Ok nimekuelewa mmkuu kwa bahat mbaya mimi sio mtaalamu wa sayansi na ww unaamini katika sayansi ni ngumu sana kukushawishiMkuu Hivo vitu vyote unavyojaribu kutoa mifano Science imevielezea vyema sana kwa kweli sijifikiri hata nikupe uchambuzi kuwa Pumzi tunayovuta na inayofanya tusurvive ni oxygen science ya primary kabisa, Mungu wako hadhibitishikiki kiaina yoyote Sasa ukitolea mifano vitu kama simu naweza kukuchambulia A to Z sasa ww niambie Mungu anafafanaje anaishi wapi?
Science sio imani mkuu mana kuamini ni fikra ambazo inaweza kuwa kweli au lah je unaamini ukirusha jiwe juu linarudi chini au Ndo uhalisia kuwa jiwe lazima lirudi chini likirushwa juu hii sio imani mkuu ndio uhalisia hauhitaji kuamini au lah bari ndo realityOk nimekuelewa mmkuu kwa bahat mbaya mimi sio mtaalamu wa sayansi na ww unaamini katika sayansi ni ngumu sana kukushawishi
Nachukia majibu ya hivi, mtu anapotoa hoja zake unatakiwa kumjibu kwa hoja.Sasa ukiandika ulivyoandika ataendelea kuamini katika hoja zakeMungu akurehemu hujui unachokitenda Pole
Yaani natamani aje mtu amjibu huyu jamaa(CHAMITON) kwa facts (Mimi sina) lakini naona wote wanakoment ni wale wale, sijui watu elimu ya dini hatuna au hizo bible na Quran watu tunamezeshwa tu!?USIMDHIHAKI MUNGU HATA KIDOGO, huwezi kufanya conclusion ya kuwa hakuna Mungu kwa kufanya reference ya kitabu kimoja cha DINI, wakati duniani Kuna DINI nyingi sana, UISLAM, BAHAYI, HINDI, nk na bado huwezi kusema Mungu hayupo wakati kunasayari nyingi sana ULIMWENGUNI,vipi kuhusu viumbe wanaoishi sayari nyingine wanamuabudu Nani ? Inamaana wewe unaakili nyingi sana kuliko watu wote wanaomuabudu MUNGU ALIYE HAI, TANZANIA, AFRICA, DUNIANI na SAYARI ZINGINE. Embu achana na hii habari ya MUNGU BABA, ongea kitu kingine.
Kwanini Babako hatumii vitisho pindi mkutanapo??? kwanini awatishe watu wake???Najibu swali lako la 2 mungu aliongea na wana isarael pale mlimani wakiwa na kiongozi wao musa sauti yake ilipelekea watu waogope kumsikiliza ndipo walipo mwambia musa awe ana ongea naye kwa niaba yao ni uongo kusema mungu aja wahi kujitokeza kwa watu wake pia mungu alikuwa ana tembea kwenye bustani ya edeni
Hili ni jibu la hovyo kabisa, haliendani na swali!!!Najibu swali lako la nne ikumbukwe kulikuwa na njia rahisi ya kuwa fikisha wana wa israel nchi ya ahadi lakini mungu aliwapitisha jangwani lengo nikutaka wamwamini kwani licha ya kuwa jangwani aliweza kuwalisha kuwapa maji na mengine mengi sababu kuu ya kuwapa nchi za watu ilikuwa ni kuwapima imani ikumbukwe wale waapelelezi walio tumwa kwenda kupeleleza wali waogopa kwa kusema ni watu wenye nguvu kuliko wao ila karebo na joshua walikuwa na imani kuwa mungu ange washindia na waka pata kibali machoni pa mungu kuona kanani
Yeah..mi ni mpenzi wa nyimbo zake..unfortunately siifahamu hiyo video..Mkuu...
Inaonekana wewe ni shabiki wa Kendrick...
Kuna wimbo wa Kendrick anaonekana kama yuko barabarani anatembea alafu kuna watu wanafariki anachofanya yeye ni kurap na kuziangalia zile pipo zilizofariki...
Unaweza kunitajia jina la huo wimbo mkuu..!
Nahukuru kwa maoni yako juu yangu.Learn to see things in the eyes of others.Maelezo yako yote yanaonyesha ni jinsi gani usivyofikiri.
Kumbuka huyu ni mungu na si binadamu kama mimi na baba yangu wa kibinadamu yeye ni mkuu kumbuka musa alikuwa ana ongea na mungu ana kwa ana isipo kuwa akuweza kumuona uso