Makosa 10 aliyotenda Mungu

Mkuu umeandika post nzur kabisa.. Ila kuliko kumlaani kijana kwa nini usimpe darsa la maswali aliouliza??


hivi kaka hata kwa akili ya kawaida tu hii dunia analipia kodi au kuna siku aliambiwa ili uendelee kupata oxygen toa kias fulan

yaani hana analolijua katika hii dunia alafu anakuja tu frm no where eti mungu kafanya makosa kumi

baba umeangamia!! kama hajui hata thamani tu aliyo pewa na mungu ilhali hakumlipa hata cent leo hii mashallah hata raha za dunia anapata alafu unakua wa kwanza kuandika hivi

msiba wallahi
 
ant-Christ spirit!
wewe unajiona unaakili kuliko Mungu.
huogopi kumtukana Mungu
Mungu haziakiwi ndugu.
urahaniwe na hutafanikiwa kamwe,utafilisika na mikosi utapata sana tuu.
subili................................................
 
Kwa hiyo hizi ndo hatua zako yakinifu??? majibu yako yapo kisiasa mno na ni ilogical...Lucifer aliasi...kwani Mungu hakujua kabla ya kumwumba??? nani aliyeumba wivu, dhambi...ebu niambie dhambi za watu zinavyosababisha natural calamities huku ukijumuisha upendo na huruma ya Mungu kwa watu wake??? mbona wanafia humo wengi wao ni wema???...uvamizi wa kanani, kwanini Mungu asingetengeneza nchi mpya badala yake akaamuru uvamizi kwa nchi za watu??? vipi kama TZ ndo ingekuwa Kanani ungereact vipi???
 
ant-Christ spirit!
wewe unajiona unaakili kuliko Mungu.
huogopi kumtukana Mungu
Mungu haziakiwi ndugu.
urahaniwe na hutafanikiwa kamwe,utafilisika na mikosi utapata sana tuu.
subili................................................
Kuna mtu ameniambia Mungu aliumba watu ili
1.Wamjue
2.Wampende
3.Wamtumikie
4.Na mwisho wafike kwake mbinguni
Wewe nani aliyekupa majukumu ya kulaani na kuhukumu???....sintafanikiwa??? kwa mara ya ngapi sasa???
 
Kuna mtu ameniambia Mungu aliumba watu ili
1.Wamjue
2.Wampende
3.Wamtumikie
4.Na mwisho wafike kwake mbinguni
Wewe nani aliyekupa majukumu ya kulaani na kuhukumu???....sintafanikiwa??? kwa mara ya ngapi sasa???
WEWE UMEMPENDA AU UMEMTUKANA?
 
Duh! We kweli mtambo! Nimesoma tu herufi kubwa!

Ingependeza zaidi kama utangulizi wako ungesema 'kama kweli ....'
 
Unaonaje kiti cha Mungu kikakaimishwa kwa Mtawala mwingine wakati Mungu akijibu tuhuma hizi zinazomkabili?
 
Je umewahi kujiuliza ni kwa nini mwanamume na mwanamke mweusi huzaa mtu mweupe (albino) lakini mwanamke mweupe na mwanamume yaani kwa mfano mzungu kwa mzungu hawazai albino mweusi? Lakini pia albino kwa albino bado wanazaa mtu mweusi?
Wee nawe hujui hata maana ya Albino, hebu kaa kimya
 
Alijua haya yote but he was giving lucifer a chance labda angefanya vyema...mfano ungeambiwa wewe ni wa motoni kabla ya kupewa even a chance to live the life nna imani usingekubaliana na Mungu ndo maana lucifer akapewa fursa akazingua this way atakubali tu eventually kuwa hukumu za Mungu ni sahihiπŸ˜‰
 
after sin kila kitu kilibadilika,everything was against us mpka nature..kwa mfano chakula ambacho adam alikua anapata buree ikabidi akifanyie kazi tena nzito alafu biblia inakuambia ardhi ililaaniwa unaposema curse haina specifity ikoje but its contrast to blessing hapa ndipo natural calamities zinapoingia alafu on the process jua kwamba you are just a mere human being ana uwezo wa kuumba wengine akatuchoma wote but after all this sins tunazofanya anamtuma mpka mwanae atufie baada ya warning zote na sacrifices zote bado tunakiuka tuu ivi huu sio upendo kweli???????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mambo uliyoandika kwa Akili za kibinadamu huez kujibu.

Nyota za Mbinguni kwa Macho ya Abrahamu zilikuwa ngapi?
Sayansi inakwambia nn kuhusu mwanzo wa Mwanadamu? Sokwe!!!!
Amini Mungu Ni Muweza wa yote na ukitaka kila jibu Piga goti umuulize atakujibu!!
 
Hivi Mungu asipomhukumu mlevi on spot ni kuwa wapo sawa kinguvu?

Mwogope yule auaye mwili na roho na kuzijua idadi ya nywele zako.
 
Alafu kuhusu death of people anakwambia wote waliokufa kwa ajili yangu wamelala they will rise eventually kwaio kwa Mungu death isnt a lose mbona hata mwanae alikufa sasa wewe una nini usife...he is the maker yan wewe kuwa among his making ni fursa ya kutosha tu maana angeweza kutokuumba na usingefanya chochote alaf abraham was promised canaan sio popote tu na yeye alikua favourite wa Mungu and he protects he who abides with him kama angesema canaan ni tanzania tungeuliwa maana opinion yangu isingematter kama simwamini ILA ningekua namwanini alafu tukaangamizwa hii ingekua case scenario tofauti kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…