu mnajizungushazungusha tuKushiba ni kubaya sana!!!......Wewe kijana unamdhihaki Mungu kisa unakula na kushiba vizuri na una afya njema ya kuingia kwenye mitandao ya kijamii????
Kwa hio Yesu sio Mungu?Ni Mungu katika Yesu Kristo.
MunguKwa hio Yesu sio Mungu?
aisee.. kwa hio Mungu amezaliwa?Mungu
It ia called Incarnationaisee.. kwa hio Mungu amezaliwa?
kwa shida gani mungu alizonazo mpaka apretend kuwa mwanadamu na kuishi kwa kudisguise duniani?It ia called Incarnation
Umwilisho..
Upendo umemwelemea kwa waja wakekwa shida gani mungu alizonazo mpaka apretend kuwa mwanadamu na kuishi kwa kudisguise?
Upendo umemwelemea kwa waja wake
Nooo,kama upendo umemwelemea angeua shetani ila sio kiumbe alichokitolea jasho kukiumba. au ameshindwa kumuua shetani?