Kwa hiyo mkuu hapo unajiona umemaliza yaani umeshinda.Fikiria hii wewe ukiongea ana kwa ana na kipofu je hiyo ni uso kwa uso au si uso kwa uso?Jibu swali langu la msingi.View attachment 378318
ana kwa ana manake uso kwa uso, sasa kama Musa hakuweza kuuona uso wa Mungu, waliwezaje kuongea ana kwa ana?
maana ya ana kwa ana >>>> Search results for ana kwa ana in Swahili | KamusiGOLD
hio ni uso kwa uso, coz kipofu hata asiponiona ana uwezo wa kushika paji la uso na kufeel uso wangu..Kwa hiyo mkuu hapo unajiona umemaliza yaani umeshinda.Fikiria hii wewe ukiongea ana kwa ana na kipofu je hiyo ni uso kwa uso au si uso kwa uso?Jibu swali langu la msingi.
hiyo swali lako la kuhusu Musa na Mungu limejibika automatically,biblia inasema "hakuna aliyewahi kuuona uso wa Mungu na akaishi" that is why Musa aliongea naye ana kwa ana Mungu angeruhusu Mussa aone uso wake Mussa ange rest in peace immediately.Mkuu ushauri wangu kwako hata kama your no a christian soma biblia baadhi ya maswali utajibiwa.Hii watu wanakuja na ka swali kamoja sometimes hatujibu si kwa sababu hatuna majibu bali tunaona huyu mtu anahitaji mafunzo sana na hata ukimjibu kwa kuandika hapa utaandika gazeti matokeo yake watu watakuomba summary.hio ni uso kwa uso, coz kipofu hata asiponiona ana uwezo wa kushika paji la uso na kufeel uso wangu..
Lengo sio mimi au mtu yeyote humu kuibuka mshindi, tunahojiana tu mkuu.Kwa
hiyo swali lako la kuhusu Musa na Mungu limejibika automatically,biblia inasema "hakuna aliyewahi kuuona uso wa Mungu na akaishi" that is why Musa aliongea naye ana kwa ana Mungu angeruhusu Mussa aone uso wake Mussa ange rest in peace immediately.Mkuu ushauri wangu kwako hata kama your no a christian soma biblia baadhi ya maswali utajibiwa.Hii watu wanakuja na ka swali kamoja sometimes hatujibu si kwa sababu hatuna majibu bali tunaona huyu mtu anahitaji mafunzo sana na hata ukimjibu kwa kuandika hapa utaandika gazeti matokeo yake watu watakuomba summary.
Nimeipata mkuu...Yeah..mi ni mpenzi wa nyimbo zake..unfortunately siifahamu hiyo video..
hii kali.. kwa hiyo Mungu na Musa walikua wanageuziana migongo, na hili andiko la ana kwa ana tulitupe kule? maana hio sio ana kwa ana tena ni mugongo mugongo!!!Alikuwa anaona mgongo apana atakaye uona uso wa mungu akaishi
Mkuu ndiyo maana nikasema kuna muda hatuwajibu si kwa sababu hatuna majibu bali tunaona hamjui vitu vingi,ni kweli Yesu ni Mungu aliyekuja katika hali ya mwanadamu,ndityo maana jina la Emmanuel ni Mungu pamoja nasi yaani Mungu anaishi pamoja na wanadamu.Hii ilikuwa kipindi kile Yesu akiwa duniani kwa sasa Yesu haishi pamoja na wanadamu bali anaishi ndani ya wanadamu .Kabla Yesu hajaondoka aliwaambia wanafunzi wake sitawaachaa yatima nitawaletea msaidizi amabaye ni roho mtakatifu.Roho mtakatibu ni Mungu kamili,Mungu ni mmoja ana nafsi tatu Baba,mwana na roho matakatifu.Lengo sio mimi au mtu yeyote humu kuibuka mshindi, tunahojiana tu mkuu.
ni hivi, naijua biblia vyema.. kwenye biblia kuna sehemu nyingi zinajicontradict, soma vizuri.. ila tafsiri ya ana kwa ana ndo hiyo... halafu pia wakristo wanasema Yesu ni Mungu, ila watu si wamewahi kumwona Yesu? inakuaje tena lile andiko linalosema hakuna aliyewahi kumwona Mungu angali Yesu ni Mungu?
Mungu hajawahi kuwa na makosa akili za binadamu haziwez kufikia akili ya Mungu .
naona nyuz nying za kumfanya Mungu ni inferior zipo nying ila kumbuka kuna mungu ambaye we ndo mfuas wa akil za binadam
we dini gani ? haujui anguko la binadamu ndo chanzo cha yoteKwann binadam awe na makosa wakati ameubwa kwa mfano Wa mungu
umejuaje kama ndio mimi wakati huyo mtu alivaa mask? utakua unansingiziakwa mfano hivi leo ukija labda benki kuiba then usoni uka vaa maski mimi niluwepo kwenye ilo tukio nika uona mwili wako wote ila sura yako sija iona nikisema nilikuona wewe itakuoa ni uongo au ukweli?
Makosa ya Mungu sio 10 bali ni 11 na kubwa zaidi ambalo huja li mention, ni pamoja na kukuumba wewe, kisha kukupa free will, lakini ukaitumia kumkosoa yeye, ku-,doubt his ability, ku-undermines his forbearence na ku-question Gods'intention.Umetoa majibu mazuri sana, ila yapo OP na hoja zangu...mf. kwenye zab. 14:1 inasema ''******** anasema moyoni mwake hakuna Mungu, matendo yao ni maovu kabisa, hakuna atendaye mema'' Je kunasehemu niliyosema hakuna Mungu??? kama ipo onesha.,,,,Ayubu 1:22 wewe jua kunatofauti kati ya kulaumu na kuuliza, mimi sijalaumu bali nimeuliza, ndio maana niliweka alama za kuuliza. Mathayo 12:36, kwani maswali yangu hayana maana??? mbona Yesu aliulizwa maswali na kujibu??